hatari snTatizo siku hizi taifa linaongozwa na akili zilizochakaa, wanajua kuiba kura tu, tena siku hizi wanaiba kishamba zaidi.
Mi nilitegemea kuonyesha mambo tuliyoyafanya baada ya uhuru. Nilitegemea viwanda vipite na bidhaa zao, wabunifu wapite na bidhaa n.k. Tunawaiga Korea Kaskazini na China wakati wao wanaonyesha vifaa walivyovitengeneza sisi tunadandia tu kuonyesha vifaa tulivyovinunua. Basi hili liwe funzo na miaka sabini ya uhuru natumaini tutaonyesha vya kwetu
ni wajasiri kweri-kweriMungu awatie nguvu mnaofuatilia hivi vitu
Angalia,mimba isije toka kwa chukiTatizo siku hizi taifa linaongozwa na akili zilizochakaa, wanajua kuiba kura tu, tena siku hizi wanaiba kishamba zaidi.
Maneno kama eti tuzipige na Rwanda na Kagame akiwepo hayakuwa na staha.
Usichukulie seriously; alikuwa anafanya sanaa.
Angalia,mimba isije toka kwa chuki
ni wajasiri kweri-kweri
Mungu awatie nguvu mnaofuatilia hivi vitu
HaswaaaAwamu ile tululiambiwa kulikuwa na viongozi vichaa na bado walipata wafuasi hata viongozi vichaa kama wamepungua ila ukichaa bado upo na wafuasi vichaa ndio hawa.
Awamu ile tululiambiwa kulikuwa na viongozi vichaa na bado walipata wafuasi hata viongozi vichaa kama wamepungua ila ukichaa bado upo na wafuasi vichaa ndio hawa.