Uhuru Day: Tuliposahau Hadhira ilikuwa pia na Wageni Waalikwa

Masanja ni Comedian fake na Mchungaji fake. Pia umaarufu wake ulibebwa na kundi lao la Original Comedy. Lakini kusimama mwenyewe comedy zake hazina Mzuka na mtiririko wa kuvutia kama Joti au Mpoki.

Uwasilishaji wa Masanja ni Hovyooo sana. Sema kawa maarufu ndio maana watu wanamualika pasipo kujua madhaifu yake.
 
Sisi tulionyesha tulichozalisha ni hao akina masanja na lugha zao zisizo staha eti ulitaka asafiri babako, AIBU kubwa.
 
Ilikuwa aibu kubwa sana.. nilkuwepo uwanjani ingekuwa amri ningesepa ndio mambo ya kibarua tu.
Hazikuwa sherehe za miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika, zilikuwa sherehe za mafanikio ya miaka 60 ya Rais wetu mpendwa Mama yetu Samia Suluhu Hassan na maendeleo ya walinzi wake.
 
Hazikuwa sherehe za miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika, zilikuwa sherehe za mafanikio ya miaka 60 ya Rais wetu mpendwa Mama yetu Samia Suluhu Hassan na maendeleo ya walinzi wake.

Shibe mwana malevya. Alipo kalewa hayaoni manung'uniko ya watu wake. Haoni waliokuwa wakimwunga mkono mwanzo wamemtupa mkono.

Anaona urais 2025 ambao hata jiwe na washirika wake wakiulenga:

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…