Fidel80,
Tumepiga mahesabu polepole kulingana n registered na turnout ya watu. Kumbuka pia kuna margin of error hapo
ya karibu 5%.
Hii ngoma ndo imekula kwa Raila na kama ana lake jambo basi awahi mahakamani na ushahidi wa kutosha
ambao utasukuma hizi kura kupinduliwa.
Habari ndo hio mazee.
Mkuu kwa nini litakuwa ni pigo kubwa?. Kwani CHADEMA wamewekesha nini kwa Raila Odinga na kambi yake?Kenyatta akishinda itakuwa pigo kubwa kwa Chadema.
Kwanini hawamtaki Uhuru mkuu Kiranga?Wamarekani ngoma yao ngumu hapa.
Rais Uhuru Kenyatta hawamtaki, hapohapo Kenya wanataka kuendeleza urafiki nayo.
kumbe Kenya nako kuna CHADEMA?Kenyatta akishinda itakuwa pigo kubwa kwa Chadema.
Odinga ana support ya makundi mengi, chadema, uk na marekani
Sidhani kamamitasaidia kwa sababunupande wa Raila umedokeza kama kuna kasoro kubwa katika process.Waharakishe tu kumaliza hesabu na kutangaza matokeo.
Mkuu kwa nini litakuwa ni pigo kubwa?. Kwani CHADEMA wamewekesha nini kwa Raila Odinga na kambi yake?
Ng'wamapalala,Mkuu kwa nini litakuwa ni pigo kubwa?. Kwani CHADEMA wamewekesha nini kwa Raila Odinga na kambi yake?
kumbe Kenya nako kuna CHADEMA?
aisee kuna ushahidi wowote wa hilo unalozungumza au ni propaganda za lumumba?Naona unajitoa ufahamu nani kayapeleka magari ya M4C Kisumu na Nairobi.
Mkuu hamuendi round ya pili?
aisee kuna ushahidi wowote wa hilo unalozungumza au ni propaganda za lumumba?
Ab-Titchaz,Itabidi muujiza aisee...the stakes are too high for Uhuru Kenyatta to lose.
Mimi naona kutakua na ishu mahakamani maana hawa CORD hawajambo kwa mawakili na wansheria.
Tusubiri huko sasa.
wewe uliwauliza wakakupa ushahidi?Nenda kamuulize Mbowe au Dr Slaa watakupa ushahidi.
Ng'wamapalala,
Both CORD (ODM in this case Mr. Raila Odinga) and CHADEMA, are fighting against Status Quo. Kikuyu reign and CCM,respectively.