Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
mpaka sasa hivi bado mshindi hajapatikana kwa mujibu wa sheria mshindi inabidi apate zaidi ya nusu ya kura zote kilichotokea mwanzoni wakati wanahesabu kura zile zilizoharibika walikuwa hazihesabiwi kama sehemu ya kura wakati zilitakiwa zihesabiwe walipogundua ndio kura zikaanza kuhesabiwa upya
nimeona hapa pia http://elections.nation.co.ke/Winner needs 50% + 1 votes Atleast 25% of votes in 24 Counties
186 of 290constituenciesreporting
8,030,114 number of valid votescast
·
UHURU KENYATTA
JUBILEE
4,021,941 votes (50.1%)
RAILA ODINGA
CORD
3,595,404 votes (44.8%)
Source: Kenya Elections 2013 - Daily Nation
Kama wewe umesema basi tena...Ni matokeo ya aibu kwasababu wakenya wameacha kuchagua kiongozi ambaye angewafaa wamechagua mtu tu kwa ukabila..basi tena
Kenyan decided jalini maisha yenu watzKama wewe umesema basi tena...Ni matokeo ya aibu kwasababu wakenya wameacha kuchagua kiongozi ambaye angewafaa wamechagua mtu tu kwa ukabila..basi tena
Kama wewe umesema basi tena...Ni matokeo ya aibu kwasababu wakenya wameacha kuchagua kiongozi ambaye angewafaa wamechagua mtu tu kwa ukabila..basi tena
this MUDAVADI seems came for a mission which is about to fail but he is trying as much as possible to justify their deeds!If it is illegal to claim victory before IEBC declares you as one, why isn't it illegal to accept/concede defeat before IEBC declairs it? No wonder the leading candidate wont claim victory and the tailing one (Paul Muite) wont concede yet! Or how do you see it middle-classers?
Kenyan decided jalini maisha yenu watz
Hamchelewi kujazana kwenye mabasi ya Dar Express kukimbilia Tz,kwa nini hutaki tujali
wakati hata sasa mmeshaanza kutubana kwenye ajira zetu"
Nenda kamuulize Mbowe au Dr Slaa watakupa ushahidi.
Wacha wewe.
ukiangalia parcentage na maeneo kura zinatoka ni wazi kwamba watu wanapiga kura kwa kuangalia kabila na siyo uwezo wa mgombea na hii ni aibu kwa nchi zetu za Africa maana hata katiba yao mpya haiwasaidii sana
Kenyatta akishinda itakuwa pigo kubwa kwa Chadema.
Siyo kila wakati unatoa majibu ya kisiasa siasa katika mambo mengine yanayohitaji fikra zilizo nje ya tufe la kisiasa.Acha sarakasi zako wewe gamba Chadema wajifunze nini toka kwa mafisadi??? wakati mwingijne sio lazima uandike hata kama huna lolote la maana la kuandika.
Kama Kikwete alipotangazwa mshindi hatukukimbia sembuse Uhuru ndio tukimbie? we hauko vizuri kichwani mwako.