simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Makabila Kenya ni zaidi ya 42. Tangu uhuru imetawaliwa na makabila mawili Mkikuyu na Mkalenjin. Progressive Uhuru Kenyatta bila kujali kabila lake aliamua kumuunga mkono Raila ila kufuta "udikteta" wa makabila mawili dhidi ya makabila 40. Mapambano yamehamia Supreme Court of Kenya-Kenya legal centre stage.