Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huwa ninaandika kitu kupitia safu yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye kuhimiza patriotism kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa taifa letu, kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Pia niliwahi kusisitiza humu kuwa unaweza kuchagua marafiki lakini huwezi kuchagua majirani, ili uishi vema kwa raha na amani na majirani, ni lazima uwe na upendo kwa jirani yako hata kama unamuhisi hakupendi, wewe mpende tuu na muishi kwa ujirani mwema na jirani yako, na hata kukitokea sintofahamu yoyote baina yako na jirani yako, katika kutafuta suluhisho la simtofahamu hiyo, utangulize kwanza upendo na kuutatua mgogoro wowote na jirani yako kwa kutanguliza njia za kidiplomasia kwanza, diplomacy, zikishindikana ndipo tuje kwenye tit for tat ambayo nayo pia ni diplomacy ya kanuni ya reciprocity.
Kwavile amri kuu ni upendo, mpend jirani yako kama unavyojipenda wewe na umtendee vile unapenda kutenda, na hata ikitokea jirani akaghafilika, akikupiga kofi la shavu lako la mkono wa kushoto, kama una upendo, usimrudishie, bali utamgeuzia na shavu la mkono wa kuume na sio kumrudishia.
Hoja hii ni kufuatia hiki kinachoendelea sasa kati yetu na jirani yetu kuhusiana na yatokanayo na COVID-19 kulikopelekea back biting, kunyoosheana vidole na tit for tat.
Nimenote baadhi ya comments za baadhi yetu sio comments za upendo na ujirani mwema, zenye nia ya kutafuta suluhisho la amani na kidiplomasia bali ni comments zenye hatred na fuelling the situation instead of resolving.
Sasa kwa vile sisi waandishi wa habari, huwa tunauwezo wa kuona ndani ya moyo wa mtu, na huwa tunapata access ya kuzungumza na marais wa nchi mbalimbali na katika kuzungumza huko, huweza kuusoma moyo mtu, na mimi niliwahi kupata access ya kuzungumza face to face na Rais Uhuru Kenyatta, hivyo...
Naomba kuchukua fursa hii kuwasisitiza Watanzania wenzangu kuwa nimeusoma moyo wa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, anaupendo na Watanzania. Kenya ni jirani mwema. Rais Uhuru Kenyatta, anatupenda Watanzania na ndie yeye alianza kufungua mipaka yake kwa Watanzania sio tu kuingia Kenya bila viza, bali hata bila passport, kitambulisho tu cha taifa zinatosha, tena hadi aka joke mko huru kuwaoa wanawake wao!
Hebu msikilize kwa makini Uhuru Kenyatta anasema nini hapa, je unajua anayezungumziwa ni nani?
Msikilize.
Huyo anayezungumziwa hapo, sii mwingine, bali ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli kufuatia track record yake kwenye ujenzi wa taifa letu.
Rais Uhuru Kenyatta amesisitiza upendo, Umoja, mshikamano na ushirikiano kati ya Wakenya na Watanzania katika kujenga Jumuiya moja ya Africa Mashariki.
Pia amethibitisha anampenda Magufuli na anamkubali sana, kwa track record ya kuijenga Tanzania na kuna kitu rais Uhuru Kenyatta ametusisitiza dish Watanzania tukifanye hapo mwezi October, naomba nisikiseme hapa ila kama kuna mwenye
masikio na asikie!.
Namalizia kwa kuwasisitiza Watanzania wenzangu, despite all the odds, bado tuwe na upendo kwa majirani wetu wote, leo kwako, kesho kwangu, tutumie njia za kidiplomasia kwanza katika kutafuta ufumbuzi wa sintofahamu yoyote, ofcourse kwa kutanguliza mbele Tanzania kwanza na maslahi ya taifa, upendo kwa majirani, upendo kwa wote, tutakuwa na amani, na tutabarikiwa sana!
Nawatakia Jumapili njema
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
there we go again with faida za kuoa na kuoleana! Kama Muungano wa kichizi na Zanzibar!tena hadi aka joke mko huru kuwaoa wanawake wao!
Tanzania tungekuwa na bahati sana kama tungekuwa daima tunawapata viongozi wanaotushikanisha na Dunia kuliko kutubomoa kutoka kwenye Dunia.
Faida ya kuwa na mahusiano mazuri na Dunia ni nyingi kuliko kila mara kuwa na matendo yanayotutenganisha na Dunia.
Utawala wa awamu, kwa kiasi kikubwa, umeyumba na kulegalega kwenye mambo mengi ya msingi, ukiwemo ihusiano wetu na Dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ni mtarajiwa wa kutuongoza 2025! Kama wajumbe watamkubali...Pascal Mayalla, ng'wilage giki ng'wanamhala Papamagamba anamuharibia reputation na sifa kwenye jicho la kiintaneshino.
Show ndogo Kama hizi anashindwa kuzi handle?
Mwana diplomasia gani anatoa macho utadhani anataka kupigana?
sorry sir sio kana kwamba anatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa kweli??? hivi mkenya anaweza kufurahia kuiona TANZANIA ina shine more than wao.kweli??Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huwa ninaandika kitu kupitia safu yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye kuhimiza patriotism kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa taifa letu, kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Pia niliwahi kusisitiza humu kuwa unaweza kuchagua marafiki lakini huwezi kuchagua majirani, ili uishi vema kwa raha na amani na majirani, ni lazima uwe na upendo kwa jirani yako hata kama unamuhisi hakupendi, wewe mpende tuu na muishi kwa ujirani mwema na jirani yako, na hata kukitokea sintofahamu yoyote baina yako na jirani yako, katika kutafuta suluhisho la simtofahamu hiyo, utangulize kwanza upendo na kuutatua mgogoro wowote na jirani yako kwa kutanguliza njia za kidiplomasia kwanza, diplomacy, zikishindikana ndipo tuje kwenye tit for tat ambayo nayo pia ni diplomacy ya kanuni ya reciprocity.
Kwavile amri kuu ni upendo, mpend jirani yako kama unavyojipenda wewe na umtendee vile unapenda kutenda, na hata ikitokea jirani akaghafilika, akikupiga kofi la shavu lako la mkono wa kushoto, kama una upendo, usimrudishie, bali utamgeuzia na shavu la mkono wa kuume na sio kumrudishia.
Hoja hii ni kufuatia hiki kinachoendelea sasa kati yetu na jirani yetu kuhusiana na yatokanayo na COVID-19 kulikopelekea back biting, kunyoosheana vidole na tit for tat.
Nimenote baadhi ya comments za baadhi yetu sio comments za upendo na ujirani mwema, zenye nia ya kutafuta suluhisho la amani na kidiplomasia bali ni comments zenye hatred na fuelling the situation instead of resolving.
Sasa kwa vile sisi waandishi wa habari, huwa tunauwezo wa kuona ndani ya moyo wa mtu, na huwa tunapata access ya kuzungumza na marais wa nchi mbalimbali na katika kuzungumza huko, huweza kuusoma moyo mtu, na mimi niliwahi kupata access ya kuzungumza face to face na Rais Uhuru Kenyatta, hivyo...
Naomba kuchukua fursa hii kuwasisitiza Watanzania wenzangu kuwa nimeusoma moyo wa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, anaupendo na Watanzania. Kenya ni jirani mwema. Rais Uhuru Kenyatta, anatupenda Watanzania na ndie yeye alianza kufungua mipaka yake kwa Watanzania sio tu kuingia Kenya bila viza, bali hata bila passport, kitambulisho tu cha taifa zinatosha, tena hadi aka joke mko huru kuwaoa wanawake wao!
Hebu msikilize kwa makini Uhuru Kenyatta anasema nini hapa, je unajua anayezungumziwa ni nani?
Msikilize.
Huyo anayezungumziwa hapo, sii mwingine, bali ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli kufuatia track record yake kwenye ujenzi wa taifa letu.
Rais Uhuru Kenyatta amesisitiza upendo, Umoja, mshikamano na ushirikiano kati ya Wakenya na Watanzania katika kujenga Jumuiya moja ya Africa Mashariki.
Pia amethibitisha anampenda Magufuli na anamkubali sana, kwa track record ya kuijenga Tanzania na kuna kitu rais Uhuru Kenyatta ametusisitiza dish Watanzania tukifanye hapo mwezi October, naomba nisikiseme hapa ila kama kuna mwenye
masikio na asikie!.
Namalizia kwa kuwasisitiza Watanzania wenzangu, despite all the odds, bado tuwe na upendo kwa majirani wetu wote, leo kwako, kesho kwangu, tutumie njia za kidiplomasia kwanza katika kutafuta ufumbuzi wa sintofahamu yoyote, ofcourse kwa kutanguliza mbele Tanzania kwanza na maslahi ya taifa, upendo kwa majirani, upendo kwa wote, tutakuwa na amani, na tutabarikiwa sana!
Nawatakia Jumapili njema
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Unafatilia kinachoendelea kati ya China na USA?Pascal Mayalla,
Ni kweli na Tz sio adui wa Kenya isipo kua awamu hi hatuna sere ya kimataifa inayojulikana( foreign policy) tumejikuta kwenye counter reaction tena ya kishamba inayo onyesha kwamba viongozi wetu hawana exprience ya dipulomasia na PR,
Hayo maelezo ya WHO yanawasaidia nini? Alafu ni yapi ambayo sisi hatufanyi? Kupima?Sasa sisi Tz tunafuata taratibu gani katika swala la Corona?! Wenzetu wanafuata maelekezo ya WHO
Kuna nini?Unafatilia kinachoendelea kati ya China na USA?
Acha uongo kuwa ni za "patriotism" ila kiukweli ni za kusifia kwa ajili ya malengo unayoyajua mwenyewe
Crimea , sisi tufuate utaratibu unaotufurahisha , acha wengine wafuate wa kwao . Na ukitaka kwenda huko ishi kama wao. Ugomvi wa nini ?!. Kisa sisi tunaishi kienyeji ?Hayo maelezo ya WHO yanawasaidia nini? Alafu ni yapi ambayo sisi hatufanyi? Kupima?
Chuki za kipumbavu kabisa!!Papamagamba Kabugi, amebugi kweli na Ofisi imemshinda, jamaa ni muongo Sana na ana m mislead Chato Boy.
Papamagamba Kabugi hatakiwi kuwepo hapo alipo, he is not a diplomatic personnel at all, mpelekeni eidha kwenye wizara ya Vita au ile wizara nyingine ya masumbwi.
Mkuu Pascal anaelewa vizuri sana, refer mada zake za ujenzi wa reli ya SGR ya Tanzania inavyowaumiza kichwa wakenya na SGR yao.Mkuu Paskali haelewi undani wa mioyo ya serikali ya Kenya,kwa ufupi hawatutakii mema.Hakuna maana ya kuendeleza undugu katika EAC yenye watu wasiotutakia Tanzania mema.
Leo nimekudharau sana jamaa yangu.
Yaani kuturuhusu kuingia Kenya bila ya Passport wewe umeona cha maana sana hujagundua kama huo ni mtego?Unadhani Watanzania watapata fursa gani ya kazi kule Kenya?
Hapo alitaka na sisi tuwaruhusu waingie bila ya passport waje wakamate nafasi za kazi kwetu kawaulize Rwanda kinachoendelea kwa sasa.
Kiufupi baada ya kuwakatalia ardhi yetu kuingizwa katika itifaki ya EAC wamekuja na mbinu nyingi za kutaka kuwa wengi upande wetu.
Kibali cha kufanya kazi Kenya kinatolewa bure kwa Watanzania sasa kaulizie ni Watanzania wangapi wame quality kupata hicho kibali?
Hata mimi nina uhakika Pascal Mayalla haya anayatambua tatizo la kiongozi wetu huyu ni kutokusema ukweli pale panapostahili wakenya sio wema kwetu hiyo iko wazi na ieleweke hivyo. Hawajaanza kipindi hichi cha corona wala haiwezi kuwa mwisho ubaguzi ni jadi yao. Tanzania inapakana na nchi 9 lakini kwanini kila siku ni Kenya tu. Tumepata kiongozi ambaye anakwenda nao bega kwa begi tumuunge mkono raisi wetu.Mkuu Pascal anaelewa vizuri sana, refer mada zake za ujenzi wa reli ya SGR ya Tanzania inavyowaumiza kichwa wakenya na SGR yao.
Basi kama anaelewa asilembe maumivu tunayopata He must call spade a spade not a big spoonMkuu Pascal anaelewa vizuri sana, refer mada zake za ujenzi wa reli ya SGR ya Tanzania inavyowaumiza kichwa wakenya na SGR yao.
Kama wanafuata taratibu za WHO na wameona inawafaa wasije Tanzania, kwani ndege zao huku Tanzania zinaleta nini kama wanahofia covid-19. Kama wao wameona njia tunazochukua siyo sahihi TCAA wamefanya vema kufuta kibali Cha KQSasa sisi Tz tunafuata taratibu gani katika swala la Corona?! Wenzetu wanafuata maelekezo ya WHO