Uhuru Kenyatta jirani mwema, atupenda Watanzania, amkubali sana JPM. Asisitiza upendo, umoja na ushirikiano kati Wakenya na Watanzania tujenge EAC 1

Uhuru Kenyatta jirani mwema, atupenda Watanzania, amkubali sana JPM. Asisitiza upendo, umoja na ushirikiano kati Wakenya na Watanzania tujenge EAC 1

Tanzania tungekuwa na bahati sana kama tungekuwa daima tunawapata viongozi wanaotushikanisha na Dunia kuliko kutubomoa kutoka kwenye Dunia.

Faida ya kuwa na mahusiano mazuri na Dunia ni nyingi kuliko kila mara kuwa na matendo yanayotutenganisha na Dunia.

Utawala wa awamu, kwa kiasi kikubwa, umeyumba na kulegalega kwenye mambo mengi ya msingi, ukiwemo ihusiano wetu na Dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Kila nipatapo fursa, huwa ninaandika kitu kupitia safu yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye kuhimiza patriotism kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa taifa letu, kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.

Pia niliwahi kusisitiza humu kuwa unaweza kuchagua marafiki lakini huwezi kuchagua majirani, ili uishi vema kwa raha na amani na majirani, ni lazima uwe na upendo kwa jirani yako hata kama unamuhisi hakupendi, wewe mpende tuu na muishi kwa ujirani mwema na jirani yako, na hata kukitokea sintofahamu yoyote baina yako na jirani yako, katika kutafuta suluhisho la simtofahamu hiyo, utangulize kwanza upendo na kuutatua mgogoro wowote na jirani yako kwa kutanguliza njia za kidiplomasia kwanza, diplomacy, zikishindikana ndipo tuje kwenye tit for tat ambayo nayo pia ni diplomacy ya kanuni ya reciprocity.

Kwavile amri kuu ni upendo, mpend jirani yako kama unavyojipenda wewe na umtendee vile unapenda kutenda, na hata ikitokea jirani akaghafilika, akikupiga kofi la shavu lako la mkono wa kushoto, kama una upendo, usimrudishie, bali utamgeuzia na shavu la mkono wa kuume na sio kumrudishia.

Hoja hii ni kufuatia hiki kinachoendelea sasa kati yetu na jirani yetu kuhusiana na yatokanayo na COVID-19 kulikopelekea back biting, kunyoosheana vidole na tit for tat.

Nimenote baadhi ya comments za baadhi yetu sio comments za upendo na ujirani mwema, zenye nia ya kutafuta suluhisho la amani na kidiplomasia bali ni comments zenye hatred na fuelling the situation instead of resolving.

Sasa kwa vile sisi waandishi wa habari, huwa tunauwezo wa kuona ndani ya moyo wa mtu, na huwa tunapata access ya kuzungumza na marais wa nchi mbalimbali na katika kuzungumza huko, huweza kuusoma moyo mtu, na mimi niliwahi kupata access ya kuzungumza face to face na Rais Uhuru Kenyatta, hivyo...

Naomba kuchukua fursa hii kuwasisitiza Watanzania wenzangu kuwa nimeusoma moyo wa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, anaupendo na Watanzania. Kenya ni jirani mwema. Rais Uhuru Kenyatta, anatupenda Watanzania na ndie yeye alianza kufungua mipaka yake kwa Watanzania sio tu kuingia Kenya bila viza, bali hata bila passport, kitambulisho tu cha taifa zinatosha, tena hadi aka joke mko huru kuwaoa wanawake wao!

Hebu msikilize kwa makini Uhuru Kenyatta anasema nini hapa, je unajua anayezungumziwa ni nani?
Msikilize.

Huyo anayezungumziwa hapo, sii mwingine, bali ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli kufuatia track record yake kwenye ujenzi wa taifa letu.

Rais Uhuru Kenyatta amesisitiza upendo, Umoja, mshikamano na ushirikiano kati ya Wakenya na Watanzania katika kujenga Jumuiya moja ya Africa Mashariki.

Pia amethibitisha anampenda Magufuli na anamkubali sana, kwa track record ya kuijenga Tanzania na kuna kitu rais Uhuru Kenyatta ametusisitiza dish Watanzania tukifanye hapo mwezi October, naomba nisikiseme hapa ila kama kuna mwenye
masikio na asikie!.

Namalizia kwa kuwasisitiza Watanzania wenzangu, despite all the odds, bado tuwe na upendo kwa majirani wetu wote, leo kwako, kesho kwangu, tutumie njia za kidiplomasia kwanza katika kutafuta ufumbuzi wa sintofahamu yoyote, ofcourse kwa kutanguliza mbele Tanzania kwanza na maslahi ya taifa, upendo kwa majirani, upendo kwa wote, tutakuwa na amani, na tutabarikiwa sana!

Nawatakia Jumapili njema

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali

Kaka Pascal ntapishana na wewe kuhusu wakenya mpaka milele, hawa ni mbwa tu na wataeendelea kuwa mbwa, hakuna kurudi nyuma. They had cemented in their brains that English has it all about life. If you happen to know kenyans from scratch as I do be careful and smart, exercise your the earliest to earn ur respect. We have never been Utopolo, the harmonised love we had as a country across human kind universally beared some of these fruits from kenyans. We have decided enough is enough, mnaotaka pancha rudini nyuma muwaone wakenya kama wema. Kenya is our no.1 enemy in all fronts.
 
tena hadi aka joke mko huru kuwaoa wanawake wao!
there we go again with faida za kuoa na kuoleana! Kama Muungano wa kichizi na Zanzibar!

Muafrika kumlainisha lazima umdodeshee mwanamke, eeeh?

Pick another card!

We can't sell the country for women to marry. Have enough of them already. Don't be a kinky chucklehead.

Kenya eased immigration restrictions for Tanzania because they expected the gesture to be reciprocated. They are waiting with bated breath for the chance to invade and grab the vast land and jobs. We have customarily let them out-compete us even in our domestic job market because we used to shrink in front of Kenyans. That era is long gone.
 
Tanzania tungekuwa na bahati sana kama tungekuwa daima tunawapata viongozi wanaotushikanisha na Dunia kuliko kutubomoa kutoka kwenye Dunia.

Faida ya kuwa na mahusiano mazuri na Dunia ni nyingi kuliko kila mara kuwa na matendo yanayotutenganisha na Dunia.

Utawala wa awamu, kwa kiasi kikubwa, umeyumba na kulegalega kwenye mambo mengi ya msingi, ukiwemo ihusiano wetu na Dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Omba uraia wa Kenya ukaropoke ukiwa huko. Upumbavu wa Wakenya sio wa kuchekewa hata kidogo
 
Pascal Mayalla, ng'wilage giki ng'wanamhala Papamagamba anamuharibia reputation na sifa kwenye jicho la kiintaneshino.
Show ndogo Kama hizi anashindwa kuzi handle?

Mwana diplomasia gani anatoa macho utadhani anataka kupigana?
Na ni mtarajiwa wa kutuongoza 2025! Kama wajumbe watamkubali...
 
Wanabodi,

Kila nipatapo fursa, huwa ninaandika kitu kupitia safu yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye kuhimiza patriotism kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa taifa letu, kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.

Pia niliwahi kusisitiza humu kuwa unaweza kuchagua marafiki lakini huwezi kuchagua majirani, ili uishi vema kwa raha na amani na majirani, ni lazima uwe na upendo kwa jirani yako hata kama unamuhisi hakupendi, wewe mpende tuu na muishi kwa ujirani mwema na jirani yako, na hata kukitokea sintofahamu yoyote baina yako na jirani yako, katika kutafuta suluhisho la simtofahamu hiyo, utangulize kwanza upendo na kuutatua mgogoro wowote na jirani yako kwa kutanguliza njia za kidiplomasia kwanza, diplomacy, zikishindikana ndipo tuje kwenye tit for tat ambayo nayo pia ni diplomacy ya kanuni ya reciprocity.

Kwavile amri kuu ni upendo, mpend jirani yako kama unavyojipenda wewe na umtendee vile unapenda kutenda, na hata ikitokea jirani akaghafilika, akikupiga kofi la shavu lako la mkono wa kushoto, kama una upendo, usimrudishie, bali utamgeuzia na shavu la mkono wa kuume na sio kumrudishia.

Hoja hii ni kufuatia hiki kinachoendelea sasa kati yetu na jirani yetu kuhusiana na yatokanayo na COVID-19 kulikopelekea back biting, kunyoosheana vidole na tit for tat.

Nimenote baadhi ya comments za baadhi yetu sio comments za upendo na ujirani mwema, zenye nia ya kutafuta suluhisho la amani na kidiplomasia bali ni comments zenye hatred na fuelling the situation instead of resolving.

Sasa kwa vile sisi waandishi wa habari, huwa tunauwezo wa kuona ndani ya moyo wa mtu, na huwa tunapata access ya kuzungumza na marais wa nchi mbalimbali na katika kuzungumza huko, huweza kuusoma moyo mtu, na mimi niliwahi kupata access ya kuzungumza face to face na Rais Uhuru Kenyatta, hivyo...

Naomba kuchukua fursa hii kuwasisitiza Watanzania wenzangu kuwa nimeusoma moyo wa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, anaupendo na Watanzania. Kenya ni jirani mwema. Rais Uhuru Kenyatta, anatupenda Watanzania na ndie yeye alianza kufungua mipaka yake kwa Watanzania sio tu kuingia Kenya bila viza, bali hata bila passport, kitambulisho tu cha taifa zinatosha, tena hadi aka joke mko huru kuwaoa wanawake wao!

Hebu msikilize kwa makini Uhuru Kenyatta anasema nini hapa, je unajua anayezungumziwa ni nani?
Msikilize.

Huyo anayezungumziwa hapo, sii mwingine, bali ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli kufuatia track record yake kwenye ujenzi wa taifa letu.

Rais Uhuru Kenyatta amesisitiza upendo, Umoja, mshikamano na ushirikiano kati ya Wakenya na Watanzania katika kujenga Jumuiya moja ya Africa Mashariki.

Pia amethibitisha anampenda Magufuli na anamkubali sana, kwa track record ya kuijenga Tanzania na kuna kitu rais Uhuru Kenyatta ametusisitiza dish Watanzania tukifanye hapo mwezi October, naomba nisikiseme hapa ila kama kuna mwenye
masikio na asikie!.

Namalizia kwa kuwasisitiza Watanzania wenzangu, despite all the odds, bado tuwe na upendo kwa majirani wetu wote, leo kwako, kesho kwangu, tutumie njia za kidiplomasia kwanza katika kutafuta ufumbuzi wa sintofahamu yoyote, ofcourse kwa kutanguliza mbele Tanzania kwanza na maslahi ya taifa, upendo kwa majirani, upendo kwa wote, tutakuwa na amani, na tutabarikiwa sana!

Nawatakia Jumapili njema

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
sorry sir sio kana kwamba anatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa kweli??? hivi mkenya anaweza kufurahia kuiona TANZANIA ina shine more than wao.kweli??
 
Pascal Mayalla,

Ni kweli na Tz sio adui wa Kenya isipo kua awamu hi hatuna sere ya kimataifa inayojulikana( foreign policy) tumejikuta kwenye counter reaction tena ya kishamba inayo onyesha kwamba viongozi wetu hawana exprience ya dipulomasia na PR,
Unafatilia kinachoendelea kati ya China na USA?
 
Acha uongo kuwa ni za "patriotism" ila kiukweli ni za kusifia kwa ajili ya malengo unayoyajua mwenyewe

Hata mimi hicho ndicho ninacho kiona!! Sijui kama Pascal anajua undani wa majirani zetu hawa , wanatuchekea kijuu juu wanapo kuwa na shida lakini deep down ni watu tofauti kabisa - kwa kumukumbusha Pascal ntamtolea mifano michache hatarishi ambayo yalikuwa na lengo la kuikosesha maendeleo Taifa letu na lingine baya zaidi ni kujaribu kushawishi Mataifa ya magharibi specifically USA ituone tupo kwenye kundi la Mataifa yanayo fuga ma terrorists, lengo lao likiwa tuwekewe vikwazo vya kiuchumi na kutengwa kimataifa.

Ebu tukumbushane hapa:-

  • Kuhusu ujenzi wa barabara ya lami kwenye mbuga za wanyama, huko Serengeti na Ngorongoro - Wakenya ndio walivalia njuga suala hili wakaenda kutushtitaki kwenye jumuiya ya kimataifa wakisambaza horror stories zisizo kuwa na kichwa wala miguu. Wanaisema sema Tanzania lakini hawasemi chochote kuhusu infrastructure zao za kwenda Mbuga Masai Mara.

  • Kupinga ujenzi wa Bwawa la kuzalisha umeme linalo jengwa kwenye mto wa Rufiji - wanazungumzia eti Project hiyo itasababisha uharibifu mkubwa wa mazingira na wanyama kukosa malisho na hifadhi, wanapiga kelele sana huku wakijua fika kwamba eneo ambalo litakuwa affected halizidi asili mia 2% ya eneo lote la hifadhi ya Selous - swali hapa ni: Kwa nini Wakenya mara zote wako overly concern na kile kinacho jiri kwenye Taifa letu hasa yale yanayo lenga kutuinua kiuchumi??

  • Mnakumbuka masuala ya Tembo na faru - walitusema sema sana kwenye Jumuiya ya kimataifa - ili tuonekana tuna support masuala ya ujangiri na uuzaji wa nyara za Tembo na Faru, siku nyingine wakadai Tanzania inazuia Nyumbu kwenda kwenye Mbuga ya Masaia Mara!

  • Kibaya zaidi ni pale Kenya ilipo tangazia Dunia kwamba imekamata ma terrorist kutoka Tanzania wakiwa safarini kwenda Somalia na Mashariki ya kati kwenda kuwasaidia Al Shaabab na ISIS eti wame hojiwa na kukiri kwamba walipata mafunzo ya kigaidi kutoka kwa kundi la wakufunzi wanao hifadhiwa na kundi la kidini Tanzania, kama Rais Obama hasingetumia busara zake ku-ignore madai hayo, basi Amerika ingeweza kabisa kutuwekea vikwazo vya kiuchumi na mibinyo mingine. Sasa kama kuna Baadhi ya Watanzania wanao fikiri watu wanao kuja na stori hatarishi kama hizo wana nia njema na Taifa letu,basi, Watanzania wa type hiyo their heads needs to be examine, hawako sawa hata kidogo.

Nimalizie kwa kusema kwamba ligi baina ya Kenya na Tanzania inatokana na maslahi ya kibiashara zaidi na ujinga huu haujaanzia leo, hatuna tofauti na kinacho jiri kati ya USA na China, Kenya wataendelea kubuni mikakati mingine ya kutaka kutukwamisha kimaendeleo, nikiona baadhi ya Watanzania wanao wasema sema JPM na Prof.Paramagamba eti kwa nini hawatumii tacticts za kidiplomasia kuelewana na Kenya - ukweli ni kwamba ni vigumu kuelewana na watu ambao ni highly unpredictable kama Mawimbi yanayo tokana na Tsunami, si rahisi kujua kesho atakuja na kisingizio gani, wanakataza ndege za Tanzania zisiende Kenya kisa eti Watanzania ni ma carriers wa virusi vya Corona wakati huo huo wanaruhusu USA ambao ndio inaongoza Duniani kwa maabukizi ya Corona pamoja na Uingereza ambayo ni Taifa la tatu kuwa na maabukizi ya Corona, ndege za Mataifa hayo zinaruhusiwa kwenda Kenya bila masharti yoyote save Tanzania - akili gani hizi?
 
Hayo maelezo ya WHO yanawasaidia nini? Alafu ni yapi ambayo sisi hatufanyi? Kupima?
Crimea , sisi tufuate utaratibu unaotufurahisha , acha wengine wafuate wa kwao . Na ukitaka kwenda huko ishi kama wao. Ugomvi wa nini ?!. Kisa sisi tunaishi kienyeji ?
 
Papamagamba Kabugi, amebugi kweli na Ofisi imemshinda, jamaa ni muongo Sana na ana m mislead Chato Boy.

Papamagamba Kabugi hatakiwi kuwepo hapo alipo, he is not a diplomatic personnel at all, mpelekeni eidha kwenye wizara ya Vita au ile wizara nyingine ya masumbwi.
Chuki za kipumbavu kabisa!!
Mlete hata mama yako awe waziri ufurahi kama tatizo ni uwaziri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Paskali haelewi undani wa mioyo ya serikali ya Kenya,kwa ufupi hawatutakii mema.Hakuna maana ya kuendeleza undugu katika EAC yenye watu wasiotutakia Tanzania mema.
Mkuu Pascal anaelewa vizuri sana, refer mada zake za ujenzi wa reli ya SGR ya Tanzania inavyowaumiza kichwa wakenya na SGR yao.
 
Leo nimekudharau sana jamaa yangu.

Yaani kuturuhusu kuingia Kenya bila ya Passport wewe umeona cha maana sana hujagundua kama huo ni mtego?Unadhani Watanzania watapata fursa gani ya kazi kule Kenya?

Hapo alitaka na sisi tuwaruhusu waingie bila ya passport waje wakamate nafasi za kazi kwetu kawaulize Rwanda kinachoendelea kwa sasa.

Kiufupi baada ya kuwakatalia ardhi yetu kuingizwa katika itifaki ya EAC wamekuja na mbinu nyingi za kutaka kuwa wengi upande wetu.

Kibali cha kufanya kazi Kenya kinatolewa bure kwa Watanzania sasa kaulizie ni Watanzania wangapi wame quality kupata hicho kibali?

Jana nilipitia article fulani inazungumzia kwamba kuna Kampuni ya Agro business kutoka Kenya inataka kuwekeza Tanzania kwa lengo la kuwakodisha wakulima matrekta na pembejeo nyingine za kilimo!!

Nikawa najiuliza maswali mengi, hivi kwani Tanzania inashindwa nini Kutumia SUMA JKT na Benki ya wakulima kuanzisha kitengo kama hicho hapa nchini - why Kenyans, later it dawn on me kwamba jamaa hawa wasiwe wanakuja na plan "B" ya kutaka kumiliki aridhi kinyemela kwa kupitia wakulima-watawakodisha wakulima matrekta na pembejeo alright, swali ni: Watakodishwa wakulima kwa masharti yapi, mazao watamuuzia nani, je wakishindwa kurudisha mikopo nini kitafuata, je, mikataba itakuwa na hidden clauses zipi? This should serve as a wake up call kwa Taifa letu ili tuwe makini zaidi si kingaacho ni dhahabu.
 
Sijaona watu wapumbavu na wajinga kama baadhi ya wachangiaji wa JF. Kenyans kwa ujumla wao hawawezi hata siku moja wakafurahia kinachotokea Tanzania. Watasema sema tu kwa mafumbo na kuna baadhi ya wachangiaji ambao walikuwa wananufaika wakati wa JK na BMW wataendelea kuponda na kukebehi juhudi za dhati anazofanya JPM. Bado hatujalala, Kenyans hata siku moja hawatatukakia mema huu unafiki wao lazima tuukate kwa vitendo.
 
Mkuu Pascal anaelewa vizuri sana, refer mada zake za ujenzi wa reli ya SGR ya Tanzania inavyowaumiza kichwa wakenya na SGR yao.
Hata mimi nina uhakika Pascal Mayalla haya anayatambua tatizo la kiongozi wetu huyu ni kutokusema ukweli pale panapostahili wakenya sio wema kwetu hiyo iko wazi na ieleweke hivyo. Hawajaanza kipindi hichi cha corona wala haiwezi kuwa mwisho ubaguzi ni jadi yao. Tanzania inapakana na nchi 9 lakini kwanini kila siku ni Kenya tu. Tumepata kiongozi ambaye anakwenda nao bega kwa begi tumuunge mkono raisi wetu.
 
Sasa sisi Tz tunafuata taratibu gani katika swala la Corona?! Wenzetu wanafuata maelekezo ya WHO
Kama wanafuata taratibu za WHO na wameona inawafaa wasije Tanzania, kwani ndege zao huku Tanzania zinaleta nini kama wanahofia covid-19. Kama wao wameona njia tunazochukua siyo sahihi TCAA wamefanya vema kufuta kibali Cha KQ
 
Back
Top Bottom