Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Sasa sisi Tz tunafuata taratibu gani katika swala la Corona?! Wenzetu wanafuata maelekezo ya WHOKwahiyo unaona Kenya wanafanya Jambo jema kwa Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa sisi Tz tunafuata taratibu gani katika swala la Corona?! Wenzetu wanafuata maelekezo ya WHOKwahiyo unaona Kenya wanafanya Jambo jema kwa Tanzania
Amka mzee! Acha kukariri mamboSasa sisi Tz tunafuata taratibu gani katika swala la Corona ?!. Wenzetu wanafuata maelekezo ya WHO
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787]. Sasa maabara tu ya kupima Covid 19 mlitupilia mbali !!. Unataka na jirani yako afuate imani zako?!Nilidhani watanzania wenye akili kama yako tayari wameisha kumbe bado upo! Hatari Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umefahamuje undani wa mioyo ya serikali ya Kenya?Mkuu Paskali haelewi undani wa mioyo ya serikali ya Kenya,kwa ufupi hawatutakii mema.Hakuna maana ya kuendeleza undugu katika EAC yenye watu wasiotutakia Tanzania mema.
The past, and the present.Wewe umefahamuje undani wa mioyo ya serikali ya Kenya?
hua tunatumia temporary passport mkuu, mara ya mwisho nmetumia mwaka jana september
Kuonesha ubabe, kutoa macho na kufoka bila kutazama athari zilizopita enzi tulipokuwa na mahusiano mabaya na majirani ama athari zitakazofuatia NDIO UZALENDO WA KWELI!!!Pascal Mayalla, ng'wilage giki ng'wanamhala Papamagamba anamuharibia reputation na sifa kwenye jicho la kiintaneshino.
Show ndogo Kama hizi anashindwa kuzi handle?
Mwana diplomasia gani anatoa macho utadhani anataka kupigana?
umeongea vema sana, tatizo la baadhi yetu ni unafiki mtu anakufanyia mambo ya hovyo umchekee tu eti kwa sababu jirani, mbona tulipo jibu akili imewakaa sawa kama wao sio jeuri ni nini? na dawa ya jeuri ni kiburi, Mayala ni msukuma wao huwa wana msemo wao ndoho tabuu hata kama anapingu mkononi anaelekea kwenye defender.Kenyans ni alama kamili ya ubeberu. Beberu akikuona umenuna yeye anakuchekea, akikuona umefurahi yeye ananuna, wanaenda kwa timing ili wakwapue kwa maslahi yao hawa
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huwa ninaandika kitu kupitia safu yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye kuhimiza patriotism kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa taifa letu, kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Pia niliwahi kusisitiza humu kuwa unaweza kuchagua marafiki lakini huwezi kuchagua majirani, ili uishi vema kwa raha na amani na majirani, ni lazima uwe na upendo kwa jirani yako hata kama unamuhisi hakupendi, wewe mpende tuu na muishi kwa ujirani mwema na jirani yako, na hata kukitokea sintofahamu yoyote baina yako na jirani yako, katika kutafuta suluhisho la simtofahamu hiyo, utangulize kwanza upendo na kuutatua mgogoro wowote na jirani yako kwa kutanguliza njia za kidiplomasia kwanza, diplomacy, zikishindikana ndipo tuje kwenye tit for tat ambayo nayo pia ni diplomacy ya kanuni ya reciprocity.
Kwavile amri kuu ni upendo, mpend jirani yako kama unavyojipenda wewe na umtendee vile unapenda kutenda, na hata ikitokea jirani akaghafilika, akikupiga kofi la shavu lako la mkono wa kushoto, kama una upendo, usimrudishie, bali utamgeuzia na shavu la mkono wa kuume na sio kumrudishia.
Hoja hii ni kufuatia hiki kinachoendelea sasa kati yetu na jirani yetu kuhusiana na yatokanayo na COVID-19 kulikopelekea back biting, kunyoosheana vidole na tit for tat.
Nimenote baadhi ya comments za baadhi yetu sio comments za upendo na ujirani mwema, zenye nia ya kutafuta suluhisho la amani na kidiplomasia bali ni comments zenye hatred na fuelling the situation instead of resolving.
Sasa kwa vile sisi waandishi wa habari, huwa tunauwezo wa kuona ndani ya moyo wa mtu, na huwa tunapata access ya kuzungumza na marais wa nchi mbalimbali na katika kuzungumza huko, huweza kuusoma moyo mtu, na mimi niliwahi kupata access ya kuzungumza face to face na Rais Uhuru Kenyatta, hivyo...
Naomba kuchukua fursa hii kuwasisitiza Watanzania wenzangu kuwa nimeusoma moyo wa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, anaupendo na Watanzania. Kenya ni jirani mwema. Rais Uhuru Kenyatta, anatupenda Watanzania na ndie yeye alianza kufungua mipaka yake kwa Watanzania sio tu kuingia Kenya bila viza, bali hata bila passport, kitambulisho tu cha taifa zinatosha, tena hadi aka joke mko huru kuwaoa wanawake wao!
Hebu msikilize kwa makini Uhuru Kenyatta anasema nini hapa, je unajua anayezungumziwa ni nani?
Msikilize.
Huyo anayezungumziwa hapo, sii mwingine, bali ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli kufuatia track record yake kwenye ujenzi wa taifa letu.
Rais Uhuru Kenyatta amesisitiza upendo, Umoja, mshikamano na ushirikiano kati ya Wakenya na Watanzania katika kujenga Jumuiya moja ya Africa Mashariki.
Pia amethibitisha anampenda Magufuli na anamkubali sana, kwa track record ya kuijenga Tanzania na kuna kitu rais Uhuru Kenyatta ametusisitiza dish Watanzania tukifanye hapo mwezi October, naomba nisikiseme hapa ila kama kuna mwenye
masikio na asikie!.
Namalizia kwa kuwasisitiza Watanzania wenzangu, despite all the odds, bado tuwe na upendo kwa majirani wetu wote, leo kwako, kesho kwangu, tutumie njia za kidiplomasia kwanza katika kutafuta ufumbuzi wa sintofahamu yoyote, ofcourse kwa kutanguliza mbele Tanzania kwanza na maslahi ya taifa, upendo kwa majirani, upendo kwa wote, tutakuwa na amani, na tutabarikiwa sana!
Nawatakia Jumapili njema
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huwa ninaandika kitu kupitia safu yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye kuhimiza Patriotism kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa taifa letu, kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Pia niliwahi kusisitiza humu kuwa unaweza kuchagua marafiki lakini huwezi kuchagua majirani, ili uishi kwa raha, ni lazima muishi kwa ujirani mwema na jirani yako, na hana kama kutatokea sintofahamu yoyote kati yako na jirani yako, katika kutafuta suluhishi, utangulize upendo na kuutatua mgogoro wowote na jirani yako kwa kutanguliza njia za kidiplomasia kwanza, diplomacy, zikishindikana ndipo tuje kwenye tit for tat ambayo nayo pia ni diplomacy ya kanuni ya reciprocity.
Kwavile amri kuu ni upendo, jirani akikupiga kofi la mkono wa kushoto, kama una upendo, utamgeuzia na mkono wa kuume na sio kumrudishia.
Hoja hii ni kufuatia hiki kinachoendelea kati yetu na jirani yetu kuhusiana na COVID-19 kulikopekea back biting na tit for tat.
Nimenote baadhi ya comments za baadhi yetu ni comments sio za upendo wala kutafuta suluhisho la kidiplomasia basi ni comments zenye hatred na fuelling the situation instead of resolving.
Sasa kwa vile sisi waandishi huwa tunapata access na marais wa nchi, na mimi niliwahi kupata access ya kuzungumza face to face na Rais Uhuru Kenyatta.
Naomba kuchukua fursa hii kuwasisitiza Watanzania wenzangu kuwa Kenya ni jirani mwema. Rais Uhuru Kenyatta, anatupenda Watanzania na ndie yeye alianza kufungua mipaka yake kwa Watanzania sio tu kuingia Kenya bila viza, bali hata bila passport, kitambulisho tu cha taifa zinatosha, tena hadi aka joke mko huru kuwaoa wanawake wao!
Hebu msikilize kwa makini Uhuru Kenyatta anasema nini hapa, je unajua anayezungumziwa ni nani?
Msikilize.
Huyo anayezungumziwa hapo, sii mwingine, anamzungumzia Dr. John Pombe Joseph Magufuli kufuatia track record yake kwenye ujenzi wa taifa letu.
Rais Uhuru Kenyatta amesisitiza upendo, Umoja, mshikamano na ushirikiano kati ya Wakenya na Watanzania katika kujenga Jumuiya moja ya Africa Mashariki.
Pia amethibitisha anampenda Magufuli na anamkubali sana, kwa track record ya kuijenga Tanzania na kuna kitu rais Uhuru Kenyatta ametuhusia Watanzania tukifanye.
Mwenye masikio na asikie.
Namalizia kwa kuwasisitiza Watanzania wenzangu, despite all the odds, bado tuwe na upendo kwa majirani wetu wote, leo kwako, kesho kwangu, tutumie njia za kidiplomasia kwanza katika kutafuta ufumbuzi wa sintofahamu yoyote, ofcourse kwa kutanguliza mbele Tanzania kwanza na maslahi ya taifa, upendo kwa majirani, upendo kwa wote, tutakuwa na amani, na tutabarikiwa sana!
Nawatakia Jumapili njema
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Hahahaha! wakati wowote unaweza kuwa msiba.Naunga mkono hoja, kwa maoni yangu Tanzania tume overreact, kulikuwa hakuna sababu, siyo jinsi ambavyo watu matured wanavyopaswa kutatua matatizo, inanikumbusha ex girlfriend wangu, ilikuwa nikikosea kidogo tu hata kama tumepishana kidogo sana hiyo revenge yake unaweza kujiua, alikuwa immature, ...
Hasa akivuta bangiUhuru Kenyata yuko vizuri kichwani.