Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,517
- 5,533
kwahio kama unaagiza ngano ukraine wakati iko kwenye vita sasa utakaa kimya bila kutafuta sehemu nyigine? tapanya hio akili hayupo yeye peke yake sisi ndio tunatakiwa tuwe wabunifu.Kweli wewe ni Apeche Alolo. Hujui kwamba Kenya na Tanzania zinategemeana sana kibiashara? Panapotokea machafuko Kenya ni kuwa biashara nyingi zinakwama. Madhara ni makubwa hadi kwa majirani.
Kama ulikuwa hujui elewa maandamano ya kiafrika ni makafara!Lengo la maandamano lilikua ni kuua watu?? Odinga, Kalonzo, Wamalwa, Oparanya, Mwangi wairia, Martha karua, Wajackoya, Otiende amollo etc. Walikua wapi kuongoza maandamano??
Haya bosskwahio kama unaagiza ngano ukraine wakati iko kwenye vita sasa utakaa kimya bila kutafuta sehemu nyigine? tapanya hio akili hayupo yeye peke yake sisi ndio tunatakiwa tuwe wabunifu.
Local head at your finest!!Tuliokuwa tunafahamu na tunasema kuwa katiba mpya hata iandikwe vipi siyo mwanzo au mwisho wa matatizo hatukueleweka.
Kudai katiba mpya ni turufu tu ya upinzani uliokosa sera. Kwa sababu katiba inaweza ikabadilishwa kidogo kidogo vifungu vikaongezwa au vikapunguzwa au vikarekebishwa.
Waafrika tu wajinga sana na hatutafikia mwisho wa ujinga kwa muda mrefu sana. Ujinga tulionao siyo wa asili ni wa kupandikizwa na huo ni mbaya zaidi kuliko ujinga wa asili.
AiseeeHaya mambo ya Uongozi ni magumu Sana Hata ukistaafu basi utaandamwa tu mimi ndio sababu Nampongeza Sana mzee Mwinyi Ruksa alipostaafu tu alikimbilia Msikitini na kujikita na mambo ya muumba tu
Nchi jirani ya Kenya Rais Ruto anampelekea moto Boss wake mstaafu Uhuru Kenyatta na kuizongazonga familia yake akiwemo mama na mtoto wake
Uhuru kamtolea uvivu Ruto kwa kumwambia amkamate Yeye asizungukezunguke tu na kuwasumbua Wanawake na Watoto
Kupitia Citizen TV Uhuru ameonekana alimwambia Ruto kwamba kuanzia sasa atailinda familia yake kwa gharama yoyote ile
Duh.... Ukiona kwako kunafuka Moshi just kwa mwenzako moto unawaka
Mlale Unono 😃
Wewe mtu umemshinda kwny Sanduku la kura, akakimbilia Mahakamani ukamshinda halafu anahamasisha vurugu ili Nchi isitawalike umtazame tu?Ruto ni mshamba sana ndo madhara ya kumpa madarakani mshamba,tuliwaambia wakenya huyo ni zao la dikteta hawakusikia.
Ana bifu za kijinga
Hili ni swali ama ni hoja?Wana katiba nzuri sana lakini?
Sawa boss.Haya boss
Kwenye Siasa Ushindi wa 51% kwa 49% ni tofauti kabisa na hisa 51% za Simba na 49 za MoWewe mtu umemshinda kwny Sanduku la kura, akakimbilia Mahakamani ukamshinda halafu anahamasisha vurugu ili Nchi isitawalike umtazame tu?
Ruto kawafanyia sana Staha wamemuona fala …acha mwiba utolewe kwa style ile ile uliyoingilia
Lugha Yako ingeitamka enzi ya shujaa magufuri ingependeza zaidiRuto ni mshamba sana ndo madhara ya kumpa madarakani mshamba,tuliwaambia wakenya huyo ni zao la dikteta hawakusikia.
Ana bifu za kijinga
Kwa mfano mnataka Rutto afanyeje hao wapinzani wake wakishinikiza maandamano kila kukicha.Kwenye Siasa Ushindi wa 51% kwa 49% ni tofauti kabisa na hisa 51% za Simba na 49 za Mo
Ushindi mwembamba Siasani unahitaji hekima kubwa ya Uongozi ndio sababu Karume kasema CCM haijawahi kushinda uRais Zanzibar
Ulokole wa Nigeria utamgharimu sana Ruto
Usijifiche Kwa Katiba mpya! Mageuzi ni lazima kuondokana na wakoloni weusi! Mi-ccm yasitutishe!Tuliokuwa tunafahamu na tunasema kuwa katiba mpya hata iandikwe vipi siyo mwanzo au mwisho wa matatizo hatukueleweka.
Kudai katiba mpya ni turufu tu ya upinzani uliokosa sera. Kwa sababu katiba inaweza ikabadilishwa kidogo kidogo vifungu vikaongezwa au vikapunguzwa au vikarekebishwa.
Waafrika tu wajinga sana na hatutafikia mwisho wa ujinga kwa muda mrefu sana. Ujinga tulionao siyo wa asili ni wa kupandikizwa na huo ni mbaya zaidi kuliko ujinga wa asili.