Uhuru Kenyatta: Mapolisi mwambieni anayewatuma msisumbue familia yangu. Nikamateni Mimi niko hapa acheni uwoga!

Uhuru Kenyatta: Mapolisi mwambieni anayewatuma msisumbue familia yangu. Nikamateni Mimi niko hapa acheni uwoga!

Kweli wewe ni Apeche Alolo. Hujui kwamba Kenya na Tanzania zinategemeana sana kibiashara? Panapotokea machafuko Kenya ni kuwa biashara nyingi zinakwama. Madhara ni makubwa hadi kwa majirani.
kwahio kama unaagiza ngano ukraine wakati iko kwenye vita sasa utakaa kimya bila kutafuta sehemu nyigine? tapanya hio akili hayupo yeye peke yake sisi ndio tunatakiwa tuwe wabunifu.
 
Tuliokuwa tunafahamu na tunasema kuwa katiba mpya hata iandikwe vipi siyo mwanzo au mwisho wa matatizo hatukueleweka.

Kudai katiba mpya ni turufu tu ya upinzani uliokosa sera. Kwa sababu katiba inaweza ikabadilishwa kidogo kidogo vifungu vikaongezwa au vikapunguzwa au vikarekebishwa.

Waafrika tu wajinga sana na hatutafikia mwisho wa ujinga kwa muda mrefu sana. Ujinga tulionao siyo wa asili ni wa kupandikizwa na huo ni mbaya zaidi kuliko ujinga wa asili.
Local head at your finest!!
 
Wakenya wameamua kupeleka malalamiko yao ICC
Screenshot_20230721-222118.png
Screenshot_20230721-222057.png
1689967744819.jpg
 
Nauona Mwisho wa Ruto ,, naona kama harudi madarakani uchaguzi ujao kwa namna yoyote ile...

Uhuru alijua kenya yupo yeye na odinga akamfanya rafiki ila Ruto kajua kuna Odinga na Uhuru yeye anawafanya maadui wakati hao wanaweza kuigawa nchi na watu bila kujali mamlaka aliyonayo kwenye nchi.

Akikaza ubongo atakua na njia yake ya pekee katika nchi ya kenya, Afrika mashariki na Africa nje na ndani atakua na maadui.
 
Uhuru kachagua kuhamasisha Maandamano ya ghasia ili kuvuruga Ruto asitawale kwa amani halafu anampangia Ruto na namna ya ku dili nae

kama unaona sawa kuchochea ghasia kwny jamii acha nae aonje matunda ya kuchochea ghasia kwny familia

Mitano tena kwa Ruto
 
Haya mambo ya Uongozi ni magumu Sana Hata ukistaafu basi utaandamwa tu mimi ndio sababu Nampongeza Sana mzee Mwinyi Ruksa alipostaafu tu alikimbilia Msikitini na kujikita na mambo ya muumba tu

Nchi jirani ya Kenya Rais Ruto anampelekea moto Boss wake mstaafu Uhuru Kenyatta na kuizongazonga familia yake akiwemo mama na mtoto wake

Uhuru kamtolea uvivu Ruto kwa kumwambia amkamate Yeye asizungukezunguke tu na kuwasumbua Wanawake na Watoto

Kupitia Citizen TV Uhuru ameonekana alimwambia Ruto kwamba kuanzia sasa atailinda familia yake kwa gharama yoyote ile

Duh.... Ukiona kwako kunafuka Moshi just kwa mwenzako moto unawaka

Mlale Unono 😃
Aiseee
 
Ruto ni mshamba sana ndo madhara ya kumpa madarakani mshamba,tuliwaambia wakenya huyo ni zao la dikteta hawakusikia.
Ana bifu za kijinga
Wewe mtu umemshinda kwny Sanduku la kura, akakimbilia Mahakamani ukamshinda halafu anahamasisha vurugu ili Nchi isitawalike umtazame tu?

Ruto kawafanyia sana Staha wamemuona fala …acha mwiba utolewe kwa style ile ile uliyoingilia
 
Kwenye Siasa Ushindi wa 51% kwa 49% ni tofauti kabisa na hisa 51% za Simba na 49 za Mo

Ushindi mwembamba Siasani unahitaji hekima kubwa ya Uongozi ndio sababu Karume kasema CCM haijawahi kushinda uRais Zanzibar

Ulokole wa Nigeria utamgharimu sana Ruto
 
Kwa mfano mnataka Rutto afanyeje hao wapinzani wake wakishinikiza maandamano kila kukicha.
Apige magoti, alie, awabembeleze, awaombe, ajiuzulu, awape vyeo, awaache waandamane waharibu uchumi au afanye nini hasa.

Huo ushindi mwembamba wa 51% si ni ushindi kikatiba? Mahakama si walienda wakashindwa, sasa wanachotaka kingine hao Kenyatta na Odinga ni kitu gani.
 
Tuliokuwa tunafahamu na tunasema kuwa katiba mpya hata iandikwe vipi siyo mwanzo au mwisho wa matatizo hatukueleweka.

Kudai katiba mpya ni turufu tu ya upinzani uliokosa sera. Kwa sababu katiba inaweza ikabadilishwa kidogo kidogo vifungu vikaongezwa au vikapunguzwa au vikarekebishwa.

Waafrika tu wajinga sana na hatutafikia mwisho wa ujinga kwa muda mrefu sana. Ujinga tulionao siyo wa asili ni wa kupandikizwa na huo ni mbaya zaidi kuliko ujinga wa asili.
Usijifiche Kwa Katiba mpya! Mageuzi ni lazima kuondokana na wakoloni weusi! Mi-ccm yasitutishe!
 
Back
Top Bottom