Uhuru Kenyatta: Mapolisi mwambieni anayewatuma msisumbue familia yangu. Nikamateni Mimi niko hapa acheni uwoga!

Na mtaendelea kuwa wajinga maana likija swala la dini akili zinawaruka
 
Hapo kina Odinga wanataka wagawane ulaji hayo mambo sijui wanapigania ugumu wa maisha ni danganya toto
Kweli kabisa.....
Odinga na Azimio wanataka na wao kipande cha mkate tu.

Ila njia anayotumia Ruto kuwazima wapinzani huenda ikazidisha sintofahamu.
 
Wewe mtu umemshinda kwny Sanduku la kura, akakimbilia Mahakamani ukamshinda halafu anahamasisha vurugu ili Nchi isitawalike umtazame tu?

Ruto kawafanyia sana Staha wamemuona fala …acha mwiba utolewe kwa style ile ile uliyoingilia
Huo ujinga haupo Kenya.

Ruto hawafanyii staha bali katiba yao ndiyo inayoheshimu hisia na matakwa ya umma.

Umma una uwezo wa kumwondoa kiongozi yeyote wakati wowote unapoona utawala hauna uwezo wa kuyafikia matarajio yao. Nchi ngapi marais wamewahi kufurushwa kupitia maandamano? Ruto angekuwa na hekima alistahili kujadiliana na wasioridhishwa na Serikali ili kuona namna bora ya kueenenda. Lakini anavyoenda, miaka yake yote ya utawala hatafanikiwa kwa lolote.
 
Mambo mengine wanafanya wenyewe ili Ruto aonekane mbaya,mitoto iliyokulia kotazi haitaki kuachia nankukubali kwamba nchi imeshikwa na mtu mwingine
 
Watengeneze Katiba Mpya 😀
 
Hikma ya kugawana Madaraka kwa kuwa tu kura mmepishana kiasi kidogo inaua Demokrasia

Ushasikia upumbavu huo wa kugawana madaraka Marekani?


Hapo kina Odinga wanataka wagawane ulaji hayo mambo sijui wanapigania ugumu wa maisha ni danganya toto
Wanasiasa wa Marekani wanaziishu Itikadi za vyama vyao lakuni Africa ndio ukaona Lowassa kaikodi Chadema na Membe kaikodi ACT wazalendo ili wagombee uRais!
 
Mnamchukuliaje Ruto?? Bei ya sukari na Unga ilikuaje kabla ya uchaguzi ukilinganisha na kipindi hiki?, miezi 11 ya uongozi wake out of 5 years unasema amefail? Nchi ameichukua ikiwa na mikopo iliyo mature anajaribu kila namna kurudisha nchi kwenye mstari apewe muda
 
awaombe, ajiuzulu, awape vyeo, awaache waandamane waharibu uchumi au afanye nini hasa.

Huo ushindi mwembamba wa 51% si ni ushindi kikatiba? Mahakama si walienda wakashindwa, sasa wanachotaka kingine hao Kenyatta na Odinga ni kitu gani.

Ushindi upo kwenye margin of error, It means it could either way. Odinga, Wajaluo wamezulumiwa haki zao tangu Uhuru.

Muhimu sana hapa Afrika tuwe serikali shirikishi zaidi ya winner take it all. Kujumuisha Kanda, kabila, wanawake, dini zote.

Ukiletewa system usiichukue jumla. Irekebishe kwa mazingira yako
 
Kuna shida gani kuwapa Odinga, Uhuru na chama chake wizara, majukumu kuhusu kujenga nchi.

Wao watakuwa accountable Kwa wizara husika. Mfano uwape wizara ya Fedha au mipango. Wao ndio watawajibika kujibu hoja za wananchi.
 
Uhuru zao la JK
JK ni kiumbe toka sayari ya Jupiter ukiongelea kwny mambo ya Siasa za Africa

Sakata la Bandari yupo kimya …upande wake ndio utashinda na utajua yupo upande gani ikifika 2030

sakata la Richmond tumejua upande wake baada ya miaka 9 tena akitamka mwenyewe jijini Mwanza akihitimisha Kampeni za Chama chake October 28, 2015
 
Kwani kipindi uhuru anasema COVID na Ukraine zimemuathiri mbona Ruto alikataa? Leo kawa Rais anasingizia hayo hayo.

Ruto alisema ndani ya siku 100 bei zitashuka then miezi 11 unasema michache? Basi asingeahidi kitu kuliko kuongea uongo alafu kutafuta visingizio
 
Atekeleze alichoahidi full stop, kama kafeli basi apishe
 
Tulipandikizwa ujinga na nani?
 
Wanasiasa wanapoongea inabidi uwasikilize kwa akili, wanasiasa sio viongozi wa ibada ndio maana wanapeana miaka 5 kutimiza yote waliyoahidi kipindi cha Campaign. Unategemea Raila angekuwa Rais leo gharama ya maisha ingekua chini?
 
Wanasiasa wanapoongea inabidi uwasikilize kwa akili, wanasiasa sio viongozi wa ibada ndio maana wanapeana miaka 5 kutimiza yote waliyoahidi kipindi cha Campaign. Unategemea Raila angekuwa Rais leo gharama ya maisha ingekua chini?
Unamuonaje Odinga? Serikali ya umoja wa kitaifa ndio ilikuwa efficient kuliko serikali yoyote Ile katika history ya Kenya.

Odinga asingelea mafisadi, angenyoosha ujinga ujinga wote na mabadiliko yangeonekana. Kumbuka karua ni makamu wake na rekodi yake ya usafi Haina shaka.

Wakenya walichagua fisadi na nilisema humu kuwa watajuta kabla hata ya 2024!! Yakwapi Sasa matumizi ya serikali yamezidi Yale ya uhuru at the same time ufisadi umezidi wa uhuru.

Ruto is a failure
 
Hilo sio takwa la kikatiba, katiba yao haijalazimisha wagawane madaraka.
Speculation yako ya kwamba Wajaluo wameibiwa kura ni baseless, wameenda mahakamani na evidence hawana. Badala yake Odinga analazimisha maandamano. Mbona Rutto serikali yake ni shirikishi na haijakiuka katiba. Yani wanalazimisha league bila sababu za msingi.
 
Mzee hana shida kwani ana mtoto rais, wabunge na wenginei jumla watano hivi. Mwisho wa mwezi anazipokea kwa mikono miwili, miguu miwili na hata masikio mawili nayo yanazipokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…