ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Na mtaendelea kuwa wajinga maana likija swala la dini akili zinawarukaTuliokuwa tunafahamu na tunasema kuwa katiba mpya hata iandikwe vipi siyo mwanzo au mwisho wa matatizo hatukueleweka.
Kudai katiba mpya ni turufu tu ya upinzani uliokosa sera. Kwa sababu katiba inaweza ikabadilishwa kidogo kidogo vifungu vikaongezwa au vikapunguzwa au vikarekebishwa.
Waafrika tu wajinga sana na hatutafikia mwisho wa ujinga kwa muda mrefu sana. Ujinga tulionao siyo wa asili ni wa kupandikizwa na huo ni mbaya zaidi kuliko ujinga wa asili.