Uhuru Kenyatta taswira ya Rais wa Afrika

Big Eagle

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2020
Posts
592
Reaction score
625
Binafsi upenda kumuangalia sana Kenyatta na kupata wazo kuna aja ya kuwapa uongozi damu ya wapigania uhuru.

Uhuru Kenyatta anatakiwa kuwa kitabu shule na vikaoni tumsome.

Utu
Demokrasia
Haki na usawa

Vitu hivi vitatu kwa Africa ni changamoto isipokua Kenya kwa Kenyatta.
 
Hivi vitu vipo Kenya, Ghana, South Africa na Malawi
 
Kenya kwa sasa ipo katika kiwango cha juu sana cha uongozi bora katika Afrika. Wajinga na wanafiki watapinga lakini wenye akili wanalitambua hilo.

Leo US, the most superpower anajadili tatizo la demokrasia, haki na utawala bora kwa nchi za Afrika, na Uhuru Kenyatta.

Hata chini ya Raila, Kenya itaendelea kung'ara. Kenya imevuka na kuzishinda siasa zile za kinafiki na ushabiki wa vyama, ambao Tanzania inapitia sasa. Tanzania imerudi nyuma sana katika uongozi bora. Japo hatukuwa tumefanikiwa sana, angalao awamu zilizopita tulikuwa tumeiona njia. Marehemu akaipeleka nchi kwenye matope, inagaragara, haijui hata pakutokea.
 
Kwangu mimi Uhuru Kenyata is the best president in East Africa. Hasa kwa kuwa na sense of human respect ikifuatiwa na hayo mengine aliyoyataja muanzisha mada
As we speak, Uhuru Kenyatta is the best President in Afrika.

Kuna mataifa, kama Botswana, yana uongozi mzuri, lakini wao wanaendeleza uongozi mzuri walioukuta. Uhuru amefanya kazi kubwa kuufuta mfumo mbaya wa uongozi alioukuta na kuweka mfumo bora wa uongozi. Hiyo siyo kazi ndogo. Hapa kwetu, Samia kuna mambo anajua kabisa yapo vibaya, yalianzishwa na marehemu Magufuli, na mengine yamekuwepo vipindi vyote, lakini hana ujasiri, ni muoga wa kuweza kufuta na kusimika mifumo mipya.
 
Uhuru Kenyatta? Kabisa?
Nyie watu sijui mna matatizo gani
Hakuna raisi wa ajabu kama Uhuru, Ni mla rushwa na muuaji
Alihonga judges wa the Hague, Ila uhalisia aliua sana na alistahili hukumu.
 
Back
Top Bottom