Kenya kwa sasa ipo katika kiwango cha juu sana cha uongozi bora katika Afrika. Wajinga na wanafiki watapinga lakini wenye akili wanalitambua hilo.
Leo US, the most superpower anajadili tatizo la demokrasia, haki na utawala bora kwa nchi za Afrika, na Uhuru Kenyatta.
Hata chini ya Raila, Kenya itaendelea kung'ara. Kenya imevuka na kuzishinda siasa zile za kinafiki na ushabiki wa vyama, ambao Tanzania inapitia sasa. Tanzania imerudi nyuma sana katika uongozi bora. Japo hatukuwa tumefanikiwa sana, angalao awamu zilizopita tulikuwa tumeiona njia. Marehemu akaipeleka nchi kwenye matope, inagaragara, haijui hata pakutokea.