Nani alikuambia Uhuru anasimamia hayo yote ? Kwanza yeye alikuwa kwenye kundi lililoongoza kampeni ya kuikataa katiba mpya ambayo ililetwa na kina Raila.
Uhuru hajawahi kuoigania Kenya na hawezi kuingia kwenye historia ya kishujaa kipuuzi nmana hii. Yule boya yuko pale kulinda maslahi ya familia yake. Baba yake alinyakua ardhi na utajiri wa Kenya kiasi kwamba wanaogopa kuachia madaraka.
Ukimuona sasa hivi amemgeuka naibu wake aliyempa uraisi, unajua ni kwanini? Sababu ni moja kubwa. Hofu ya kulipiziwa kisasi na kuhamishwa wa Kikukuyu kutoka eneo la bonde la Ufa kwenye ardhi ya wakalenjin.
Iko hivi, baada ya uhuru kupatikana, Rais Kenyatta aliwahanisha wakikuyu wengi na kuwapeleka kwenye ardhi yenye rutuba ya wakalenjin. Wakalenjin wana hasira na wakikuyu wanaoushi maeneo ya Naivasha na Nakuru kwasababu walinyakua ardhi yao. Sasa mwaka 2007/2008 angalia Kiambaa, Ruto na wakalenjin waliwachoma wakikuyu kama kuku kanisani.
Kuna uhasama mkubwa sana. Uhuru anaogopa Ruto akiingia madarakani hajui hatma ya wakikuyu wanaoushi eneo la Bonde la Ufa itakuwaje. Anaona bora amuunge mkono mtu mwingine ila siyo Ruto.
Uhuru hana democrasia sema katiba inamlazimisha na imepunguza madaraka ya raisi na kuzipa taasisi nguvu.