Uhuru Kenyatta taswira ya Rais wa Afrika

Kenya kwa sasa ipo katika kiwango cha juu sana cha uongozi bora katika Afrika. Wajinga na wanafiki watapinga lakini wenye akili wanalitambua hilo.

Leo US, the most superpower anajadili tatizo la demokrasia, haki na utawala bora kwa nchi za Afrika, na Uhuru Kenyatta.

Hata chini ya Raila, Kenya itaendelea kung'ara. Kenya imevuka na kuzishinda siasa zile za kinafiki na ushabiki wa vyama, ambao Tanzania inapitia sasa. Tanzania imerudi nyuma sana katika uongozi bora. Japo hatukuwa tumefanikiwa sana, angalao awamu zilizopita tulikuwa tumeiona njia. Marehemu akaipeleka nchi kwenye matope, inagaragara, haijui hata pakutokea.

Pole sana.
 
Uhuru Kenyatta? Kabisa?
Nyie watu sijui mna matatizo gani
Hakuna raisi wa ajabu kama Uhuru, Ni mla rushwa na muuaji
Alihonga judges wa the Hague, Ila uhalisia aliua sana na alistahili hukumu.
Aisee hapo kwenye kuhonga the Hague umenichekesha kinoma au ndo zile stori za kwenye migahawa
 
Kenya kwa sasa ipo katika kiwango cha juu sana cha uongozi bora katika Afrika. Wajinga na wanafiki watapinga lakini wenye akili wanalitambua hilo.

Leo US, the most superpower anajadili tatizo la demokrasia, haki na utawala bora kwa nchi za Afrika, na Uhuru Kenyatta.

Hata chini ya Raila, Kenya itaendelea kung'ara. Kenya imevuka na kuzishinda siasa zile za kinafiki na ushabiki wa vyama, ambao Tanzania inapitia sasa. Tanzania imerudi nyuma sana katika uongozi bora. Japo hatukuwa tumefanikiwa sana, angalao awamu zilizopita tulikuwa tumeiona njia. Marehemu akaipeleka nchi kwenye matope, inagaragara, haijui hata pakutokea.
Duh! Kenyatta huyu huyu anayetuhumiwa kuficha mapesa huko nje?!!
US wapo tayari kushirikiana na aina yeyote ya Rais (Fisadi, dikteta, Muuwaji) given that ana handle vyema maslahi yao kwenye nchi yake.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Uhuru is matured, educated, down to earth person. Hana ulimbukeni na uongozi, anaheshimu sana watu. Ni fahari ya Africa
Absolutely, huwezi mfananisha na mbwa ambao miili yao inaendelea kuliwa na mifunza
 
IMG_20211015_144814_546.jpg
 
Mleta mada ni mbumbumbu!

Umesahau kama 2007 watu zaidi ya 1500 waliuawa na sababu ni Kenyata kukataa kushindwa?
 
Vile vile itafute historia ya familia ya huyo mwamba.sio wezi njaa wa kwetu huku tusio na punje hata ya ustaarabu.
Yule alieficha mabilioni ulaya siyo Kenyata?
 
Kenya kwa sasa ipo katika kiwango cha juu sana cha uongozi bora katika Afrika. Wajinga na wanafiki watapinga lakini wenye akili wanalitambua hilo.

Leo US, the most superpower anajadili tatizo la demokrasia, haki na utawala bora kwa nchi za Afrika, na Uhuru Kenyatta.

Hata chini ya Raila, Kenya itaendelea kung'ara. Kenya imevuka na kuzishinda siasa zile za kinafiki na ushabiki wa vyama, ambao Tanzania inapitia sasa. Tanzania imerudi nyuma sana katika uongozi bora. Japo hatukuwa tumefanikiwa sana, angalao awamu zilizopita tulikuwa tumeiona njia. Marehemu akaipeleka nchi kwenye matope, inagaragara, haijui hata pakutokea.
Damu za watu 1500 zilizomwagika 2007 nani alisababisha?
 
Yule alieficha mabilioni ulaya siyo Kenyata?
Nikukumbushe kitu, fuatilia historia ya familia hiyo, hata huo uchafuzi pakazi unapoteza maana, sii wezi njaa kama wa mazingira Yako uyajuayo .
 
Uhuru is matured, educated, down to earth person. Hana ulimbukeni na uongozi, anaheshimu sana watu. Ni fahari ya Africa
Wale watu zaidi ya 1500 waliouawa 2007 ilikuwa ni kumuingiza nani ikulu?
 
Watu walimbalehe juzi hamjui kama Kenyata 2007 aliingia ikulu kwa kukanyaga maiti za watu 1500
Acha kukariri, kama ulijua ni kwa kuelewa au vinginevyo, alienda the huge Nini kilifuata. Mgepelekwa nyie na uovu wenu, nondo zinge wahusu, ila msisahau kuwa muda ajili yenu sii wakuchelewa.
 
Nikukumbushe kitu, fuatilia historia ya familia hiyo, hata huo uchafuzi pakazi unapoteza maana, sii wezi njaa kama wa mazingira Yako uyajuayo .
Wewe ni kataahira!

Kwa sababu hiyo basi hawezi kuficha mihela huko ulaya?

Hivi bavicha mkoje?

Uhuru ameisababishia Kenya madeni ya kutisha sababu ya ufisadi akafu leo unasema hana njaa?
 
Acha kukariri, kama ulijua ni kwa kuelewa au vinginevyo, alienda the huge Nini kilifuata. Mgepelekwa nyie na uovu wenu, nondo zinge wahusu, ila msisahau kuwa muda ajili yenu sii wakuchelewa.
Acha ujinga mkuu!
.
Kwa hiyo wale watu 1500 waliouawa 2007 ilikuwa siyo sababu ya Kenyata kwenda ikulu?
 
Wewe ni kataahira!

Kwa sababu hiyo basi hawezi kuficha mihela huko ulaya?

Hivi bavicha mkoje?

Uhuru ameisababishia Kenya madeni ya kutisha sababu ya ufisadi akafu leo unasema hana njaa?
Basi wewe ni ka Genius ka pale mtaa wa kijani🤸
 
Uhuru Kenyatta? Kabisa?
Nyie watu sijui mna matatizo gani
Hakuna raisi wa ajabu kama Uhuru, Ni mla rushwa na muuaji
Alihonga judges wa the Hague, Ila uhalisia aliua sana na alistahili hukumu.
Acha zako viongozi wote Africa Wala rushwa..sisi tunaangalia unafuu wa kiongozi na maendeleo anayoleta ...

Kenyatta Ni Best president...kwa uwanda huu EAST AFRICA
 
Binafsi upenda kumuangalia sana Kenyatta na kupata wazo kuna aja ya kuwapa uongozi damu ya wapigania uhuru.

Uhuru Kenyatta anatakiwa kuwa kitabu shule na vikaoni tumsome.

Utu
Demokrasia
Haki na usawa

Vitu hivi vitatu kwa Africa ni changamoto isipokua Kenya kwa Kenyatta.

Nani alikuambia Uhuru anasimamia hayo yote ? Kwanza yeye alikuwa kwenye kundi lililoongoza kampeni ya kuikataa katiba mpya ambayo ililetwa na kina Raila.

Uhuru hajawahi kuoigania Kenya na hawezi kuingia kwenye historia ya kishujaa kipuuzi nmana hii. Yule boya yuko pale kulinda maslahi ya familia yake. Baba yake alinyakua ardhi na utajiri wa Kenya kiasi kwamba wanaogopa kuachia madaraka.

Ukimuona sasa hivi amemgeuka naibu wake aliyempa uraisi, unajua ni kwanini? Sababu ni moja kubwa. Hofu ya kulipiziwa kisasi na kuhamishwa wa Kikukuyu kutoka eneo la bonde la Ufa kwenye ardhi ya wakalenjin.

Iko hivi, baada ya uhuru kupatikana, Rais Kenyatta aliwahanisha wakikuyu wengi na kuwapeleka kwenye ardhi yenye rutuba ya wakalenjin. Wakalenjin wana hasira na wakikuyu wanaoushi maeneo ya Naivasha na Nakuru kwasababu walinyakua ardhi yao. Sasa mwaka 2007/2008 angalia Kiambaa, Ruto na wakalenjin waliwachoma wakikuyu kama kuku kanisani.

Kuna uhasama mkubwa sana. Uhuru anaogopa Ruto akiingia madarakani hajui hatma ya wakikuyu wanaoushi eneo la Bonde la Ufa itakuwaje. Anaona bora amuunge mkono mtu mwingine ila siyo Ruto.

Uhuru hana democrasia sema katiba inamlazimisha na imepunguza madaraka ya raisi na kuzipa taasisi nguvu.
 
Back
Top Bottom