Uhuru Kenyatta taswira ya Rais wa Afrika

Nani alikuambia Uhuru anasimamia hayo yote ? Kwanza yeye alikuwa kwenye kundi lililoongoza kampeni ya kuikataa katiba mpya ambayo ililetwa na kina Raila.

Uhuru hajawahi kuoigania Kenya na hawezi kuingia kwenye historia ya kishujaa kipuuzi nmana hii. Yule boya yuko pale kulinda maslahi ya familia yake. Baba yake alinyakua ardhi na utajiri wa Kenya kiasi kwamba wanaogopa kuachia madaraka.

Ukimuona sasa hivi amemgeuka naibu wake aliyempa uraisi, unajua ni kwanini? Sababu ni moja kubwa. Hofu ya kulipiziwa kisasi na kuhamishwa wa Kikukuyu kutoka eneo la bonde la Ufa kwenye ardhi ya wakalenjin.

Iko hivi, baada ya uhuru kupatikana, Rais Kenyatta aliwahanisha wakikuyu wengi na kuwapeleka kwenye ardhi yenye rutuba ya wakalenjin. Wakalenjin wana hasira na wakikuyu wanaoushi maeneo ya Naivasha na Nakuru kwasababu walinyakua ardhi yao. Sasa mwaka 2007/2008 angalia Kiambaa, Ruto na wakalenjin waliwachoma wakikuyu kama kuku kanisani.

Kuna uhasama mkubwa sana. Uhuru anaogopa Ruto akiingia madarakani hajui hatma ya wakikuyu wanaoushi eneo la Bonde la Ufa itakuwaje. Anaona bora amuunge mkono mtu mwingine ila siyo Ruto.

Uhuru hana democrasia sema katiba inamlazimisha na imepunguza madaraka ya raisi na kuzipa taasisi nguvu.
Ni Rais gani wa Afrika aloshinda uchaguzi baada ya kutangazwa akawaambia acha wanaonipiga waandamane polisi msiwaguse?
 
Itakua upo nyuma sana na wakati au upo maporini huko mpitimbi,maana kama ungeangalia kujua pandora papers usingeandika hiki ulichokiandika hapa kuhusu kenyata
Huku Mpitimbi ndiyo kwa wakwe zako? Ni mkoa gani?
 
na ukabaila na UKABILA.
Ukabila hata kwetu umejaa, mmesahau ya Magufuli?
Mmesahau wachaga wakipata nafasi?
Mmesahau Wahaya?

Ukabila na upendeleo tunao sana tu Tz
 
Surely, Uhuru Kenyatta is the humble, humane and the most astute president found in this part of Africa where the dictatorial and repressive rule are the core policy of various governments.

The people of Kenya arguably enjoy the highest degree of democracy and respect for human rights clearly unmatched by any country in the entire Eastern and Central Africa.

Recently, the Tanzanian government decided to fabricate a fictitious criminal case against the Chairman of the country's main opposition party ostensibly to try to deter the party from mobilizing people to demand the new constitution.

In the neighboring Uganda, the country's long time autocratic ruler Mr. Yoweri Museveni is coercing for the country's rubber stamp parliament to rescind the law that provides for the bailing of the murder and terrorism suspects so as to deny bail to the two opposition members of parliament currently facing the trumped up charges related to murder and terrorism.

In another country Rwanda, neighbouring to both Tanzania and Uganda where Mr. Paul Kagame is lonely running the show, just like Uganda and Tanzania, freedom of expression, freedom of speech, freedom of the media and freedom of association are strictly curtailed and if any, is strictly regulated by the authorities.

Similarly in the neighboring Burundi there is nothing to write home about, incidents of people's disappearances and the extra judicial killings are the order of the day.

In all the three countries, public demonstration to oppose the government is strictly forbidden, and if any, then it must be in support of the regimes and not against.

Judging by what's happening in those countries, truly speaking, Kenya stands as the unrivalled model to them all a plain fact that needs to be supported by the all sound minded people in the continent. Keep it up Kenya.
 
Well said.

You like or not, the truth is Uhuru Kenyata is a leader of his kind, who stands up alone among dictatorial rulers found all over Africa with very minimal exceptions, of which Tanzania's not among the exceptions.
 
Back
Top Bottom