Uhuru Kenyatta taswira ya Rais wa Afrika

BAVICHA mna matatizo ya akili. Mtu ambaye alishapelekea the hague ana ubora upi? Mtu ambaye katajwa kwenye pandora papers ana ubora gani?
 
Binafsi upenda kumuangalia sana Kenyatta na kupata wazo kuna aja ya kuwapa uongozi damu ya wapigania uhuru.

Uhuru Kenyatta anatakiwa kuwa kitabu shule na vikaoni tumsome.

Utu
Demokrasia
Haki na usawa

Vitu hivi vitatu kwa Africa ni changamoto isipokua Kenya kwa Kenyatta.
This man called Uhuru Kenyatta is gentleman
 
BAVICHA mna matatizo ya akili. Mtu ambaye alishapelekea the hague ana ubora upi? Mtu ambaye katajwa kwenye pandora papers ana ubora gani?

Tofautisha kufikishwa kwenye mahakama huru na kufikishwa kwenye mahakama ambayo jaji anaweza kupandishwa cheo na mshitaki wako ndani ya shauri au kuelekea hukumu.

Pia tofautisha kuachiwa na mahakama huru dhidi ya ile ya awali.

Hivi:

IMG_20211015_144814_546.jpg

Ni hayo tu ndugu mjumbe.
 
Binafsi upenda kumuangalia sana Kenyatta na kupata wazo kuna aja ya kuwapa uongozi damu ya wapigania uhuru.

Uhuru Kenyatta anatakiwa kuwa kitabu shule na vikaoni tumsome.

Utu
Demokrasia
Haki na usawa

Vitu hivi vitatu kwa Africa ni changamoto isipokua Kenya kwa Kenyatta.

We unamjua kweli au umeamkia marekani. Penda vya kwako. Wa kwetu wastaarabu sana.
 
Back
Top Bottom