myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
naheshimu posti zako mkuu ila hii......................Zamani haikuwa issue, ila kwa miaka ya karibuni nimepata kusikia kuwa mtu akiwa na govu huwa linaathiri uwezo wake wa kufikiri.
Yaani hawa majamaa hata ukiwasikia wanavyoongea unaona kabisa kuwa hiyo yote hiyo ni impact ya magovi.
mimi nampenda uhuru saana he is smart sasa huyu odinga atanyoroshwaMimi namtambua Uhuru kama rais halali wa Kenya, Odinga anacheza makida tu.
Je baada ya "kuapishwa" kinafuata nini?? This was a trap and Uhuru was very smart to let him "sworn in".
Zamani haikuwa issue, ila kwa miaka ya karibuni nimepata kusikia kuwa mtu akiwa na govu huwa linaathiri uwezo wake wa kufikiri.
Yaani hawa majamaa hata ukiwasikia wanavyoongea unaona kabisa kuwa hiyo yote hiyo ni impact ya magovi.
Nini Wewe? Ile Ndiyo Kenya!, Uliyoandika Labda Hayawezekani Kwenu Tu. Raila Tayari Ameshakula Kiapo Watu Wanasherekea Unataka Nn Kingine? Baki Kwny Gunia Hivyohivyo. Kipenzi Cha Wakenya Tayari Wanamtambua Rais Wao Hata Kama Watamuua Lkn Lengo Lao Wametimiza. Wacha Sisi Tubaki Bongo Madhee!dola wala haina shida na waliokusanyika. demokrasia inawaruhusu as long as hawafanyi vurugu.
dola inamsubiri Raila alete pua yake nyeusi hapo tu halafu itamkwe kuwa "anaapishwa".
anaweza "kuapishwa" lakini huo ndio utakuwa mwisho wake wa kuonekana in public - atafichwa hukooo hadi kifuatacho!
ndiyo maana hawezi kuja hapo hata iweje - labda maudhui ya mkusanyiko yabadilike. na hili Raila analijua!
naona kenya kugawanyika, kenya ya mashariki na magharibiNini Wewe? Ile Ndiyo Kenya!, Uliyoandika Labda Hayawezekani Kwenu Tu. Raila Tayari Ameshakula Kiapo Watu Wanasherekea Unataka Nn Kingine? Baki Kwny Gunia Hivyohivyo. Kipenzi Cha Wakenya Tayari Wanamtambua Rais Wao Hata Kama Watamuua Lkn Lengo Lao Wametimiza. Wacha Sisi Tubaki Bongo Madhee!
Raila kashinda bila uchaguzi? haya ni mapinduzi ya askari wa mjini sio wa msituni kama walivyofanya akina Museven na Kagame.Tunapotukanwa Africa tunaanza kulalama, haya maigizo ya hatari namna hii kwakweli yasingepewa nafasi. Hii ni aibu nyingine Africa, kwamba umesusia uchaguzi, mwenzio kaenda kashinda katangazwa halafu baadae uje kinyume na katiba ujiapishe. Hizi ni chokochoko, maana mwisho wa haya mambo ni fujo na uvunjaji wa sheria.
Raila is an attention seeker.dola wala haina shida na waliokusanyika. demokrasia inawaruhusu as long as hawafanyi vurugu.
dola inamsubiri Raila alete pua yake nyeusi hapo tu halafu itamkwe kuwa "anaapishwa".
anaweza "kuapishwa" lakini huo ndio utakuwa mwisho wake wa kuonekana in public - atafichwa hukooo hadi kifuatacho!
ndiyo maana hawezi kuja hapo hata iweje - labda maudhui ya mkusanyiko yabadilike. na hili Raila analijua!
Miaka Yote Ulikuwa Ujajua? Ulikuwa Unadhani Hii Ni Ulaya!! UnachekeshaKweli hii ni Africa
Endelea kuotaNdivyo itakavyokuwa 2020 pale tundu akirudi
Mimi namtambua Uhuru kama rais halali wa Kenya, Odinga anacheza makida tu.
Je baada ya "kuapishwa" kinafuata nini?? This was a trap and Uhuru was very smart to let him "sworn in".
Wazungu ndio wanaoongoza kwa kuwa na magovi hapa duniani. Kwa hiyo hawana uwezo wa kufikiri?...mtu akiwa na govu huwa linaathiri uwezo wake wa kufikiri.
Yaani hawa majamaa hata ukiwasikia wanavyoongea unaona kabisa kuwa hiyo yote hiyo ni impact ya magovi.
Kama hujui siasa bora unyamaze.Basi kama kaapishwa aende ikulu basi na aanze kucommand vikosi...
Watu wengine bana... Mwenzake Maalim Seif kapumzika saiv, labda 2020 hataki vurugu. Sasa huyo sijui anataka nini