Uhuru Park, Kenya: Raila Odinga aapa kama Rais wa Watu bila kuwepo kwa makamu wake Kalonzo

Uhuru Park, Kenya: Raila Odinga aapa kama Rais wa Watu bila kuwepo kwa makamu wake Kalonzo

Zamani haikuwa issue, ila kwa miaka ya karibuni nimepata kusikia kuwa mtu akiwa na govu huwa linaathiri uwezo wake wa kufikiri.
Yaani hawa majamaa hata ukiwasikia wanavyoongea unaona kabisa kuwa hiyo yote hiyo ni impact ya magovi.
naheshimu posti zako mkuu ila hii......................
 
Mimi namtambua Uhuru kama rais halali wa Kenya, Odinga anacheza makida tu.
Je baada ya "kuapishwa" kinafuata nini?? This was a trap and Uhuru was very smart to let him "sworn in".
mimi nampenda uhuru saana he is smart sasa huyu odinga atanyoroshwa
 
Zamani haikuwa issue, ila kwa miaka ya karibuni nimepata kusikia kuwa mtu akiwa na govu huwa linaathiri uwezo wake wa kufikiri.
Yaani hawa majamaa hata ukiwasikia wanavyoongea unaona kabisa kuwa hiyo yote hiyo ni impact ya magovi.

Mkuu ushmvulia Rila ukaona kama ana govi au umekariri kwamba waluo hawatahiriwi?
 
dola wala haina shida na waliokusanyika. demokrasia inawaruhusu as long as hawafanyi vurugu.
dola inamsubiri Raila alete pua yake nyeusi hapo tu halafu itamkwe kuwa "anaapishwa".
anaweza "kuapishwa" lakini huo ndio utakuwa mwisho wake wa kuonekana in public - atafichwa hukooo hadi kifuatacho!

ndiyo maana hawezi kuja hapo hata iweje - labda maudhui ya mkusanyiko yabadilike. na hili Raila analijua!
Nini Wewe? Ile Ndiyo Kenya!, Uliyoandika Labda Hayawezekani Kwenu Tu. Raila Tayari Ameshakula Kiapo Watu Wanasherekea Unataka Nn Kingine? Baki Kwny Gunia Hivyohivyo. Kipenzi Cha Wakenya Tayari Wanamtambua Rais Wao Hata Kama Watamuua Lkn Lengo Lao Wametimiza. Wacha Sisi Tubaki Bongo Madhee!
 
naona kenya kugawanyika, kenya ya mashariki na magharibi
 
Tunapotukanwa Africa tunaanza kulalama, haya maigizo ya hatari namna hii kwakweli yasingepewa nafasi. Hii ni aibu nyingine Africa, kwamba umesusia uchaguzi, mwenzio kaenda kashinda katangazwa halafu baadae uje kinyume na katiba ujiapishe. Hizi ni chokochoko, maana mwisho wa haya mambo ni fujo na uvunjaji wa sheria.
Raila kashinda bila uchaguzi? haya ni mapinduzi ya askari wa mjini sio wa msituni kama walivyofanya akina Museven na Kagame.
 
dola wala haina shida na waliokusanyika. demokrasia inawaruhusu as long as hawafanyi vurugu.
dola inamsubiri Raila alete pua yake nyeusi hapo tu halafu itamkwe kuwa "anaapishwa".
anaweza "kuapishwa" lakini huo ndio utakuwa mwisho wake wa kuonekana in public - atafichwa hukooo hadi kifuatacho!

ndiyo maana hawezi kuja hapo hata iweje - labda maudhui ya mkusanyiko yabadilike. na hili Raila analijua!
Raila is an attention seeker.
 
Mimi namtambua Uhuru kama rais halali wa Kenya, Odinga anacheza makida tu.
Je baada ya "kuapishwa" kinafuata nini?? This was a trap and Uhuru was very smart to let him "sworn in".

You don't count, Miss! Umtambue, usimtambue it doesn't make any difference.
 
Gideon KipShow me Kalonzo...I'm gonna pay this guy
photo.jpg

Martin Kiogoramimi pia nataka kuapishwa next week
photo.jpg

Thomas MwangiFIRE BURN DEM FOOOLSSS!!!!!!

photo.jpg

Emmanuel Mboyakalonzo in bar mpole

Alvis BiiBABA UMECHEZWA

photo.jpg

Stan KeyLET LOVE LEAD ~TB JOSHUA
photo.jpg

dukevalentinoisOath ni line mbili
photo.jpg

DAVIS MATEi should`ve had a woman today to begot a child
photo.jpg

Lize Wambui#Leon hehehe yeah
photo.jpg

John ndung`uwhat a day,kalonzo ni maembe sana

photo.jpg

billy wekesaCongratulations baba

photo.jpg

Peterson njui........KALONZO
photo.jpg

Renin JumaFROM TODAY HE IS MY PRESIDENT
photo.jpg

Abiud Ngenoaki wajaluo mnakuaga wajinga hivi

photo.jpg

dukevalentinoisRaila alinaswa Mudavadi kumbe mjanja hivo
photo.jpg

Ken Kimaniafrocinema continues shortly
photo.jpg

Thomas MwangiKWISHA
photo.jpg

Caroline MakandiTunaapisha Kalonzo lini?????
photo.jpg

Imani Marian NjoguEven his people noticed the nonsense and decided to leave. Smart politicians LOL Lets move on sasa as he builds his statehouse in his head.
photo.jpg

GODFREY NYONGESAI sense cowardice, why? how?
photo.jpg

Nyeusi wamamejiapisha kama mwizi
photo.jpg

Obadiah Chemwenophotos of KALONZO'S arrest LEAKED online
 
Basi kama kaapishwa aende ikulu basi na aanze kucommand vikosi...

Watu wengine bana... Mwenzake Maalim Seif kapumzika saiv, labda 2020 hataki vurugu. Sasa huyo sijui anataka nini
Kama hujui siasa bora unyamaze.
 
Back
Top Bottom