The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Kutanguliza udini kwenye swala DP WORLD ni Upumbavu, Bandari siyo Mali ya Kanisa au BakwataWatanzania tuna shida kubwa sana ya kujitafutia huzuni, chuki, hasira na uzandiki
Hadi sasa kuna baadhi ya kauli zinatolewa na viongozi hasa wa dini moja zikionyesha chuki mbaya sana mioyoni kwao… na to some extent zile chuki z inaonyesha hasira zao Kwa Mungu kuliko hata walengwa wa hapa duniani
TumeshasahAu all the fears and victimization zilizokuwepo
Tumeshaanza nchi lazima iende kisasa….
Acha tuonyeshe unafiq wetu…. ILA tusisahau siera Leone was once peaceful kama Tanzania
Nani anayefadhili chuki hizi?
kibibi kinenene kifupi kinapewa dozi yakeHaakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mapa kutusi.
Haya yanayoendelea si maoni tena bali ni vunjifu wa amani uliokusudiwa. Uhuru wa maoni ni lazima uwe na mipaka.
Mtu anajiita mwanasheria msomi au wakili msomi , mwanasiasa, anasimama kwenye majukwaa ya habari na kurusha matangazo yaliyojaa chuki kuwa nchi inauzwa, au bandari inauzwa, Wazanzibari waniuza nchi. Na cha kushangaza sana waziri wa habari amekaa kimya. Waziri wa sheria amekaa kimya. Waziri wa mambo ya ndani amekaa kimya, waziri wa ulinzi amekaa kimya.
Nashauri, vyombo vya habari vyote vinavyorusha matangazo ya chuki vichukuliwe hatua kali za kisheria. Wale wote wanaosimama majukwaani na kufanya uchokozi wa makusudi wachukuliwe hatua za kisheria.
Mpaka sisi tuliozowea mitandao ya kijamii tunawashangaa moderators wapo kimya, watu wanaporusha matusi na kejeli mpaka kwa Rais na mawaziri wake. Hivi hatuyaoni? Au tunapenda huu uchokozi uendelee mpaka uzae madhara?
Kuuwasha moto ni kwepesi sana, kazi inakuja katika kuuzima.
Mimi nadhani wale wote wanaodai nchi imeuzwa waende mahakamani au kwa wao kupeleka madai au serikali iwaite mahakamani waje kuonesha nchi imeuzwa wapi na kwa lipi zaidi?
Nahisi kuna watu wapo nyuma ya pazia amabao wanadhani labda yataishia kiwepesi wepesi yakiachiwa yaendelee. Sasa hivi tayari chuki za wazi zinajionesha kati ya Wasio EWaisslam na Waislam, wasio Waarabu na Waarabu, Wabara na Wazanzibari. watu wa pwani na wasio wa pwani.
Hivi hayo yote kweli yamesababishwa na makubaliano ya Dubai na Tanzania yaliyopitishwa bungeni au kuna yanayoendelea nyuma ya pazia ambayo hatuyaelewi?
Tunaionmba serikali ichukuwe hatua za dhati, kila anaerusha au kuongea chuki akajieleze kwa ushahi wa hayo ayasemayo, kama hana ushahidi aseme ukweli ni na nani yupo nyuma yake anaemlipa au kumchochea kufanya hivyo.
Serikali itumie mbinu za kawaida na zisizo za kawaida za kiusalama ili kulinda raia wa nchi hii kujiingiza katika chuki na migogoro isiyo ya lazima. Huu ni mtego wa panya watania waliokuwemo na wasiokuwemo.
Naamini katika uwazi na ukweli na naamini katika uhuru wa maoni na habari, lakini kila uhuru ni lazima uwe na mipaka yake. Naona au Tanzania hatuna mipaka ya kujielezza maoni yetu aukama tunayo ama hatuijuwi au tunaiwachiie makusudi mipaka inavukwa?
Serikali, hususa Waziri wa habari, Nape Nnauye tueleze tupo bado ndani ya mipaka ya sheria au tumekiuka? Kama bado upo ndani ya mipaka ya sheria za uhuru wa maoni, tunaomba shertia zikafanyiwe ukarabati. Ili tuwe nchi yenhe kuheshimu utowaji mapni yetu uwe wa kuheshimiana.
Wewe kama hupendi nilichosema au kufanya mimi nifahamisheni usinitukane.
Moderators wa JF tunaomba majukwa haya siasa na habari mchanganyiko yapewe kipa umbele ili yasiwe ni chimbuko la maafa.
Ishu ni mtuonyeshe tunapata faida kiasi gani kwenye huo mkataba na ukomo wake ni lini na nini kitafanyika endapo hawata deliver accordingly.Haya ni maswali ya msingi ambayo hawataki kuyajibu. Si watuonyeshe na watutajie imeuzwa shilingi ngapi.
karma ya kumtukana Magu mbwa weweMimi nikiwa moderator, kwanza watu hawatokula ban, ntakuwa nabadili lugha tu, nafta post za matusi na zenye uchochezi wa kijinga, ikiwa mtu hasikii baada ya kumuonya matra tatu, hapo ndipo ban itafatia.
Mbona hata mimi nimeshapigwa ban sana JF mpaka nikaitwa ban#!. Mimi nishafungiwa maisha kuchangia JGF akaja kuniombea Obama alivyokuja Tanzania. Kumbe alikuwa ananisoma kabla hajaja Tanzania.
Wakati wanamdiss mwendazake walichagua maneno? Unajua siku zote hekima ni jambo la msingi sana kama ilivyo heshima. Leo hii mtu wao anapewa vidonge vyake roho zinawauma. Kuimba kupokezana 🤣Mkuu hivi umeisoma thd na kuielewa?
Mleta mada hajakataza watu wasitumie uhuru wao wa maoni bali ametaka wakati wa kutoa maoni,watu wasitumie lugha za kuudhi kama vile matusi,kejeli au kashfa ya udini coz hali hiyo inaweza kuleta madhara makubwa sana huko mbeleni.
Exactly ndili nililoshauri na ikiwa wao hawawezi kwenda mahakamani, serikali iwapeleke wakajieleze.Wanaotukanwa washauri waende mahakamani .
Acha kutumika vibayaHaakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mapa kutusi.
Haya yanayoendelea si maoni tena bali ni vunjifu wa amani uliokusudiwa. Uhuru wa maoni ni lazima uwe na mipaka.
Mtu anajiita mwanasheria msomi au wakili msomi , mwanasiasa, anasimama kwenye majukwaa ya habari na kurusha matangazo yaliyojaa chuki kuwa nchi inauzwa, au bandari inauzwa, Wazanzibari waniuza nchi. Na cha kushangaza sana waziri wa habari amekaa kimya. Waziri wa sheria amekaa kimya. Waziri wa mambo ya ndani amekaa kimya, waziri wa ulinzi amekaa kimya.
Nashauri, vyombo vya habari vyote vinavyorusha matangazo ya chuki vichukuliwe hatua kali za kisheria. Wale wote wanaosimama majukwaani na kufanya uchokozi wa makusudi wachukuliwe hatua za kisheria.
Mpaka sisi tuliozowea mitandao ya kijamii tunawashangaa moderators wapo kimya, watu wanaporusha matusi na kejeli mpaka kwa Rais na mawaziri wake. Hivi hatuyaoni? Au tunapenda huu uchokozi uendelee mpaka uzae madhara?
Kuuwasha moto ni kwepesi sana, kazi inakuja katika kuuzima.
Mimi nadhani wale wote wanaodai nchi imeuzwa waende mahakamani au kwa wao kupeleka madai au serikali iwaite mahakamani waje kuonesha nchi imeuzwa wapi na kwa lipi zaidi?
Nahisi kuna watu wapo nyuma ya pazia amabao wanadhani labda yataishia kiwepesi wepesi yakiachiwa yaendelee. Sasa hivi tayari chuki za wazi zinajionesha kati ya Wasio EWaisslam na Waislam, wasio Waarabu na Waarabu, Wabara na Wazanzibari. watu wa pwani na wasio wa pwani.
Hivi hayo yote kweli yamesababishwa na makubaliano ya Dubai na Tanzania yaliyopitishwa bungeni au kuna yanayoendelea nyuma ya pazia ambayo hatuyaelewi?
Tunaionmba serikali ichukuwe hatua za dhati, kila anaerusha au kuongea chuki akajieleze kwa ushahi wa hayo ayasemayo, kama hana ushahidi aseme ukweli ni na nani yupo nyuma yake anaemlipa au kumchochea kufanya hivyo.
Serikali itumie mbinu za kawaida na zisizo za kawaida za kiusalama ili kulinda raia wa nchi hii kujiingiza katika chuki na migogoro isiyo ya lazima. Huu ni mtego wa panya watania waliokuwemo na wasiokuwemo.
Naamini katika uwazi na ukweli na naamini katika uhuru wa maoni na habari, lakini kila uhuru ni lazima uwe na mipaka yake. Naona au Tanzania hatuna mipaka ya kujielezza maoni yetu aukama tunayo ama hatuijuwi au tunaiwachiie makusudi mipaka inavukwa?
Serikali, hususa Waziri wa habari, Nape Nnauye tueleze tupo bado ndani ya mipaka ya sheria au tumekiuka? Kama bado upo ndani ya mipaka ya sheria za uhuru wa maoni, tunaomba shertia zikafanyiwe ukarabati. Ili tuwe nchi yenhe kuheshimu utowaji mapni yetu uwe wa kuheshimiana.
Wewe kama hupendi nilichosema au kufanya mimi nifahamisheni usinitukane.
Moderators wa JF tunaomba majukwa haya siasa na habari mchanganyiko yapewe kipa umbele ili yasiwe ni chimbuko la maafa.
Haya makubaliano ndio watu wanayapinga, sio uarabu au dini kama mnavyopotosha.Mimi sijakiona, mimi nilichokion akilichoridhiwa na biunge ni hiki hapa:
MAKUBALIANO YA KISERIKALI KATI YA:Bofya chini hapa utaukuta makubaliano kamili yametafsiriwa kwa Kiswahili:
ΤHΕ UNITED REPUBLIC 0F TANZANIA
AND
THE EMIRATE 0F DUBAI
DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)
MAKUBALIANO YA KISERIKALI KATI YA: ΤHΕ UNITED REPUBLIC 0F TANZANIA AND THE EMIRATE 0F DUBAI https://www.jamiiforums.com/attachments/dar_port_contract_mkataba-pdf.2682567/ UTANGULIZI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, iliyowakilishwa ipasavyo na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (“Tanzania”) na...www.jamiiforums.com
Tatizo ndio hilo. Mnachagua ya kusikia.!) Hayo umesikia wewe, sisi hatujasikia. Tupe ushahidi usitulishe matango pori.
Hana mume huyuMme wako hakufikishi kileleni wewe kikongwe usungekuwa unapoteza muda wako
Uhuru ni nyie mkitaka kusema. Si kaingia huyu mama akamrudisha nape kwenye asali ili kufungua nchi kwa waandishi wa habari. Sasa mumeleta zengwe lenu kutaka kuwauzia waarabu bandari zetu mkijua kazi mtapewa waswahili tu. Msituzingue bhana tunataka bandari zetu. Watanganyika hatuna jadi kuabudu wageni. Tutaendesha nchi yetu wenyewe. Ndio maana ya uhuru. Sio eti tuwekeze mabilioni bandarini zetu na tunajenga sgr hadi congo halafu wajanja waje muwape wao kukusanya mapato ili wakugawieni halafu wenyewe tuangalie tu.Haakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mapa kutusi.
Haya yanayoendelea si maoni tena bali ni vunjifu wa amani uliokusudiwa. Uhuru wa maoni ni lazima uwe na mipaka.
Mtu anajiita mwanasheria msomi au wakili msomi , mwanasiasa, anasimama kwenye majukwaa ya habari na kurusha matangazo yaliyojaa chuki kuwa nchi inauzwa, au bandari inauzwa, Wazanzibari waniuza nchi. Na cha kushangaza sana waziri wa habari amekaa kimya. Waziri wa sheria amekaa kimya. Waziri wa mambo ya ndani amekaa kimya, waziri wa ulinzi amekaa kimya.
Nashauri, vyombo vya habari vyote vinavyorusha matangazo ya chuki vichukuliwe hatua kali za kisheria. Wale wote wanaosimama majukwaani na kufanya uchokozi wa makusudi wachukuliwe hatua za kisheria.
Mpaka sisi tuliozowea mitandao ya kijamii tunawashangaa moderators wapo kimya, watu wanaporusha matusi na kejeli mpaka kwa Rais na mawaziri wake. Hivi hatuyaoni? Au tunapenda huu uchokozi uendelee mpaka uzae madhara?
Kuuwasha moto ni kwepesi sana, kazi inakuja katika kuuzima.
Mimi nadhani wale wote wanaodai nchi imeuzwa waende mahakamani au kwa wao kupeleka madai au serikali iwaite mahakamani waje kuonesha nchi imeuzwa wapi na kwa lipi zaidi?
Nahisi kuna watu wapo nyuma ya pazia amabao wanadhani labda yataishia kiwepesi wepesi yakiachiwa yaendelee. Sasa hivi tayari chuki za wazi zinajionesha kati ya Wasio EWaisslam na Waislam, wasio Waarabu na Waarabu, Wabara na Wazanzibari. watu wa pwani na wasio wa pwani.
Hivi hayo yote kweli yamesababishwa na makubaliano ya Dubai na Tanzania yaliyopitishwa bungeni au kuna yanayoendelea nyuma ya pazia ambayo hatuyaelewi?
Tunaionmba serikali ichukuwe hatua za dhati, kila anaerusha au kuongea chuki akajieleze kwa ushahi wa hayo ayasemayo, kama hana ushahidi aseme ukweli ni na nani yupo nyuma yake anaemlipa au kumchochea kufanya hivyo.
Serikali itumie mbinu za kawaida na zisizo za kawaida za kiusalama ili kulinda raia wa nchi hii kujiingiza katika chuki na migogoro isiyo ya lazima. Huu ni mtego wa panya watania waliokuwemo na wasiokuwemo.
Naamini katika uwazi na ukweli na naamini katika uhuru wa maoni na habari, lakini kila uhuru ni lazima uwe na mipaka yake. Naona au Tanzania hatuna mipaka ya kujielezza maoni yetu aukama tunayo ama hatuijuwi au tunaiwachiie makusudi mipaka inavukwa?
Serikali, hususa Waziri wa habari, Nape Nnauye tueleze tupo bado ndani ya mipaka ya sheria au tumekiuka? Kama bado upo ndani ya mipaka ya sheria za uhuru wa maoni, tunaomba shertia zikafanyiwe ukarabati. Ili tuwe nchi yenhe kuheshimu utowaji mapni yetu uwe wa kuheshimiana.
Wewe kama hupendi nilichosema au kufanya mimi nifahamisheni usinitukane.
Moderators wa JF tunaomba majukwa haya siasa na habari mchanganyiko yapewe kipa umbele ili yasiwe ni chimbuko la maafa.
Binti, acha uvivu. Nimekutajia majina na vyeo. Kama ungekuwa kweli una nia njema ungejihakikishia mwenyewe. Sitakuwekea hicho unachoita ushahidi kwa sababu najua hamna siku umekemea mtu wa upande wako.Sasa kijana, hayo yote unayasikia wewe bila kutuwekea chanzo? unategemea nikemee hewa?
Tuwekee hapa chanzo cha nani kaitwa shoga, na nani kamuita shoga?
Mimi nnafahamu Rostam Aziz kasema "Slaa hana maadili na kakumbushia kuwa kanisa lilimfukuza kwa kukosa maadili, pia akasema kuwa CCM ilimkataa asigombee kupitia CCM kwa kufata kigezo cha kanisa.
Pia Rostam Aziz akaendelea kusema kuwa aliwasaliti hata (chadema).
Chanzo changu hiki hapa: Jionee:
View attachment 2680622
UWT ni Umoja wa Wanawake wa Tanzania. Usalama umetokea wapi? Sasa kama hili unapotosha kwa makusudi kabisa itakuwaje kwa hayo mengine?Sina habari kama siku hizi Usalama wa Taifa (UWT) wanapanda majukwaani na kuongea. Tupe ushahidi.
Haya mambo unayosema "nimesikia" hivi unayasikia kutoka chanzo kipi? Maana yamekaa kishabiki kweli kweli, halafu unayasikia wewe peke yako? habari zote nyeti kwenye mtandao huwa tunaweka vyanzo ili kama zina au hazina ukweli kijulikane chanzo.
Bila kuweka chanzo inaonesha hizo ni porojo zzako tu zisizo na msingi.
Good! Ili jukwaa lijiridhishe kua wewe hujaleta hbr kiuchawachawa ni vzr uainishe hayo matusi, kejeli, maudhi, yaweke ili tujiridhishe!!!Haakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mapa kutusi.
Haya yanayoendelea si maoni tena bali ni vunjifu wa amani uliokusudiwa. Uhuru wa maoni ni lazima uwe na mipaka.
Mtu anajiita mwanasheria msomi au wakili msomi , mwanasiasa, anasimama kwenye majukwaa ya habari na kurusha matangazo yaliyojaa chuki kuwa nchi inauzwa, au bandari inauzwa, Wazanzibari waniuza nchi. Na cha kushangaza sana waziri wa habari amekaa kimya. Waziri wa sheria amekaa kimya. Waziri wa mambo ya ndani amekaa kimya, waziri wa ulinzi amekaa kimya.
Nashauri, vyombo vya habari vyote vinavyorusha matangazo ya chuki vichukuliwe hatua kali za kisheria. Wale wote wanaosimama majukwaani na kufanya uchokozi wa makusudi wachukuliwe hatua za kisheria.
Mpaka sisi tuliozowea mitandao ya kijamii tunawashangaa moderators wapo kimya, watu wanaporusha matusi na kejeli mpaka kwa Rais na mawaziri wake. Hivi hatuyaoni? Au tunapenda huu uchokozi uendelee mpaka uzae madhara?
Kuuwasha moto ni kwepesi sana, kazi inakuja katika kuuzima.
Mimi nadhani wale wote wanaodai nchi imeuzwa waende mahakamani au kwa wao kupeleka madai au serikali iwaite mahakamani waje kuonesha nchi imeuzwa wapi na kwa lipi zaidi?
Nahisi kuna watu wapo nyuma ya pazia amabao wanadhani labda yataishia kiwepesi wepesi yakiachiwa yaendelee. Sasa hivi tayari chuki za wazi zinajionesha kati ya Wasio EWaisslam na Waislam, wasio Waarabu na Waarabu, Wabara na Wazanzibari. watu wa pwani na wasio wa pwani.
Hivi hayo yote kweli yamesababishwa na makubaliano ya Dubai na Tanzania yaliyopitishwa bungeni au kuna yanayoendelea nyuma ya pazia ambayo hatuyaelewi?
Tunaionmba serikali ichukuwe hatua za dhati, kila anaerusha au kuongea chuki akajieleze kwa ushahi wa hayo ayasemayo, kama hana ushahidi aseme ukweli ni na nani yupo nyuma yake anaemlipa au kumchochea kufanya hivyo.
Serikali itumie mbinu za kawaida na zisizo za kawaida za kiusalama ili kulinda raia wa nchi hii kujiingiza katika chuki na migogoro isiyo ya lazima. Huu ni mtego wa panya watania waliokuwemo na wasiokuwemo.
Naamini katika uwazi na ukweli na naamini katika uhuru wa maoni na habari, lakini kila uhuru ni lazima uwe na mipaka yake. Naona au Tanzania hatuna mipaka ya kujielezza maoni yetu aukama tunayo ama hatuijuwi au tunaiwachiie makusudi mipaka inavukwa?
Serikali, hususa Waziri wa habari, Nape Nnauye tueleze tupo bado ndani ya mipaka ya sheria au tumekiuka? Kama bado upo ndani ya mipaka ya sheria za uhuru wa maoni, tunaomba shertia zikafanyiwe ukarabati. Ili tuwe nchi yenhe kuheshimu utowaji mapni yetu uwe wa kuheshimiana.
Wewe kama hupendi nilichosema au kufanya mimi nifahamisheni usinitukane.
Moderators wa JF tunaomba majukwa haya siasa na habari mchanganyiko yapewe kipa umbele ili yasiwe ni chimbuko la maafa.
Hivi huyu ni Faiza yuleyule aliyekuwa anajua kupanga hoja na kuandika vizuri au ni mwingine aliyevurugwa na zimwi la DP World?Haakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mapa kutusi.