Uhuru wa maoni uwe na mipaka. Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni uchokozi

Haakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mapa kutusi.

Haya yanayoendelea si maoni tena bali ni vunjifu wa amani uliokusudiwa. Uhuru wa maoni ni lazima uwe na mipaka.

Mtu anajiita mwanasheria msomi au wakili msomi , mwanasiasa, anasimama kwenye majukwaa ya habari na kurusha matangazo yaliyojaa chuki kuwa nchi inauzwa, au bandari inauzwa, Wazanzibari waniuza nchi. Na cha kushangaza sana waziri wa habari amekaa kimya. Waziri wa sheria amekaa kimya. Waziri wa mambo ya ndani amekaa kimya, waziri wa ulinzi amekaa kimya.

Nashauri, vyombo vya habari vyote vinavyorusha matangazo ya chuki vichukuliwe hatua kali za kisheria. Wale wote wanaosimama majukwaani na kufanya uchokozi wa makusudi wachukuliwe hatua za kisheria.

Mpaka sisi tuliozowea mitandao ya kijamii tunawashangaa moderators wapo kimya, watu wanaporusha matusi na kejeli mpaka kwa Rais na mawaziri wake. Hivi hatuyaoni? Au tunapenda huu uchokozi uendelee mpaka uzae madhara?

Kuuwasha moto ni kwepesi sana, kazi inakuja katika kuuzima.

Mimi nadhani wale wote wanaodai nchi imeuzwa waende mahakamani au kwa wao kupeleka madai au serikali iwaite mahakamani waje kuonesha nchi imeuzwa wapi na kwa lipi zaidi?

Nahisi kuna watu wapo nyuma ya pazia amabao wanadhani labda yataishia kiwepesi wepesi yakiachiwa yaendelee. Sasa hivi tayari chuki za wazi zinajionesha kati ya Wasio EWaisslam na Waislam, wasio Waarabu na Waarabu, Wabara na Wazanzibari. watu wa pwani na wasio wa pwani.

Hivi hayo yote kweli yamesababishwa na makubaliano ya Dubai na Tanzania yaliyopitishwa bungeni au kuna yanayoendelea nyuma ya pazia ambayo hatuyaelewi?

Tunaionmba serikali ichukuwe hatua za dhati, kila anaerusha au kuongea chuki akajieleze kwa ushahi wa hayo ayasemayo, kama hana ushahidi aseme ukweli ni na nani yupo nyuma yake anaemlipa au kumchochea kufanya hivyo.

Serikali itumie mbinu za kawaida na zisizo za kawaida za kiusalama ili kulinda raia wa nchi hii kujiingiza katika chuki na migogoro isiyo ya lazima. Huu ni mtego wa panya watania waliokuwemo na wasiokuwemo.

Naamini katika uwazi na ukweli na naamini katika uhuru wa maoni na habari, lakini kila uhuru ni lazima uwe na mipaka yake. Naona au Tanzania hatuna mipaka ya kujielezza maoni yetu aukama tunayo ama hatuijuwi au tunaiwachiie makusudi mipaka inavukwa?

Serikali, hususa Waziri wa habari, Nape Nnauye tueleze tupo bado ndani ya mipaka ya sheria au tumekiuka? Kama bado upo ndani ya mipaka ya sheria za uhuru wa maoni, tunaomba shertia zikafanyiwe ukarabati. Ili tuwe nchi yenhe kuheshimu utowaji mapni yetu uwe wa kuheshimiana.

Wewe kama hupendi nilichosema au kufanya mimi nifahamisheni usinitukane.

Moderators wa JF tunaomba majukwa haya siasa na habari mchanganyiko yapewe kipa umbele ili yasiwe ni chimbuko la maafa.
Naunga mkono. Kejeli hazina tija.

Ila na wewe uache kumtukana Hayati Baba wa Taifa.
 
Sasa nimekusoma yote uliyoandika.

Ninachoweza kusema ni haya:
1. Watu husema "nyani haoni kundule." Hili ni kama tusi, lakini ni msemo sahihi kabisa unaofkisha taarifa bila ya kuvungavunga.
Maana yangu hapa ni kwamba, mtu anaweza kukutusi vibaya sana kwa lugha laini kabisa, tena lugha nyororo kabisa. Ukiwa na akili, utajua matusi uliyoangushiwa.

Msemo huo hapo utafakari vizuri, utaelewa ninacholenga mimi.
2. Swala la kukiuka sheria mahali popote siyo jambo la kumwomba mtu yeyote atimize wajibu wa kulinda sheria za nchi zisivunjwe. Katika hili, kama limetokea, wahusika wa kuhakikisha sheria zinafuatwa wanajulikana. Siyo swala tena la kuhimizana
Lakini nikukumbushe, kama ilivyo kawaida, shera zipo kwa kila mtu aliymo kwenye Jamhuri hii. Awe ni kiongozi mkuu kabisa wa nchi, au waziri, sote sheria zinatuhusu, inapashwa sote tutii siyo tu katiaka mambo haya ya mahusiano ya kijamii, bali pia katika mambo yote yanayoihusu nchi yetu na kila kitu kilichomo.
Kwa hiyo tusichague ni mambo gani ndiyo tuyawekee mkazo kutumia sheria zetu. Kama viongozi wanakiuka walivyoapa na kukiuka Katiba ya nchi yetu, ni lazima wawajibishwe na sheria hizo hizo kabla hawajaanzisha mzozo katika jamii kama tunavyoona sasa.
Haya ni matokeo ya uvunjifu wa sheria zetu kunakofanywa na hao unaosema wanatukanwa.
Watu kutumia lugha za maudhi, ni matokeo ya 'frustration' juu ya matendo ya viongozi hawa wanaojifanya wao wapo juu ya sheria za nchi hii.

3. Napenda pia ujue ya kwamba, kazi ya kuwaunganisha watu ndani ya nchi ni sehemu muhimu sana ya uongozi wa nchi husika. Tutafarakana sana kama viongozi wetu ndio watakuwa wachochezi wa kufarakana huko, kwa matendo yao mbalimbali.
Bunge la wawakilishi wa wananchi linapogeuzwa kuwa kama chombo cha kuhujumu nchi, watu hawawezi kukosa kujiuliza hali hiyo inatoka wapi, na watajua ni nani anayesababisha hali kuwa hivyo.

Haya yanapotokea, watu wakiona waziwazi hawana njia nyingine ya kuyasemea, kila mtu ataanza kusema anavyoona inafaa.

Usifikiri kutumia mabavu ya sheria ndiyo dawa ya kuzuia hali unayolalamikia hapa. Inahitaji uongozi imara unaotambua hofu na matarajio ya wananchi wake.
Viongozi wanaojiona wao wako sawa tu katika lolote wanalotaka kufanya, kwa vile tu ni viongozi wakuu wa nchi, na wavyo vyombo vya kuwalinda wao, kama hizo sheria unazokimbilia sasa zitumike, hiyo siyo suluhisho, kama viongozi hawa hawatajirudi na kutazama matendo yao yanayoleta mfarakano ndani ya jamii.

4. naomba nimalize kwa kukushukuru. Pamoja na wewe kuwa kwenye mstari wa mbele katika kejeli mabilimbali humu JF, inatia matumaini kwamba pengine hatimaye, hata wale tuliokwishawaona kama sugu katika mambo hayo, kuna mategemeo ya wao ndio wawe mstari wa mbele kulipoza taifa letu.

Sisi sote ni waTanzania, tuuweke uTanzania wetu mbele ya mengine yote. Maslahi ya nchi yetu ni maslahi yetu sote, bila kujali tofauti zetu nyingine zilizopo kati yetu.

Sikuhariri chochote, naomba uniwie radhi kwa makosa ya kiuandishi yatakayokuwemo katika andiko hili.
 
Just imagine muda huu huna usingizi kwa sababu ya uchawa. Hivi mbona huu mkataba utakutoa roho.
Imagine wewe unaacha hoja unamrukia mleta hoja. Halafu wewe upo macho unamjibu, hilo sijuwi unaliitaje, ukunguni? Maana kunguni akiguswa lazima atowe harufu, hata usingizini.
 
Naunga mkono. Kejeli hazina tija.

Ila na wewe uache kumtukana Hayati Baba wa Taifa.
Weka ushahidi wapi nilipomtukana, tuhuma nzito hizo.

Wahenga wana msemo "mpenda chongo huliita kengeza".
 
Haakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mapa kutusi.

Haya yanayoendelea si maoni tena bali ni vunjifu wa amani uliokusudiwa. Uhuru wa maoni ni lazima uwe na mipaka.

Mtu anajiita mwanasheria msomi au wakili msomi , mwanasiasa, anasimama kwenye majukwaa ya habari na kurusha matangazo yaliyojaa chuki kuwa nchi inauzwa, au bandari inauzwa, Wazanzibari waniuza nchi. Na cha kushangaza sana waziri wa habari amekaa kimya. Waziri wa sheria amekaa kimya. Waziri wa mambo ya ndani amekaa kimya, waziri wa ulinzi amekaa kimya.

Nashauri, vyombo vya habari vyote vinavyorusha matangazo ya chuki vichukuliwe hatua kali za kisheria. Wale wote wanaosimama majukwaani na kufanya uchokozi wa makusudi wachukuliwe hatua za kisheria.

Mpaka sisi tuliozowea mitandao ya kijamii tunawashangaa moderators wapo kimya, watu wanaporusha matusi na kejeli mpaka kwa Rais na mawaziri wake. Hivi hatuyaoni? Au tunapenda huu uchokozi uendelee mpaka uzae madhara?

Kuuwasha moto ni kwepesi sana, kazi inakuja katika kuuzima.

Mimi nadhani wale wote wanaodai nchi imeuzwa waende mahakamani au kwa wao kupeleka madai au serikali iwaite mahakamani waje kuonesha nchi imeuzwa wapi na kwa lipi zaidi?

Nahisi kuna watu wapo nyuma ya pazia amabao wanadhani labda yataishia kiwepesi wepesi yakiachiwa yaendelee. Sasa hivi tayari chuki za wazi zinajionesha kati ya Wasio EWaisslam na Waislam, wasio Waarabu na Waarabu, Wabara na Wazanzibari. watu wa pwani na wasio wa pwani.

Hivi hayo yote kweli yamesababishwa na makubaliano ya Dubai na Tanzania yaliyopitishwa bungeni au kuna yanayoendelea nyuma ya pazia ambayo hatuyaelewi?

Tunaionmba serikali ichukuwe hatua za dhati, kila anaerusha au kuongea chuki akajieleze kwa ushahi wa hayo ayasemayo, kama hana ushahidi aseme ukweli ni na nani yupo nyuma yake anaemlipa au kumchochea kufanya hivyo.

Serikali itumie mbinu za kawaida na zisizo za kawaida za kiusalama ili kulinda raia wa nchi hii kujiingiza katika chuki na migogoro isiyo ya lazima. Huu ni mtego wa panya watania waliokuwemo na wasiokuwemo.

Naamini katika uwazi na ukweli na naamini katika uhuru wa maoni na habari, lakini kila uhuru ni lazima uwe na mipaka yake. Naona au Tanzania hatuna mipaka ya kujielezza maoni yetu aukama tunayo ama hatuijuwi au tunaiwachiie makusudi mipaka inavukwa?

Serikali, hususa Waziri wa habari, Nape Nnauye tueleze tupo bado ndani ya mipaka ya sheria au tumekiuka? Kama bado upo ndani ya mipaka ya sheria za uhuru wa maoni, tunaomba shertia zikafanyiwe ukarabati. Ili tuwe nchi yenhe kuheshimu utowaji mapni yetu uwe wa kuheshimiana.

Wewe kama hupendi nilichosema au kufanya mimi nifahamisheni usinitukane.

Moderators wa JF tunaomba majukwa haya siasa na habari mchanganyiko yapewe kipa umbele ili yasiwe ni chimbuko la maafa.
Ngoja sindano iingie vizuri zaidi. Wakae kimya tena sana tu.

Nkuki kwa nguruwe.....Mfyuuuuuuuuu!
 
Sasa nimekusoma yote uliyoandika.

Ninachoweza kusema ni haya:
1. Watu husema "nyani haoni kundule." Hili ni kama tusi, lakini ni msemo sahihi kabisa unaofkisha taarifa bila ya kuvungavunga.
Maana yangu hapa ni kwamba, mtu anaweza kukutusi vibaya sana kwa lugha laini kabisa, tena lugha nyororo kabisa. Ukiwa na akili, utajua matusi uliyoangushiwa.

Msemo huo hapo utafakari vizuri, utaelewa ninacholenga mimi.
Msemo huo sina haja wala sababu ya kuutafakari, hata mimi nautumia sana humu JF.

Tanbihi:
Nalikata kata bandiko lako kwa sababu unaandika mambo marefu kwenye ukurasa mmoja, kumbuka wengi wetu tunatumia simu hatutumii laptops, lazima uelewe namna ya kutumia mitandao ya kijamii, kama unataka mjadala mzuri na wa kuelewana, weka hoja moja moja na jifunze kuzifupisha.
 
Mtufanyie ubaya makusudi, muwape ndugu zenu waarabu bandari zetu zote Tanganyika milele, halafu mkiambiwa ukweli unaita uchokozi, hivi kuna uchokozi mkubwa kama wa kutoa bure bandari zetu milele?
 
Unaona lugha hiyo, hao "wezi" ni nani na nani na wamekuibia nini?

Duniani wezi kweli wapo lakini unamshutumu mtu bila ushahidi sheria haikuruhusu na unaweza kuchukuliwa hatua. Usifikiri nyuma ya hii mitandao tumejificha kiasi cha tukitakikana hatuwezi kupatikana.
Nini maana ya maoni.. mtu anapohisi anaibiwa asiseme..?? au kisa anaemhisi ni raisi ndio augulie moyoni.. hiyo itakua amani??

Ni kazi yako ww ambaye una uhakika kila kitu kiko sawa kutushawish kwa hoja zisizo na mashaka kuwa hatima ya wanetu iko salama kwenye mikataba isiyo na kikomo.

Tumekua tukilalamika mikataba ya miaka 100.. sasa imekuja isiyo na kikomo.. pia usifikiri kama ww una watu unaotetea nyuma yako kila mtu ana watu
 
Sasa nimekusoma yote uliyoandika.

2. Swala la kukiuka sheria mahali popote siyo jambo la kumwomba mtu yeyote atimize wajibu wa kulinda sheria za nchi zisivunjwe. Katika hili, kama limetokea, wahusika wa kuhakikisha sheria zinafuatwa wanajulikana. Siyo swala tena la kuhimizana
Lakini nikukumbushe, kama ilivyo kawaida, shera zipo kwa kila mtu aliymo kwenye Jamhuri hii. Awe ni kiongozi mkuu kabisa wa nchi, au waziri, sote sheria zinatuhusu, inapashwa sote tutii siyo tu katiaka mambo haya ya mahusiano ya kijamii, bali pia katika mambo yote yanayoihusu nchi yetu na kila kitu kilichomo.

Hayo unayosema nimekuelewa, upo sahihi na ndiyo uhuru wa maoni. Mpaka hapo, umefikisha ujumbe wako na kukumbusha kiaina yako bila kejeli wala atusi. Sielewi chini huko unavyoendelea maana bandiko lako ni refu sana imebidi nilijibu vipande vipande.

Siuoni utata katika ulichokiandika hapo juu. Upo huru na maoni yako na ni mema.
 
Haakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mapa kutusi.

Haya yanayoendelea si maoni tena bali ni vunjifu wa amani uliokusudiwa. Uhuru wa maoni ni lazima uwe na mipaka.

Mtu anajiita mwanasheria msomi au wakili msomi , mwanasiasa, anasimama kwenye majukwaa ya habari na kurusha matangazo yaliyojaa chuki kuwa nchi inauzwa, au bandari inauzwa, Wazanzibari waniuza nchi. Na cha kushangaza sana waziri wa habari amekaa kimya. Waziri wa sheria amekaa kimya. Waziri wa mambo ya ndani amekaa kimya, waziri wa ulinzi amekaa kimya.

Nashauri, vyombo vya habari vyote vinavyorusha matangazo ya chuki vichukuliwe hatua kali za kisheria. Wale wote wanaosimama majukwaani na kufanya uchokozi wa makusudi wachukuliwe hatua za kisheria.

Mpaka sisi tuliozowea mitandao ya kijamii tunawashangaa moderators wapo kimya, watu wanaporusha matusi na kejeli mpaka kwa Rais na mawaziri wake. Hivi hatuyaoni? Au tunapenda huu uchokozi uendelee mpaka uzae madhara?

Kuuwasha moto ni kwepesi sana, kazi inakuja katika kuuzima.

Mimi nadhani wale wote wanaodai nchi imeuzwa waende mahakamani au kwa wao kupeleka madai au serikali iwaite mahakamani waje kuonesha nchi imeuzwa wapi na kwa lipi zaidi?

Nahisi kuna watu wapo nyuma ya pazia amabao wanadhani labda yataishia kiwepesi wepesi yakiachiwa yaendelee. Sasa hivi tayari chuki za wazi zinajionesha kati ya Wasio EWaisslam na Waislam, wasio Waarabu na Waarabu, Wabara na Wazanzibari. watu wa pwani na wasio wa pwani.

Hivi hayo yote kweli yamesababishwa na makubaliano ya Dubai na Tanzania yaliyopitishwa bungeni au kuna yanayoendelea nyuma ya pazia ambayo hatuyaelewi?

Tunaionmba serikali ichukuwe hatua za dhati, kila anaerusha au kuongea chuki akajieleze kwa ushahi wa hayo ayasemayo, kama hana ushahidi aseme ukweli ni na nani yupo nyuma yake anaemlipa au kumchochea kufanya hivyo.

Serikali itumie mbinu za kawaida na zisizo za kawaida za kiusalama ili kulinda raia wa nchi hii kujiingiza katika chuki na migogoro isiyo ya lazima. Huu ni mtego wa panya watania waliokuwemo na wasiokuwemo.

Naamini katika uwazi na ukweli na naamini katika uhuru wa maoni na habari, lakini kila uhuru ni lazima uwe na mipaka yake. Naona au Tanzania hatuna mipaka ya kujielezza maoni yetu aukama tunayo ama hatuijuwi au tunaiwachiie makusudi mipaka inavukwa?

Serikali, hususa Waziri wa habari, Nape Nnauye tueleze tupo bado ndani ya mipaka ya sheria au tumekiuka? Kama bado upo ndani ya mipaka ya sheria za uhuru wa maoni, tunaomba shertia zikafanyiwe ukarabati. Ili tuwe nchi yenhe kuheshimu utowaji mapni yetu uwe wa kuheshimiana.

Wewe kama hupendi nilichosema au kufanya mimi nifahamisheni usinitukane.

Moderators wa JF tunaomba majukwa haya siasa na habari mchanganyiko yapewe kipa umbele ili yasiwe ni chimbuko la maafa.
Mlizoea mkifanya utumbo wenu watu wakae kimya, kwani Mwinyi hakuuza Liliondo?hizi zama siyo za kibwege, basi mwambie mama ahutubie Taifa mbona kakaa kimya
 
Sasa nimekusoma yote uliyoandika.

3. Napenda pia ujue ya kwamba, kazi ya kuwaunganisha watu ndani ya nchi ni sehemu muhimu sana ya uongozi wa nchi husika. Tutafarakana sana kama viongozi wetu ndio watakuwa wachochezi wa kufarakana huko, kwa matendo yao mbalimbali.
Bunge la wawakilishi wa wananchi linapogeuzwa kuwa kama chombo cha kuhujumu nchi, watu hawawezi kukosa kujiuliza hali hiyo inatoka wapi, na watajua ni nani anayesababisha hali kuwa hivyo.
Naona hapo unarusha tuhuma bila nukuu wala chanzo. Unajitungia kichwani mwako. Hiyo ni ufataani.

Jifunze kuweka vyanzo au kumnukuu fulani kasema hivi au vile hususan unapotaja viongozi na wabunge, kwa sababu mimi siamini kuwa viongozi na wabunge wote wapo kama unavyoshutumu wewe. Tupe ushahidi wa shutuma zako.
 
Sasa nimekusoma yote uliyoandika.

4. naomba nimalize kwa kukushukuru. Pamoja na wewe kuwa kwenye mstari wa mbele katika kejeli mabilimbali humu JF, inatia matumaini kwamba pengine hatimaye, hata wale tuliokwishawaona kama sugu katika mambo hayo, kuna mategemeo ya wao ndio wawe mstari wa mbele kulipoza taifa letu.

Sisi sote ni waTanzania, tuuweke uTanzania wetu mbele ya mengine yote. Maslahi ya nchi yetu ni maslahi yetu sote, bila kujali tofauti zetu nyingine zilizopo kati yetu.

Sikuhariri chochote, naomba uniwie radhi kwa makosa ya kiuandishi yatakayokuwemo katika andiko hili.

Hayo ni maoni yako binafsi na upo huru kwa maoni yako.

Na ndivyo inavyotakiwa, kama tuna misimamo tofauti tuheshimiane misimamo yetu. Tunaweza kujadili kwa hoja bila matusi wala kejeli, ndicho nilichokieleza mimi juu huko, Tuwe na mipaka na uhuru wetu wa kujieleza, tukubuke juzi juzi tu, Tanzania tulikuwa hatina uhuru wa kujieleza, hatuna uhuru hata wa kuona bungeni wanajadili nini.

Leo tuna uuru huo, tuutumie vyema. katiba inayomuongoza Rais Samia haina tofati na iliyomuongoza Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli.

AlhamduliLlah tuliojaaliwa kuwepo kwenye tawala zote hizo, kuna tofauti kubwa tunaziona kwa uongozi wao wote hao., Nyerere aliwahi kuulizwa kunukuliwa hapa ha[pa JF akisema "Naweza kuwa dikteta kwa mujibu wa katiba", chanzo bofya chini hapo.

Kwa kauli hiyo tujiulize, kama katiba ni hiyo hiyokinachomzuwia Rais wetu wa sasa kuwa "dikteta" ni nini? Hususan zinapoanza kejeli kwake, kwa Uzanzibari wake na hata kwa Uislam wake?

Binafsi namshauri asifanye "udikteta" bali aviruhusu vyombo vya usalama wa nchi yetu viwahoji wote wanaosema hovyo kwa kurusha tuhuma, kejeli, vijembe na mpaka matusi bila kuqa na ushahidi, kama wamevuka mipaka ya uhuru wa maoni wachukuliwe hatua za kisheria.
 
Haakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mapa kutusi.

Haya yanayoendelea si maoni tena bali ni vunjifu wa amani uliokusudiwa. Uhuru wa maoni ni lazima uwe na mipaka.

Mtu anajiita mwanasheria msomi au wakili msomi , mwanasiasa, anasimama kwenye majukwaa ya habari na kurusha matangazo yaliyojaa chuki kuwa nchi inauzwa, au bandari inauzwa, Wazanzibari waniuza nchi. Na cha kushangaza sana waziri wa habari amekaa kimya. Waziri wa sheria amekaa kimya. Waziri wa mambo ya ndani amekaa kimya, waziri wa ulinzi amekaa kimya.

Nashauri, vyombo vya habari vyote vinavyorusha matangazo ya chuki vichukuliwe hatua kali za kisheria. Wale wote wanaosimama majukwaani na kufanya uchokozi wa makusudi wachukuliwe hatua za kisheria.

Mpaka sisi tuliozowea mitandao ya kijamii tunawashangaa moderators wapo kimya, watu wanaporusha matusi na kejeli mpaka kwa Rais na mawaziri wake. Hivi hatuyaoni? Au tunapenda huu uchokozi uendelee mpaka uzae madhara?

Kuuwasha moto ni kwepesi sana, kazi inakuja katika kuuzima.

Mimi nadhani wale wote wanaodai nchi imeuzwa waende mahakamani au kwa wao kupeleka madai au serikali iwaite mahakamani waje kuonesha nchi imeuzwa wapi na kwa lipi zaidi?

Nahisi kuna watu wapo nyuma ya pazia amabao wanadhani labda yataishia kiwepesi wepesi yakiachiwa yaendelee. Sasa hivi tayari chuki za wazi zinajionesha kati ya Wasio EWaisslam na Waislam, wasio Waarabu na Waarabu, Wabara na Wazanzibari. watu wa pwani na wasio wa pwani.

Hivi hayo yote kweli yamesababishwa na makubaliano ya Dubai na Tanzania yaliyopitishwa bungeni au kuna yanayoendelea nyuma ya pazia ambayo hatuyaelewi?

Tunaionmba serikali ichukuwe hatua za dhati, kila anaerusha au kuongea chuki akajieleze kwa ushahi wa hayo ayasemayo, kama hana ushahidi aseme ukweli ni na nani yupo nyuma yake anaemlipa au kumchochea kufanya hivyo.

Serikali itumie mbinu za kawaida na zisizo za kawaida za kiusalama ili kulinda raia wa nchi hii kujiingiza katika chuki na migogoro isiyo ya lazima. Huu ni mtego wa panya watania waliokuwemo na wasiokuwemo.

Naamini katika uwazi na ukweli na naamini katika uhuru wa maoni na habari, lakini kila uhuru ni lazima uwe na mipaka yake. Naona au Tanzania hatuna mipaka ya kujielezza maoni yetu aukama tunayo ama hatuijuwi au tunaiwachiie makusudi mipaka inavukwa?

Serikali, hususa Waziri wa habari, Nape Nnauye tueleze tupo bado ndani ya mipaka ya sheria au tumekiuka? Kama bado upo ndani ya mipaka ya sheria za uhuru wa maoni, tunaomba shertia zikafanyiwe ukarabati. Ili tuwe nchi yenhe kuheshimu utowaji mapni yetu uwe wa kuheshimiana.

Wewe kama hupendi nilichosema au kufanya mimi nifahamisheni usinitukane.

Moderators wa JF tunaomba majukwa haya siasa na habari mchanganyiko yapewe kipa umbele ili yasiwe ni chimbuko la maafa.
Si mlisema mnafungua nchi na ni wana demokrasia? Au mlikurupuka hamjui maana ya maneno mliyokuwa mnasema Ili muombe misaada na mzurure ulaya mtakavyo? Demokrasia ina gharama zake bibi na tutamia lugha yoyote dhidi ya mtu yeyote ili mradi hatuvunji sheria za nchi. Mwizi tutamuita mwizi haijalishi umri au cheo chake, msaliti au mpumbavu au kiongozi wa hovyo ataitwa hivyo hivyo mpaka atakapoacha na kama hawataki kusemwa wajiuzulu wakalee wajukuu uone kama kuna mtu atawasema
 
Mmeshindwa hoja mmeanza kutamani kurudi enzi za jiwe.
 
Kwanini hao wanaotukanwa nao wasiende mahakamani kama ambavyo unashauri wanasema nchi imeuzwa waende mahakamani?. Kama Kuna Sheria zinavunjwa shauri waende mahakamani kama ambavyo B Membe alifanya Kwa Musiba nasio ujinga unaoandika hapa.
Hili ndio suluhisho katika nchi inayosema ya kidemokrasia, sio kutisha watu.
 
Umesahau?
Anzia kipindi kile unatumia i.d ya majimshindo...
Si uweke huo uzi, JF haifuti kitu. Usijekuta nimemnukuu Mtikila au Mwijage maana hao ndiyo walikuwa wasema hovyo kwa Nyerere. Maana Mwijage katunga vitabu vya kumtuhumu Nyerere ona jina la kitabu chake hiki: Julius K Nyerere, Servant of God or Untarnished Tyrant? by Ludovick Simon Mwijage.
Chanzo: https://www.booktopia.com.au/julius-k-nyerere-ludovick-simon-mwijage/book/9788799953448.html

Tena mkiirudisha ID yangu ya @majimshindo ntafurahi sana, kuna madini mengi sana humo.
 
Ni wapi ulipoona kuwa bandari inabifsishwa? Unajuwa labda wenzetu mna habari ambazo sisi hatuzielewi. Nini kilichokupelekea kusema bandari inabinafsishwa? Mimi sijaona wala sijasikia bandari yetu au etu kubinafsishwa.

Mimi nnachokielewa kuna kampuni inaitwa TICTS ilipewa mkataba kuendesha bandari ya makontena, lakini kwa miaka 22 haijafikia malengo na haijaleta vifaa ilivyosema italeta kuendeshea bandari kiufanisi, wakaambiwa waondoke, wameondoka sasa inataka kupewa kampuni ya DP World inayomilikiwa na Dubai ili waendeshe bandari yetu kwa mkataba ambao bado wanaelewana wataouingia baina ya DP World Na Tanzania Ports Authority.

Huko kubinafsishwa kuko wapi?
Kilichoridhiwa na bunge la Tanzania kuhusu DP World ni nini?
 
Asante Sana kwa kuandika jambo Jambo ambalo lilikuwa linaniumiza Sana moyo wangu, Najiuliza kwanini vyombo vya habari vinarusha maudhui pasipo kuyachuja na kuangalia Kama Yana Afya kwa walaji? Kwanini matusi na lugha za dhihaka ,kejeri ,matusi na udhalilishaji kwa Rais wetu na viongozi wa serikali yetu yalihusiwe na kurushwa hewani? Kwanini watu wanatoa matusi na wanaachwa?

Mamlaka husika zipo wapi? Zinasimamia Nini? Zinataka mpaka kitokee Nini ndio ziamke katika usingizini? Mpaka kufanyike Nini ndio watu watimize wajibu wao? Tunatengeneza Taifa la namna gani?

Rwanda watu walichinjana na kuuana kutokana na uchochezi ulio kuwa unaenezwa na vyombo vya habari na baadhi ya viongozi ambao walifumbiwa macho pasipo kukemewa? Tangia lini na wapi na kwa Sheria IPi ya mwaka gani ambapo matusi na udhalilishaji umekuwa Uhuru wa habari?

Kwanini tuache mbegu ya chuki,ubaguzi,udini,ukanda na ujinsia uenezwe na kusambazwa na watu na vyombo vya habari pasipo mamlaka kuchukua hatua?

Kwanini tunataka kulipasua Taifa letu? Kinachofangika siyo Uhuru Wala Demokrasia maana Uhuru au Demokrasia haiwezi ikawa katika kumtukana au kuwatukana watu na kiwavunjia heshima na utu wao. Haya mambo Ni lazima yakome na kukemewa kwa nguvu zote.
Wapumbavu wote waliosaini mikataba uarabuni sharti watukunwe mbwa koko hao
 
Back
Top Bottom