Uhuru wa maoni uwe na mipaka. Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni uchokozi

Well said Madame hatutaki kuona Tanzania kuwa kama Sudan
Hebu twambie inatakiwa watu wakosoe kwa mtindo upi? Maana.. hakuna anaemtukana Rais wala kumkebehi au udhalilishaji!! Kama yapo tuwekee hapa!!
 
Nasema hivi hao Waarabu na vibaraka wao tutawapindua tena kwa mapambano ya mtutu wa bunduki.
 
Hilo ni sawa kabisa, lakini si linatakiwa lijadiliwe kiamani, kila mwenye hoja aiseme hoja yake bila jazba wala uchochezi au kuomesha chuki kwa wengine?

Au wewe unaridhika na lugha za uchokozi (provoking) zinazowachiwa kutumika hivi sasa?
Hakuna amani hapa "Wazanzibar mnataka kuiuza Tanganyika yetu vipande vipande hatutakubali"
 
Achana na huu ujinga 👆!! Tang awamu ile watu wakikosoa tu et ni uchochezi, siasa sio lelemams nyie machawa!!
Tunataka mama aendelee na kazi ya Magufuli, kwanini aliruhusu mikutano ya siasa kabla uchaguzi, Mwamba alisema No.

Bunge live. mwamba alisema no. Kukawa shwari, sasa Mama Samia karuhusu yote hayo inakuwa kosa?

Basi mama Samia tunamtaka awaachie vyombo vyetu vya usalama vitaame ukweli wa haya mambo, wataamua wao wapi watu wamevuka mpaka wa Uhuru wa maoni.

Mbona mjadala huu, hakuna matusi, hakuna kejeli, moderators wanafanya kazi vizuri kabisa, naamini wakiona kuna mtu kalianzisha wanafuta post.

Tulumbane kwa hoja.
 
Uhuru wa maoni ni pamoja na kuheshimu maoni kinzani, kuruhusu vyombo vya habari kuandika bila kupangiwa.
Sasa hivi vyombo vyote vya habari viko chini ya udhibiti wa serikali hivyo hakuna huo uhuru unaoulilia.
Kuna kipindi Kuna mdau alitaka uzuiwe kutokana na Makala zako lakini baadhi yetu tulipinga kwa hoja Kila mtu yupo huru kuleta kile anachoamini pia hatuwezi kuwa tunajadili habari zenye uelekeo mmoja.
Kama mlivyokuwa mnamsema rais aliyepata ndovyo na huyu rais atakosolewa na mwisho rais lazima arudishe bandari za Tanganyika.
 

Kwa kutumia hiyo sheria ya uhuru wa maoni, basi wewe umetoa maoni yako.
Kila mtu ana uhuru wa kujieleza, usimnyime mto kutoa maoni yayake au kujieleza anavyoona, heti kwa sababu hukubaliani na anacho kisema.

HOJA HUPINGWA KWA HOJA. MASILAHI YA MTU YAKIGUSWA ANAKUWA MKALI NA KUTUMIA NGUVU KUBWA KUTETEA MAOVU YAKE ILI YAONEKANE KUWA NI SAWA.

ACHA WAHUSIKA WAJITETE WENYEWE.
 

NILIKUWA NAKUHESHIMU NIKIJUA WEWE NI KICHWA CHA MAARIFA.


KUMBE WEWE NI TAKATAKA TUPU
 

UZI UNAMAKOSA KIBAO.

WEWE SI NDO KINARA WA KUKOSOA WATU.

AU WAMEKUKATIA ULAJI NDO MAANA UNAANDIKA HARAKAHARAKA ILI ULAJI URUDI


HOVYOOOO
 
Dada we si unaona poa tu kwa kuwa mwarabu anakuja?
 
Watu wakitoa maoni ni shida,kama hakuna lililofichika kuhusu bandari si watoe majibu?
 
Nyie si ndio mlisemaga Magufuli ni Dikteta?
kulikoni?
 
Mlianza suala la udini mkatolewa knockout sasa mmekuja kutisha wakosoaji rudini nyuma wambieni hao DP WORLD huo mkataba waTanzania wameukataa warudi tena mezani tuweke mkataba mzuri tuwape fursa wananchi watoe maoni yao ndo tusinye
 
Mlianza suala la udini mkatolewa knockout sasa mmekuja kutisha wakosoaji rudini nyuma wambieni hao DP WORLD huo mkataba waTanzania wameukataa warudi tena mezani tuweke mkataba mzuri tuwape fursa wananchi watoe maoni yao ndo tusinye
Hakuna mkataba Tanzania iliyoingia na DP World.
 
Hilo ni sawa kabisa, lakini si linatakiwa lijadiliwe kiamani, kila mwenye hoja aiseme hoja yake bila jazba wala uchochezi au kuomesha chuki kwa wengine?

Au wewe unaridhika na lugha za uchokozi (provoking) zinazowachiwa kutumika hivi sasa?
Wewe mwenyewe huna ustarabu katika kutoa maoni yako. Una maneno ya dhihaka kwa wengine na ubaguzi wa waziwazi wa kidini. Wewe ni mdini sana. Sidhani kama una audacity ya kusahihisha wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…