Uhuru wa maoni uwe na mipaka. Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni uchokozi

Wajinga nyinyi tuelezeni masilahi ya Tanganyika yameandikwa wapi kwenye mkataba wa bandari
 

Jitahidini kuvumilia ukweli, kama ni machafuko yanatakiwa yatokee wakati wa uchaguzi. Maana chaguzi zetu zimekuwa za kihayawani, watu hasa wapinzani huumizwa, hutekwa, kubambikiwa kesi na uchafu mwingine kama huo. Hili kwako huoni kama ni tatizo la kuharibu amani yetu, maana ww ni mfaidika wa uhayawani huo kwenye chaguzi zetu.

Sasa hivi unajifanya una uchungu sana, na unajali amani ya nchi hii, lakini hujawahi kukemea ukatili wa wazi unaofanywa na chama chako dhidi ya wapinzani, simply kwakuwa ni mfaidika wa upuuzi huo. Sasa hivi umekutana na mazingira yasiyofaidisha upande wako ndio unaiingiza uislamu, sijui uarabu, upwani, Uzanzibari wako ili kulinda maslahi ya kundi lenu wala keki ya taifa. Ni hivi, hatutaki mkataba wa kihuni wa kuuzwa bandari zetu.
 
Uliona kuna mtu au chombo chochote kimemzuia yoyote kutoa maoni?
Ndio Juma Dawa kusema "Laisi mwenye ushungi" tu kafungwa. iko wapi freedom of speech freedom of expression


Your browser is not able to display this video.

Samia awakemee machawa wanamuharibia.
 

Mwambie huyo mama afanye kama Magufuli hakuna anayejali. Na sio kuwa afanye kama Magufuli bali nd
io ameshaanza, maana hana uwezo wa kupambana kisiasa kwani yeye na chama chake hawako madarakani kwa ridhaa ya umma.

Hilo bunge live wala hakuna mwenye mshawasha nalo maana liko live wala hatulifuatilii. Tulikuwa tunalifiatilia lilipokuwa na wapinzani sio sasa. Kwa taarifa yako hakukuwa shwari, kama kungekuwa shwari tusingeona uchaguzi wa kihayawani kama wa 2020. Kilichofanyika ni kuzuia kusikika mambo asiyotaka Magufuli, kwahiyo usichanganye kuziba masikio na ushwari. Narudia tena, bandari yetu haiuzwi.

Anzisheni majukwaa yenu ya CCM mkajadiliane na kusifiana, hakuna mtu atakuwa na shida na nyie. Mfano halisi mmeteka vyombo rasmi vya habari, matokeo yake mmevipotezea mvuto, kisha mnakimbilia huku kwenye majukwaa huru kutaka tuongee yanayowafurahisha.
 
Acha watu watoe sumu zao, ukiona hawachukuliwi hatua basi wako na haki mpaka muda huu ama lah ukawashtaki wewe.
 
Samia anasema ,nitakupapasa ,mumekaa kimya ,akinya bata kimya Sasa anye kuku
 
Pesa imefunguka huko mitaani na frame za maduka zinaendelea kumaliziwa na zile zilizokosa wateja zinaanza kuupata mzunguko wa pesa.

Wazungu wameendelea kuachia pesa zao baada ya awamu ya tano iliyowakera kuondoka pale ikulu.

Hivyo ni uvumilivu tu ndio wa muhimu kwa upande wa serikali, inafahamu kuwa upatikanaji wa pesa hizo ni kwa gharama ya kuruhusu uwepo wa demokrasia ya viwango wanavyovitaka wao!.

Nshala katukana weeh kaona haitoshi, sasa anakuja na madai ya kutaka kuuwawa. Serikali inakaa kimya tu kwa kuheshimu mtoa pesa na demokrasia yake.

Lissu anazunguka huko Kariakoo kuponda DPW na malengo yake lakini mfumo umetulia tu ukiheshimu vikao vya pamoja kati ya Mwigulu Nchemba na watoa pesa wa huko Ulaya na Marekani.
 
Wewe mkataba usio na kikokomo unaona sawa??? nenda kale urojo hukoo
Hakuna kisicho na ukomo, maisha yenyewe yana ukomo itakuwa mkataba!.

Watanzania tuache kukabidhi akili zetu kwa wanasiasa wenye maneno na mawazo hasi siku zote.

Wanatunyima uwezo wa kukua kiakili na kimtazamo.
 
Ndio mseme unaisha lini
Host Governmental agreement zina ukomo kwani ni mikataba ya utendaji kati ya wawekezaji na wazalendo.

Inter Governmental agreement iliyopelekwa bungeni haina ukomo lakini ile ni framework tu ya mkataba wa HGA unaotumika kibiashara.
 
Host Governmental agreement zina ukomo kwani ni mikataba ya utendaji kati ya wawekezaji na wazalendo.

Inter Governmental agreement iliyopelekwa bungeni haina ukomo lakini ile ni framework tu ya mkataba wa HGA unaotumika kibiashara.

Unapodai kuwa IGA ni "framework" tu ya mkataba, mna maana gani wakati ndiyo itatumika kuandaa HGAs?

Na lini na kwa Ibara gani ya Katiba ya JMT (1977) "framework" inapelekwa Bungeni kuridhiwa?

UNAPOTOSHA kwa faida gani?
 
Unapodai kuwa IGA ni "framework" tu ya mkataba, mna maana gani wakati ndiyo itatumika kuandaa HGAs?

Na lini na kwa Ibara gani ya Katiba ya JMT (1977) "framework" inapelekwa Bungeni kuridhiwa?

UNAPOTOSHA kwa faida gani?
Hiyo hiyo katiba ya mwaka 77 inacho kifungu kinachotaka uwekezaji wowote mkubwa upitie bungeni kwanza kabla ya kutekelezwa.

Kuvunjika kwa HGA muda wowote wa biashara ndio kuvunjika moja kwa moja kwa IGA. Kupita bungeni ni formality tu.

Wakati tunapoteza muda kubishana na kuonyeshana ujuaji wa vifungu vya sheria huko Rwanda na Congo wameshasainishana na mwekezaji na shughuli za kiuchumi zinaendelea.
 
Chai imezidi tangawizi hii 😂
 
Mkuu hawa wakristo wanaojificha nyuma ya CHADEMA wameshiba na mpaka wamevimbilwa huruma na uungwana wa mama. Wanataka kurejeshwa kwa umagufuli kidogo ili akili ziwakae sawa. Yaani mtu kama Nshalla anatukana kabisa halafu kesho yake anaamka na ngonjera eti kuna watu wanataka kumuua tena kwa kibri!!! Mama tupa kule upole wako waoneshe sura nyingine.
 
Sawa
 
Sawa kabisa, kila mmoja wetu ana maoni yake, na ni vizuri kwenye maoni tusijumuishe, uweke huyo mwana siasa na alichokifanya ambacho wewe hukioni sawa, ndiyo nguvu ya hoja.

lakini kutukana na kuchochea kwa lugha za maudhi kunajenga au kunabomoa?
Tatizo kinachokusumbua wewe mtoto kila siku huwa nakuambia usipoacha utateseka sana...mbona haukuyaongea haya Zito kabwe, kinana pamoja na january makamba walipokimuandama magufuli kila kukicha? Au ndio yale ya muislamu hakosei bali anaonewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…