Uhuru wa maoni uwe na mipaka. Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni uchokozi

Suluhisho ni huko CCM kumpiga chini huyu ambaye anadhani atapata tena hapo 2025!! Kigezo cha kumpiga pini ni kwamba amekiuka katiba aliyoapa kuilinda!! Haiwezekani jambo la muungano lihusishe bandari za bara tu!!! Ukivunja katiba ni kwamba umejinyima uhalali wa kuendelea kuliongoza Taifa!! Ndugai alisema kuna siku nchi itapigwa mnada!! Si tumeyaona sasa?
 
Yaani mkataba wa bandari unaanzishiwa wizara mpya ya kuubeba na kuulinda!!! Huyo aliyekabidhiwa wizara hiyo macho yote 120,000,000 ya watanzania yanakuona na Mungu anakuona!! Usitumike kuratibu uporaji wa rasilimali zetu!!! Ujue mkono wa Mungu ni mrefu sana kuliko wa huyo aliyekupa hiyo nafasi!!
 
Wanasema jiheshimu kabla ya kuheshimiwa, ila bibie unakeraaa kupita kiasi.
 
Tulia huyo maza ako apigwe spana si anajinasibu masikio kaweka nta ataendelea kupigwa spana mpaka akili zimrudie

Naona mmeanza kumshauri awe dictator, tayari amechelewa sana
 
Naomba usiingize uislam na ukristo katika hili la DP world. Wala usiingize uarabu na uswahili.
Aliyetukosea adabu Ni DP world na wazanzibari waliosaini mkataba bila kuusoma na kuu elewa au kuchukua kitu kidogo.
Usilete sababu nyingine. Wabaya wetu tunawajua.
Ulitaka Nape atetee uuzwaji wa bandari au amtetee Waziri Prof msomi aliye saini mkataba bila kuusoma?
 
We mpumbavu kweli sasa unaingiza udini kutetea ujinga mbona waislamu kibao wamelaani huu mkataba acha ujinga we ajuza
 
Hofu yako wewe ni vita n machafuko. Hatuna budi Kihistoria Israel ni Taifa la Mungu ila walipambania Haki yao wenywe.
Umeshafika Israel? au kufanya japo utafiti kidogo kuhusu Israel?

Kuna mafanikio gani toka taifa hilo lianzishe? Au kwako kuishi kwa hofu usiku na mchana na kuwa "mbinguni" (haven) ya upinde duniani, ndiyo mafanikio? Au watu kukasirika kila linapotajwa jina la Yesu (AS) mpaka serikali yao kuwasilisha mapendekezo bungeni jina la Yasu (AS) lisitajwe ndiyo mafanikio?

Una haki na maoni yako lakini nakukumbusha usemi wa wahenga "udege mbaya haubembelezewi mwana".
 
Moderators wa JF tunaomba majukwa haya siasa na habari mchanganyiko yapewe kipa umbele ili yasiwe ni chimbuko la maafa.
Dah!
Leo hii wewe ndiye unakuwa mtu wa kuyaona haya?

Siku zote umekuwa ukifanya nini ndani ya JF; kama siyo kuchonganisha watu kwa tofauti zao ndogo ndogo?

Kwa hiyo sasa tuseme umepata fundisho, na unaiona hatma ya yote haya yanayoendelea sasa hivi?

Umetambua hao unaowatetea humu hawana njia bali wasalimu amri ya umma?

Umeanza kuona hatari inayowakabili hao wanaosema "hawasumbuliwi na kelele"?
 
Huo mkataba wa uuzwaji bandari uko wapi? Unao wewe? bandari ipi imeuzwa na kwa shillingi ngapi? Nani muuzaji na nani mnunuzi?

Ukishindwa kujibu hayo maswali ina maana wewe ni fataani, unabwabwaja na kuhororoja bila mpango.
 
Kwel kbs Leo umeongea point ya msingi Kwa kuanza serikali ianze na wapumbavu wawili humu wanaoeneza chuki za kidini humu Kuna mzee Moja na bibi flan ambae hafai hata kua mshangazi
 
Huo mkataba wa uuzwaji bandari uko wapi? Unao wewe? bandari ipi imeuzwa na kwa shillingi ngapi? Nani muuzaji na nani mnunuzi?

Ukishindwa kujibu hayo maswali ina maana wewe ni fataani, unabwabwaja na kuhororoja bila mpango.
Wewe Ni msomi Tena ulikwenda shule when education was education. Nashangaa ujio wa DP W unakufanya ujitoe toe ufahamu na kuwa chawa wa kutupwa.
Najuwa hutegemei uteuzi Kama Mimi Ila sio bure, kwa uchawa huu lazima Kuna kitu kime change hands. From somebody's hand, to yours.
Hivi wewe Ni wakujiweka kundi moja na Zembwela, Manara, Kitenje, Steve Nyerere, Mpoto.
Be yourself acha uchawa.
 
!) Hayo umesikia wewe, sisi hatujasikia. Tupe ushahidi usitulishe matango pori.
 
Wewe ndio unatakiwa nyuzi zako zifutwe maana zimejaa udini.
 

Sina habari kama siku hizi Usalama wa Taifa (UWT) wanapanda majukwaani na kuongea. Tupe ushahidi.

Haya mambo unayosema "nimesikia" hivi unayasikia kutoka chanzo kipi? Maana yamekaa kishabiki kweli kweli, halafu unayasikia wewe peke yako? habari zote nyeti kwenye mtandao huwa tunaweka vyanzo ili kama zina au hazina ukweli kijulikane chanzo.

Bila kuweka chanzo inaonesha hizo ni porojo zzako tu zisizo na msingi.
 
!) Hayo umesikia wewe, sisi hatujasikia. Tupe ushahidi usitulishe matango pori.
Just imagine muda huu huna usingizi kwa sababu ya uchawa. Hivi mbona huu mkataba utakutoa roho.
 

Sasa kijana, hayo yote unayasikia wewe bila kutuwekea chanzo? unategemea nikemee hewa?

Tuwekee hapa chanzo cha nani kaitwa shoga, na nani kamuita shoga?

Mimi nnafahamu Rostam Aziz kasema "Slaa hana maadili na kakumbushia kuwa kanisa lilimfukuza kwa kukosa maadili, pia akasema kuwa CCM ilimkataa asigombee kupitia CCM kwa kufata kigezo cha kanisa.

Pia Rostam Aziz akaendelea kusema kuwa aliwasaliti hata (chadema).

Chanzo changu hiki hapa: Jionee:

Your browser is not able to display this video.
 
Asemwe usiku na mchana hatutaki matusi na ubaguzi wala uchokozi.

Wewe upo nje ya Tanzania halafu ni sukuma gang, tunakufahamu. Ndiyo nyinyi mnaochochea ujinga.
Usukuma umekujaje hapa ? Muingie mkataba tata halafu usingizie wasukuma. Kwa nini usipigwe ban kwa ubaguzi huu ?
 
Ajabu ni Mashehe kuchachamaa utazani DP wodi ni mali ya Mwamadi.
Wazanzibar wanachchamaa utazani DP wodi ni mali ya Sultani.
Hao akina Mwaipopo wamechukuliwa hatua Gani?
Nanile kauli kuwa "kwa Sasa nchi iko kwa Waislamu " umeisikia au Bado? Tena wanasema ni watumishi. Wanadai wengi wanataamani kuslimu ili kulinda mkate wao.
Sasa kama unataka mpaka watumike wasiojulikana ili kulinda Do wodi, inaonekana Mkate wako unatiwa mchanga.
Note. Utawala mbavu utaliangamiza Taifa iwe kwa Dp wodi au kwa jengine.
Haya tuuweni basi mbaki wenyewe
 
Wakati mwingine tuwe tunawadharau hawa wachumia tumbo.

Wanaofurahia kubakwa na kupora mali asili zetu.

Yuda 1 : 16 Watu hawa ni wenye kunung’unika, wenye kulalamika, waendao kwa tamaa zao, na vinywa vyao vyanena maneno makuu mno ya kiburi, wakipendelea watu wenye cheo kwa ajili ya faida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…