Uhuru wa Palestina hautapatikana bila kupinduliwa kwa Misri, Jordan na Saudi Arabia

🤔
 
Huwezi kuukamata ardhi ya adui kama Hamas ,kisha ukaiachia within a month. Hapo utakaluwa hadi hata miezi sita au zaidi
 
Dini ya amani

Kuna watu wanamwabudu shetani bila kujua
 
Upo sahihi Israel hell [emoji1134] mapigano ya mwezi mmoja tu nawagambo tayari bajet yake imeyumba anaomba omba msaada ila hao uliowataja niwanafiq wakubwa hilo angeliweza almarhum mursi ila uliona walichomfanyia
 
Tutaongea maneno mengi Sana. Hivi hao Hamas wasingevamia Israel nini kingetokea?. Watu walikuwa wananaishi kwa amani, bila kusumbuana. Tungeanzia hapo, sio kulaumu.
Palestine na wapalestine hawajawahi kua na amani tokea mwaka 1948 baada ya kuundwa tu utawala haramu wa israhell [emoji1664]
 
Kumbe hii vita ni ya kukomboa msikiti?
 
Unajua mzandiki kwa lugha ya kiislamu?
 
Misri na saudi arabia ni madola makubwa nani atayapindua? Kina morsi wenyewe walikuja na siasa zao kali za kiislam wakala za uso. Huko saudia ndio hawatajaribu kabisa. Hayo madola ya kiarabu hayataki fujo na israel katika kuitetea palestina.
 
Wajinga mlikuwa mnafikiri kwamba Israel haipigiki.lakini wanapigwa na wanamgambo.hao hawawezi nchi kama Iran.
 
Kwahiyo kifupi uislam ni sawa na madawa ya kulevya.

Ikikuingia kichwani unachanganyikiwa, dini inakufanya uwe gaidi, muwulaji na mbaguzi.
 
SAUDI ARABIA NA JORDAN, WATUNGUA MAKOMBORA YALIYOVYATULIWA YEMEN KUELEKEA ISRAEL

Saudia Arabia moja ya nchi ya kiarabu kusaini makubaliano ya Abraham Accord (normalisation) na Taifa la Israel. Hivyo Saudia walivyoona makombora yanakatiza anga lao toka kwa wa Houthi wa Yemen , wakafanya wajibu wao kuyatungua ingawa yalikuwa amelengwa kuipiga nchi ya Israel. Jordan nayo watungua makombora yaliyokatiza nchini kwao kuelekea Israel toka kwa vikaragosi wa Iran waliopo kama mgambo ktk nchi za Iraq na Syria.

Pia manowari za Marekani katika bahari Nyekundu Red Sea watungua makombora yaliyofyatuliwa Yemen kuelekezwa Israel. Marekani ni rafiki wa kweli wa Saudia, Jordan, UAE na mmoja ya wadau waliofanikisha Abraham Accord kuleta utulivu na amani Mashariki ya Kati.

Mataifa ya Egypt, Jordan na Saudia Arabia ni nchi za mfano zilizo wauungwana kusimamia makubaliano ya Abraham Accord bila kusukumwa na viongozi wa magaidi wa HAMAS wanaotumbua maisha ya kifahari ktk hoteli za Qatar. kuendekeza jazba, mihemuko au imani kupitia shindikizo la magaidi wavunje makubaliano haya ya kihistoria.

Tanzania nayo haitakiwi kukurupuka kufuata mkumbo wa wahafidhina wenye chuki, mihemuko, kukosa kufikiri kwa kina na kulaani haki ya taifa la Israel kujilinda uwepo wake na usalama wa maisha raia wake.

U.S. Department of State (.gov)
www.state.gov
At the One Year Anniversary of the Abraham Accords: Normalization ...

17 Sept 2021 — Normalization leads to greater stability, more cooperation, mutual progress – all things the region and the world need very badly right now ...
 
Kumbe hii vita ni ya kukomboa msikiti?
Ule msikiti tumekabidhiwa na muumba wa ulimwengu na ni sehemu ya maajabu makubwa ambayo hakuna dini hata iliyoyawazia.Pale Mtume rehma na amani zimshukie alikwenda kwa kuruka kutoka Makka kwa kasi ya ajabu halafu akapaa angani kutoka pale mpaka mbingu ya saba alikokabidhiwa sala 5 tunazozisali mpaka leo.
Waislamu hawatokubali kuwaachia mayahudi wakapafisidi na hawatokuwa na maisha bila kuidhibiti Palestina na masjid al aqsa
 
Wajinga mlikuwa mnafikiri kwamba Israel haipigiki.lakini wanapigwa na wanamgambo.hao hawawezi nchi kama Iran.

Yale ni mapigano sio Vita. Ndio maana Israel alipoamrisha raia wa Gaza wahame wakahama. Wewe unadhani ni Jambo dogo kufata amri ya adui?. Ujinga wa Hamas Gaza imeanguka kwenye utawala wa ISRAEL na wao kufumuliwa.
 
Tutaongea maneno mengi Sana. Hivi hao Hamas wasingevamia Israel nini kingetokea?. Watu walikuwa wananaishi kwa amani, bila kusumbuana. Tungeanzia hapo, sio kulaumu.
kwan hukuona video mwaka jana?israel walhingia msikitin kupga watu?
 
Hayo mataifa unayoyataka mapinduzi yafanyike yameshaupdate syllabus ya madrasa hawaendeshwi na mihemko ya kidini
kwani kubadilisha syllabuses ndio kutafanya wasipinduliwe? uwezo wa kubadilisha Quran wala Hadith hawana kwa hiyo suala la kupinduliwa ni la muda tu
 
Ni kweli kabisa,hao vibaraka walio jirani ndio kikwazo kikubwa Cha kukombolewa Baytul Muqadas na kuondoshwa kwao ni mwanzo wa ukombozi wa filistin
kina Abu Musab Zarqawi na Abubakar al Baghdad walianza na naamini kwa idhini ya Allah Kuna "masimba" wengine watakaoleta nusra kamili
 
Yaani we ukafanye ujinga wako huko ukitaraji jirani atatumia rasilimali zake kukuhurumia.
 
Wafuasi wa mudi ni wajinga na mataahira aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…