Uhuru wa Palestina hautapatikana bila kupinduliwa kwa Misri, Jordan na Saudi Arabia

Subira kwetu ni ibada na haina kikomo.
Subira Ingekuwa ibada hamas wasingerusha maroketi. Ili watimize ibada ya Subira. Alafu kwako unaona hamas ndiyo Uislamu. Kwa wenye uelewa Hamas na makundi yote ya kigaidi yanauchafua Uislam tu.
 
Subira Ingekuwa ibada hamas wasingerusha maroketi. Ili watimize ibada ya Subira. Alafu kwako unaona hamas ndiyo Uislamu. Kwa wenye uelewa Hamas na makundi yote ya kigaidi yanauchafua Uislam tu.
Tangu tarehe 7 oktoba nimekuwa nikiswali Ijumaa kwenye misikiti ya madhehebu mbali mbali .Hakuna aliyewasema vibaya Hamas.Na misikiti mingi Ijumaa ya juzi ilisoma dua kuwaombea wapalestina.Unadhani Allah hazisikii dua hizo.
 
Utamsemaje vibaya Hamas mtu ambaye unamuunga mkono? Na unaona ni sehemu ya dini. kwake hata akiua unaona anafanya kitu kilicho sahihi.
 
Nchi tatu miongoni mwa nyingi ambazo zimeonekana kusaidia maangamizi hayo ya Palestina na kushindwa kututea masjid Aqswa ambao utakatifu wake uko kwenye Qur'an ni Saudi Arabia, Misri na Jordan.
Mbele ya Madaraka bora Ndugu zao waislam wafutwe lakini sio kumuudhi anaye waweka madarakani.

Madikiteta bila mkono wa USA na Israel huko Mashariki ya Kati hawawezi kukaa hata mwaka mmoja
 
Utamsemaje vibaya Hamas mtu ambaye unamuunga mkono? Na unaona ni sehemu ya dini. kwake hata akiua unaona anafanya kitu kilicho sahihi.
Kama kuuwa ni jambo baya.Nashangaa ulivyo kipofu.
Nani ameuwa watu wengi zaidi kati ya Israel na Hamas na kati ya Marekani na Taliban
Na nani muuwaji mbaya kuliko yule anayeua watoto na wagonjwa.
 
Mbona unapenda kutuingiza wakrsto kwenye ugomvi wenu wa Maarabu na Wayahudi🤣🤣🤣
 
Kama kuuwa ni jambo baya.Nashangaa ulivyo kipofu.
Nani ameuwa watu wengi zaidi kati ya Israel na Hamas na kati ya Marekani na Taliban
Na nani muuwaji mbaya kuliko yule anayeua watoto na wagonjwa.
Kwahiyo hamas watu wazuri wanaua kondoo tu??
 
ARABIZATION WITHIN MUSLIM FAITHER
😂🤣🤣🤣😋
 
propaganda ambazo hazifanyi kazi tena.Zilifanya kazi enzi zile za kuigawa Sudan.Iko siku wataunganisha tena nchi yao.
Unasema propaganda wewe kweli uislam wako ni wa choooni ...........jambo liko wazi kabisa mpaka kipofu kaona kuwa waarabu poli wanawaua watu wenu yaani waislam wenzenu kule darfur sasa wewe muuza kahawa wa Kawe ukwamani unapinga ........hivi ukoje wewe
 
Mbona unapenda kutuingiza wakrsto kwenye ugomvi wenu wa Maarabu na Wayahudi🤣🤣🤣
Wakristo halisi huwa daima wanakuwa karibu na waislamu.Ukiona mtu anajitenga ujuwe ni myahudi wa mchongo kama wewe
 
Wakristo halisi huwa daima wanakuwa karibu na waislamu.Ukiona mtu anajitenga ujuwe ni myahudi wa mchongo kama wewe
Wewe thubutu,,,tuwe karibu na watu wanaomwabudu shetani(Allah).
Na nabii wa uongo (Mudi).
Wakrsto wanamuabudu Mungu wa wayahudi YEHOVA MKUU NA MWANAE YESU.
 
Wewe thubutu,,,tuwe karibu na watu wanaomwabudu shetani(Allah).
Na nabii wa uongo (Mudi).
Wakrsto wanamuabudu mungu wa wayahudi YEHOVA MKUU NA MWANAE YESU.
Unamjua Hanana Al ashrawi na Shirin Abu Aqeel na wengine wa kule Palestina.Wewe utakuwa unajuwa ukiristo kweli kuliko wao.Mbona wamepigana na mayahudi wengine mpaka mwisho wa maisha yao.
Au wewe unaujuwa ukristo kuliko mapadre wa Chile na Latin America.
 
Umejaribuj kukanusha halafu umekuja pale pale.Kama ni rangi Albashir na wenzake ni weusi.Fikra ya uarabu kama alikuwa nayo ni moyoni kwake.
Ndipo hapo mwisho ukasema wasudan weusi.

Fitna zenu tu hizo mnapotaka kufanikisha mipango yenu.Hata waethiopia weusi pia mumewaita ni wayahudi.Wakipigana mitaa ya Telaviv ni waafrika ovyo warudishwe kwao.
Al bashir ni mweusi????
Hv mnawajua wabantu kweli??
 
Mbona mkuu unalazimisha wafuasi ya YEHOVA kuunga mkono ujinga wa allah na waarabu????
Unalazimisha wafuasi wa biblia kuunga mkono upuuzi wa quran na waarabu.
 
Mbona mkuu unalazimisha wafuasi ya YEHOVA kuunga mkono ujinga wa allah na waarabu????
Unalazimisha wafuasi wa biblia kuunga mkono upuuzi wa quran na waarabu.
Sikulazimishi ili najaribu kukuzindua kuwa ukristo huujui.umetekwa nyara na mayahudi.hiyo misamiati ya kumuita Mungu Yehova wala si ya kikristo.
 
Hizo dini Africa hazituhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…