Uhuru wa Palestina hautapatikana bila kupinduliwa kwa Misri, Jordan na Saudi Arabia

Kabla vita havijamalizika Israel imeshaweka tayari baadhi ya mipango yake ya siri dhidi ya ardhi za wapalestina, kwamba wanakusudia kuinyakua milele Gaza.

Uwezo wa kuinyakua Gaza umekwenda bila uzito mkubwa kutokana na kuwahadaa majirani na ndugu wote wa Palestina na wamekaa kimya katika muda muda wa kutoa msaada kwa wenzao hao.

Mara baada ya kuanza kwa mashambulizi ya ardhini ndani ya mji mkuu wa Gaza, Jeshi la IDF liliwataka wapalestina wanaoishi eneo hilo kuelekea kusini. Ni ukatili sana hata kufikiria watu milioni 2.3 ambao tayari walikuwa wanaishi eneo dogo sana halafu kuwataka wakaishi pamoja kwenye nusu ya eneo walipokuwa awali.

Pamoja na hilo sambamba na kuuliwa wa kaskazini wale waliotii amri kuelekea kusini nao wamekuwa wakiuliwa njiani. Zaidi ya hivyo Jeshi la Israel limesema wakimaliza kaskazini ya Gaza itakuwa ni zamu ya kusini.
Kabla ya kumaliza huko kaskazini kumekuwa na mashambulizi mengi maeneo ya kusini ambako wapalestina wamekuwa wakifa kiwango cha chini kidogo kuliko kaskazini.

Itakapokuja zamu ya kusini watatakiwa waende wapi tena na idadi gani wataendelea kuuliwa kabla Israel kusimamisha mauwaji hao.

Kwa mtazamo wa haraka mzunguko huo wa mauaji kusini na kaskazini ya Gaza. Mashariki na magharibi ya Jerusalem hautakoma mpaka ardhi zote za wapalestina zitakapokuwa zimenyakuliwa. Bila msaada wa nguvu za kijeshi wapalestina peke yao hawataweza na hawana nguvu za kujitetea.

Watetezi wakubwa wa Palestina katika kipindi kigumu wangekuwa ni wale ndugu zao walio nje ya Palestina na ambao wamekosa huruma na umoja wa kuwaokoa. Tatizo halisi la kukosekana nguvu hizo wala sio wananchi wa nchi hizo bali ni Serikali zinazotawala ambazo zimeingia mikataba ya hadaa na Israel na hatimae kuamua kukaa kimya au kutoa matamko mepesi na yasiyokuwa na athari kwa uonevu uanaoendelea.

Nchi tatu miongoni mwa nyingi ambazo zimeonekana kusaidia maangamizi hayo ya Palestina na kushindwa kututea masjid Aqswa ambao utakatifu wake uko kwenye Qur'an ni Saudi Arabia, Misri na Jordan.

Hivyo ukombozi halisi wa Palestina utapatikana kwa kuondoka madarakani kwa Serikali za nchi hizo tatu.

Tutaongea maneno mengi Sana. Hivi hao Hamas wasingevamia Israel nini kingetokea?. Watu walikuwa wananaishi kwa amani, bila kusumbuana. Tungeanzia hapo, sio kulaumu.
 
Vita vya kuuwana watu wa Sudan havikuanza mpaka pale wazee wa fitna walipoingia Sudan.Pale kibaraka wao Hamdouk alipoingia madarakani halafu akafanya mkataba wa kurudisha uhusiano na Israel.

Yani Sudan ni aibu. Waislamu waarabu wanawaua waislamu weusi. Aisee ni shida.
 
propaganda ambazo hazifanyi kazi tena.Zilifanya kazi enzi zile za kuigawa Sudan.Iko siku wataunganisha tena nchi yao.
 
Walahi nakuapia, hakuna wa kumtoa Israel eneo lile la mashariki ya Kati, Tena wakiungana na kushambulia Israel vita haitachikua muda mrefu ni mwezi mmoja nchi za Kiarabu zitakuwa haziwezi kurusha ndege, usicheze na air force ya Israel hawa ni hatari, nchi Gani ya kiarabu inaweza kuzuia air force ya Israel? Usalama wa wapalestina siyo kushambulia Israel, Bali niv kukubaliana waishi kwa aman pamoja, Kwa DAI la warabu eti Israel aachie ardhi na kuondoke hapo wanajichimbia kaburi lao wenyewe, watateketea na hicho kitu hakitawezekana, kama Syria imeshindwa kurejesha milima ya Golan kweli warabu mtaweza kumuondoa myahudi pale mashariki ya kati?
Ahueni aliyonayo Israeli ni kupitia kwa marekani tu ,na sera zao za kuwafanya wawe wategemezi na kuwekeza kwenye jeshi ,siku ba wao wakiamka na kuwekza kwenye jeshi hakutakuwa salama hata kidogo

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Kila jambo lina ukomo wake.Nguvu kubwa ya Israel imedumu mpaka mwaka huu 2023.Kuanzia sasa ni kudidimia tu.
unayo taarifa kuwa Israel inataka inunue Iron dome zake 2 ilizoziuza kwa US kutoka na mahitaji kuongezeka.Huyo ni Hamas tu asiyekuwa na ndege wala silaha za kutosha.Itakuwaje kama hao majirani watatu kila mmoja atarusha jiwe lake.
Na sasa waarabu inabidi waanze kuwekeza kwenye jeshi ,marekani amewapumbaza na kuwaaambia eti watapata kila kitu ,ili wawe tegemezi

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
we
Kabla vita havijamalizika Israel imeshaweka tayari baadhi ya mipango yake ya siri dhidi ya ardhi za wapalestina, kwamba wanakusudia kuinyakua milele Gaza.

Uwezo wa kuinyakua Gaza umekwenda bila uzito mkubwa kutokana na kuwahadaa majirani na ndugu wote wa Palestina na wamekaa kimya katika muda muda wa kutoa msaada kwa wenzao hao.

Mara baada ya kuanza kwa mashambulizi ya ardhini ndani ya mji mkuu wa Gaza, Jeshi la IDF liliwataka wapalestina wanaoishi eneo hilo kuelekea kusini. Ni ukatili sana hata kufikiria watu milioni 2.3 ambao tayari walikuwa wanaishi eneo dogo sana halafu kuwataka wakaishi pamoja kwenye nusu ya eneo walipokuwa awali.

Pamoja na hilo sambamba na kuuliwa wa kaskazini wale waliotii amri kuelekea kusini nao wamekuwa wakiuliwa njiani. Zaidi ya hivyo Jeshi la Israel limesema wakimaliza kaskazini ya Gaza itakuwa ni zamu ya kusini.
Kabla ya kumaliza huko kaskazini kumekuwa na mashambulizi mengi maeneo ya kusini ambako wapalestina wamekuwa wakifa kiwango cha chini kidogo kuliko kaskazini.

Itakapokuja zamu ya kusini watatakiwa waende wapi tena na idadi gani wataendelea kuuliwa kabla Israel kusimamisha mauwaji hao.

Kwa mtazamo wa haraka mzunguko huo wa mauaji kusini na kaskazini ya Gaza. Mashariki na magharibi ya Jerusalem hautakoma mpaka ardhi zote za wapalestina zitakapokuwa zimenyakuliwa. Bila msaada wa nguvu za kijeshi wapalestina peke yao hawataweza na hawana nguvu za kujitetea.

Watetezi wakubwa wa Palestina katika kipindi kigumu wangekuwa ni wale ndugu zao walio nje ya Palestina na ambao wamekosa huruma na umoja wa kuwaokoa. Tatizo halisi la kukosekana nguvu hizo wala sio wananchi wa nchi hizo bali ni Serikali zinazotawala ambazo zimeingia mikataba ya hadaa na Israel na hatimae kuamua kukaa kimya au kutoa matamko mepesi na yasiyokuwa na athari kwa uonevu uanaoendelea.

Nchi tatu miongoni mwa nyingi ambazo zimeonekana kusaidia maangamizi hayo ya Palestina na kushindwa kututea masjid Aqswa ambao utakatifu wake uko kwenye Qur'an ni Saudi Arabia, Misri na Jordan.

Hivyo ukombozi halisi wa Palestina utapatikana kwa kuondoka madarakani kwa Serikali za nchi hizo tatu.
kilichobaki ni kuvua tu nguo
 
walichokoza nyuki wenyewe sasa wanakula asali yao wewe inakuuma nini tulia acha wapakwe asali!
 
Kila jambo lina ukomo wake.Nguvu kubwa ya Israel imedumu mpaka mwaka huu 2023.Kuanzia sasa ni kudidimia tu.
unayo taarifa kuwa Israel inataka inunue Iron dome zake 2 ilizoziuza kwa US kutoka na mahitaji kuongezeka.Huyo ni Hamas tu asiyekuwa na ndege wala silaha za kutosha.Itakuwaje kama hao majirani watatu kila mmoja atarusha jiwe lake.
Habari hizi huwa unazipataga wapi?
 
Fitna tunazosema ni hizo.Zimefanyika kabla na baada ya Hamdouk.
Omar Albashir na baraza lake lote la mawaziri karibu wote ni watu weusi na waafrika.Hilo neno waarabu kwa weusi sijui lilitokea wapi kwengine isipokuwa kwa wazee wa fitna.
Wewe kweli unawafahamu waarabu wa Sudan? Omar Elbashir alikuwa muafrika? Au ulitarajia alingane na MBS wa Saudi Arabia? Unafikiri “weusi/dark complexion” kule Sudan ndio uafrika? Si ajabu ukadai hata huyo Dagalo (Hemedti) wa RSF naye SI Muarabu.

Kufikiria nchi za magharibi ndizo zilizowapandikizia fitna ya “ukuu wa damu ya kiarabu” dhidi ya Wasudani weusi ni uongo mkubwa. It’s an internal problem in need of internal solutions.
 
Kabla vita havijamalizika Israel imeshaweka tayari baadhi ya mipango yake ya siri dhidi ya ardhi za wapalestina, kwamba wanakusudia kuinyakua milele Gaza.

Uwezo wa kuinyakua Gaza umekwenda bila uzito mkubwa kutokana na kuwahadaa majirani na ndugu wote wa Palestina na wamekaa kimya katika muda muda wa kutoa msaada kwa wenzao hao.

Mara baada ya kuanza kwa mashambulizi ya ardhini ndani ya mji mkuu wa Gaza, Jeshi la IDF liliwataka wapalestina wanaoishi eneo hilo kuelekea kusini. Ni ukatili sana hata kufikiria watu milioni 2.3 ambao tayari walikuwa wanaishi eneo dogo sana halafu kuwataka wakaishi pamoja kwenye nusu ya eneo walipokuwa awali.

Pamoja na hilo sambamba na kuuliwa wa kaskazini wale waliotii amri kuelekea kusini nao wamekuwa wakiuliwa njiani. Zaidi ya hivyo Jeshi la Israel limesema wakimaliza kaskazini ya Gaza itakuwa ni zamu ya kusini.
Kabla ya kumaliza huko kaskazini kumekuwa na mashambulizi mengi maeneo ya kusini ambako wapalestina wamekuwa wakifa kiwango cha chini kidogo kuliko kaskazini.

Itakapokuja zamu ya kusini watatakiwa waende wapi tena na idadi gani wataendelea kuuliwa kabla Israel kusimamisha mauwaji hao.

Kwa mtazamo wa haraka mzunguko huo wa mauaji kusini na kaskazini ya Gaza. Mashariki na magharibi ya Jerusalem hautakoma mpaka ardhi zote za wapalestina zitakapokuwa zimenyakuliwa. Bila msaada wa nguvu za kijeshi wapalestina peke yao hawataweza na hawana nguvu za kujitetea.

Watetezi wakubwa wa Palestina katika kipindi kigumu wangekuwa ni wale ndugu zao walio nje ya Palestina na ambao wamekosa huruma na umoja wa kuwaokoa. Tatizo halisi la kukosekana nguvu hizo wala sio wananchi wa nchi hizo bali ni Serikali zinazotawala ambazo zimeingia mikataba ya hadaa na Israel na hatimae kuamua kukaa kimya au kutoa matamko mepesi na yasiyokuwa na athari kwa uonevu uanaoendelea.

Nchi tatu miongoni mwa nyingi ambazo zimeonekana kusaidia maangamizi hayo ya Palestina na kushindwa kututea masjid Aqswa ambao utakatifu wake uko kwenye Qur'an ni Saudi Arabia, Misri na Jordan.

Hivyo ukombozi halisi wa Palestina utapatikana kwa kuondoka madarakani kwa Serikali za nchi hizo tatu.
Pole sana ustaadh....hii vita imekupa msongo mkubwa sana wa mawazo maana unayoyatamani yatokee hayatokei anyway kesho maandamano ya kupinga mayahudi yapo?
 
Kama kawaida yenu wanaharakati kuchochea fitna na uharibifu zaidi katika nchi za kiislam huku nyinyi mkiwa mmekaa kwenye makochi yenu. Na baadhi ya wakubwa zenu wakiwa nchi za magharibi wakichochea vurugu na mapinduzi katika nchi za kiislam bila ya kujali umwagikaji wa damu na uharibifu utakaotokea huku wao wakiwa wametulia tu kwenye makochi yao.

Masjid Al Aqsa itakombolewa na Waislam, sio lazima wawe waarabu Salahuddin alikuwa ni Mkurdi na jeshi lake lilikuwa waislam waarabu na wasio waarabu, waliosimama sawa, wanaofuata Qur'an na Sunnah juu ya ufahamu wa wema waliotangulia. Sio mashia, wala ma ikhwaan wala mahizbu tahrir wala khawaarij kwa ujumla wao wala wanaopigania uarabu.

Cha msingi ni kuwaombea ndugu zetu Allah awanusuru na kuwapelekea misaada ya kibinaadamu kama chakula na matibabu kwa wenye uwezo na sisi tufuate njia ya wema waliotangulia na kurekebisha itikadi zetu ziwe sahihi na tushikamane na Tawhid na Sunnah na kuachana na Shirki na Bidaa. Soma Qur'an 24:55.

Huwa hatuangalii vyanzo vya matatizo yetu tunatafuta tu wa kuwalaumu na kuwashushia lawama. Haya yanatukuta kwa sababu ya kupuuzia dini yetu. Tulikuwa tuna nguvu kwa sababu ya kushikamana na dini yetu, kisha tukapata udhaifu baada ya kupuuza dini.

Hao mayahudi wenyewe miongoni mwao wanajua hili. Kuwa watakaowatoa pale ni waislam waliosimama sawa sawa. Na wanaogopa sana Waislam kushikamana na dini yao kiukweli hasa. Wala hawawaogopi wanaharakati wenye jazba za kijinga, bali huenda wanafurahi hasa mnapohamasisha kuzichoma moto nchi za kiislam na kuzitia kwenye machafuko ya kisiasa, ili kuzirudisha nyuma zaidi.

Hivyo, suluhisho ni tubadilike, ili tubadilishiwe hali yetu, soma Qur'an 13:11.

Maandamano ambayo nayo yana maovu mengi, jazba jazba hazisaidii bali huenda zikazidisha matatizo, Allah atunusuru.

Acheni kuendekeza jazba. Hamuoni yaliyotokea kwenye mapinduzi ya miaka ya karibuni katika nchi za kiislam? Hayakuongeza ila uharibifu na hayakupunguza ila zile kheri zilizokuwepo na amani.

Hamfikirii nyinyi wanaharakati?
 
Wewe kweli unawafahamu waarabu wa Sudan? Omar Elbashir alikuwa muafrika? Au ulitarajia alingane na MBS wa Saudi Arabia? Unafikiri “weusi/dark complexion” kule Sudan ndio uafrika? Si ajabu ukadai hata huyo Dagalo (Hemedti) wa RSF naye SI Muarabu.

Kufikiria nchi za magharibi ndizo zilizowapandikizia fitna ya “ukuu wa damu ya kiarabu” dhidi ya Wasudani weusi ni uongo mkubwa. It’s an internal problem in need of internal solutions.
Umejaribuj kukanusha halafu umekuja pale pale.Kama ni rangi Albashir na wenzake ni weusi.Fikra ya uarabu kama alikuwa nayo ni moyoni kwake.
Ndipo hapo mwisho ukasema wasudan weusi.Na Albashiri pia ni msudan mweusi.
Fitna zenu tu hizo mnapotaka kufanikisha mipango yenu.Hata waethiopia weusi pia mumewaita ni wayahudi.Wakipigana mitaa ya Telaviv ni waafrika ovyo warudishwe kwao.
 
Kabla vita havijamalizika Israel imeshaweka tayari baadhi ya mipango yake ya siri dhidi ya ardhi za wapalestina, kwamba wanakusudia kuinyakua milele Gaza.

Uwezo wa kuinyakua Gaza umekwenda bila uzito mkubwa kutokana na kuwahadaa majirani na ndugu wote wa Palestina na wamekaa kimya katika muda muda wa kutoa msaada kwa wenzao hao.

Mara baada ya kuanza kwa mashambulizi ya ardhini ndani ya mji mkuu wa Gaza, Jeshi la IDF liliwataka wapalestina wanaoishi eneo hilo kuelekea kusini. Ni ukatili sana hata kufikiria watu milioni 2.3 ambao tayari walikuwa wanaishi eneo dogo sana halafu kuwataka wakaishi pamoja kwenye nusu ya eneo walipokuwa awali.

Pamoja na hilo sambamba na kuuliwa wa kaskazini wale waliotii amri kuelekea kusini nao wamekuwa wakiuliwa njiani. Zaidi ya hivyo Jeshi la Israel limesema wakimaliza kaskazini ya Gaza itakuwa ni zamu ya kusini.
Kabla ya kumaliza huko kaskazini kumekuwa na mashambulizi mengi maeneo ya kusini ambako wapalestina wamekuwa wakifa kiwango cha chini kidogo kuliko kaskazini.

Itakapokuja zamu ya kusini watatakiwa waende wapi tena na idadi gani wataendelea kuuliwa kabla Israel kusimamisha mauwaji hao.

Kwa mtazamo wa haraka mzunguko huo wa mauaji kusini na kaskazini ya Gaza. Mashariki na magharibi ya Jerusalem hautakoma mpaka ardhi zote za wapalestina zitakapokuwa zimenyakuliwa. Bila msaada wa nguvu za kijeshi wapalestina peke yao hawataweza na hawana nguvu za kujitetea.

Watetezi wakubwa wa Palestina katika kipindi kigumu wangekuwa ni wale ndugu zao walio nje ya Palestina na ambao wamekosa huruma na umoja wa kuwaokoa. Tatizo halisi la kukosekana nguvu hizo wala sio wananchi wa nchi hizo bali ni Serikali zinazotawala ambazo zimeingia mikataba ya hadaa na Israel na hatimae kuamua kukaa kimya au kutoa matamko mepesi na yasiyokuwa na athari kwa uonevu uanaoendelea.

Nchi tatu miongoni mwa nyingi ambazo zimeonekana kusaidia maangamizi hayo ya Palestina na kushindwa kututea masjid Aqswa ambao utakatifu wake uko kwenye Qur'an ni Saudi Arabia, Misri na Jordan.

Hivyo ukombozi halisi wa Palestina utapatikana kwa kuondoka madarakani kwa Serikali za nchi hizo tatu.
mkifanya hivyo itakuwa sahihi ili mkose nguvu kabisa baada ya kuvurugana.
 
Kujiingiza kwenye vita sio jambo rahisi kama unavyofikiri. Vita ni maangamizi, vita ni hasara, vita vinaua uchumi.

Sio rahisi kiivyo
 
Back
Top Bottom