Two states haitawezekana, Hakuna waziri mkuu wa Israel atakayekubali hicho kitu, two states ni jema, nani atamiliki Jerusalem, Nazareth, Bethlehem? Huko USA atakuja rais ambaye haitakubaliana na sera za Israel na ataungwa mkono na bunge tena rais huyo wa USA atakuwa mwenye asili ya kiyahudi, ataungana na adui za Israel kupinga sera za Israel kitakachofuata ni vita vikali sana kati ya Israel na majirani zake, ni suala la muda tu