Uhusiano Huu na Huyu Mshikaji Unanipa Mshangao Mkubwa Sana

Huwa ananipa kuongea nao adi number alinipa wawili haikuchukua round mmoja akaanza kulalamika dogo ana mcheat na videmu vingine πŸ™Œ
Basi usimchunguze vibaya amekuchukulia km brother tu ila ukileta habari za kumuona yeye km namna gani hapo utazingua wewe nenda nae hivyo hivyo km mdogo wa tumbo moja tu
 

Ni ngumu kujua ila sinaga ndugu wa kike karibu yangu

Ila dogo hujaribu kuunganisha familia yangu na yake Sana

Nyuma Uko dada angu now marehemu dogo alianza mshawishi bro wake amueoe nilibaki nashangaa tu
 
Hamna kabisa ana mademu kibao Huwa ananitambulisha
Hii kitu imeshawahi kunitokea na mara nyingi madogo kama hawa huwaga wa kishua na wala hakuwa shoga na alikuwa anapenda mademu balaa.Story iko hivi ,nilivyomaliza form six nilipata kibarua cha kufundisha QT.Sasa hapo nilipokuwa nafundisha wakaja wanafunzi wawili mtu na dada ake (Ndio hao ninao wazungumzia).Kwa sababu nilikuwa bado nipo Yank na yule dogo nae alikuwa Yank tulitokea kuelewana ,alikuwa anapenda sana kuniita Teacher.Sasa siku moja tumemaliza vipindi dogo akanifuata ,akasema teacher leo nataka nikutoe lunch.Nikasema poa tukaenda kula ,sasa wakati tunaendelea kula dogo akaanza story ,ujue teacher mi nakuelewa sana ,natamani uwe shemeji yangu kwa sister..na sister ake alikuwa kisu sio poa ,nikasema hii bahati gani hii lakini nikawa nina wasi wasi je sister wake atanikubali kweli mbona kisu sana.Nikamwambia dogo uko serious,akasema kweli teacher sikutanii,nikamuuliza je yeye mwenyewe atakubali ..akasema hilo niachie mimi.Kweli bwana dogo akafanya mambo tukawa wapenzi,na dogo alikuwa anafurahia sana uhusiano wetu.Bahati mbaya nilikuja kupotezana nao baada kama ya miaka miwili hivi maana baba yao aliwapeleka Nairobi kusoma. Toka siku hiyo nikaamini kumbe duniani kuna watu wana mioyo ya ajabu kama hii sikuwahi kuona.Kwa hiyo kisa cha jamaa inawezekana ni kweli kabisa.
 
Basi usimchunguze vibaya amekuchukulia km brother tu ila ukileta habari za kumuona yeye km namna gani hapo utazingua wewe nenda nae hivyo hivyo km mdogo wa tumbo moja tu
Kwakweli naenda nae ivyo ivyo nazani Huwa free kuongea maswala yake kwangu
 
Kuna watu Wana roho ya kipekee juzi kaja kanipigia simu niende tumepoa nae yaani watu wanatushangaa kula monde tu
 
Ni ngumu kujua ila sinaga ndugu wa kike karibu yangu

Ila dogo hujaribu kuunganisha familia yangu na yake Sana

Nyuma Uko dada angu now marehemu dogo alianza mshawishi bro wake amueoe nilibaki nashangaa tu
Aisee tunazidi kupata chimbuko zaidi hapa

Lakini naona huenda imetokea tu mmeendana na dogo sana na huenda ameipenda familia yenu mpaka akataka hata dada yako aolewe na bro wake

Usihofu legend damu zenu zimeendana
 
Kwakweli naenda nae ivyo ivyo nazani Huwa free kuongea maswala yake kwangu
Ndio hivyo wewe ni mtu ambae amekuamini kwamba anaweza kuzungumza na wewe bila kumletea masuala negative in short ni km upande wake wa pili wa betri nna hakika km kuna changamoto anapitia hua anakushirikisha ili kuona una mawazo gani jichukulie km mentor wake tu unaempa mwelekeo hapa fanya hivi pale fanya vile nothing more wala usianze kumuwazia tofauti
 
Unatolewa out na unatoka
 
Shituka πŸ³οΈβ€πŸŒˆπŸ³οΈβ€πŸŒˆπŸ³οΈβ€πŸŒˆ
 
Rafiki wa kweli anatakiwa kumalizana na rafiki yake wakiwa wawili na sio kushirikisha mtu wa 3. Kama kuna vitu dogo anavifanya havikuridhishi mchane tu mwambie hizo mbanga huzifagilii. Kama ni mimi ningemchana kuhusu kupiga simu hovyo kila mara za kusalimia na hivyo vizawadi. Wanaume kugandana haifai. Simu inatakiwa mara mojamoja. Awe anatuma tu msg watsapp.
 
Siamini kama Kuna mcheza Mpira beki katili alafu shoga na mvuta Bangi alafu shoga

Sjui tu Huwa ananichukuliaje alafu kwao wote tu Huwa Wananipenda ila yeye amezidi
Basi wewe utakua shoga afu hujujui. Chief Godlove anaita jicho la 3
 
Kuna watu Wana roho ya kipekee juzi kaja kanipigia simu niende tumepoa nae yaani watu wanatushangaa kula monde tu
Sana yani..au wakati mwingine damu tu zinakuwa zinaendana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…