Uhusiano Huu na Huyu Mshikaji Unanipa Mshangao Mkubwa Sana

Bira shaka dogo ni wakishua, na ni mtoto wa kiume pekeake nyumbani kwao, bas huenda anatamani kuwa na bond nzuri na wewe kama mwanaume mwenzake, lakn wewe unaanza kumhisi vibaya
Umeandika fikra zangu kabisa
Huyu dogo inaonekana ameishi maisha ya kujitenga Sasa alivyotokea huyu dogo mwenzie Kuna potentials fulani aliziona ndo maana akawa amemkubali mshikaji kwa hiyo ni kawaida hai watu hutokea kwenye maisha chini ya mara 2 tu
Anaweza kuwa wa ndani ya familia au mke/mume au mtu baki anayekujali sana Sasa wewe ukijiona ni WA maana sana umzingue ndo unapaoteza hiyo bahati ya mtu wa hivyo mazima
Kila mtu na mtuwe na pia kila shetani na mbuyu wake hizi methali zina uzoefu wa maisha
 
Wacha kupeleka mawazo mbali na acha kuwaza negative dogo amekuelewa na amekupenda km bro km rafiki so enjoy maisha cha msingi ww ni mkubwa kwake bas mpe ushauri wa kiutu uzima na umfundishe kujua Mema na mabaya km bro km rafiki yake
 
Wacha kupeleka mawazo mbali na acha kuwaza negative dogo amekuelewa na amekupenda km bro km rafiki so enjoy maisha cha msingi ww ni mkubwa kwake bas mpe ushauri wa kiutu uzima na umfundishe kujua Mema na mabaya km bro km rafiki yake
Namuelekezaga na Huwa ana nielewa
 
Hakika kabisa uyu ni wa pili wa kwanza tulishaga unganisha familia ikawa undugu kabisa nae ni mshikaji
 
Japo kwa ujanja, ila mimi naona uko wazi kabisa, unahamasisha LBTQ. Mashaka yangu usije ukawa mmojawao.
 
Nyie wote mna shida.


Wanaume mnaleteana hadi zawadi. Hamuogi wote kweli nyie?
 
Hamna kabisa ana mademu kibao Huwa ananitambulisha
Nani kakwambia mabwabwa hamuwezi kuwa kimahusiano na wanawame wengine?

Unaweza kuwa na mademu na stll ukapakuliwa vile vile.
 
Kama mtu hana marafiki wengi, sio mtu wa kutoka sana lakini pia ana moyo mzuri. Siku zote hutengeneza bond kali sana na watu anaowapenda kwa sababu anakuwa real sana

Kipindi cha High school nilimpokea dogo wa form 5 ambaye baadae alikuwa kama mdogo wangu na tulivyofananana kutokana na kuwa na asili moja, watu hawakubisha hata nilipowadanganya kuwa tumeshea damu

Kwa ufupi jamaa ni loyal sana na hata nikiwa na shida hajawahi nitupa. Kwa hiyo hata kama nina marafiki wengine na ninaowachukulia kwa uzito kuliko yeye. Lakini nikihitaji mtu wa kumuamini kwa jambo lolote, yupo katika top 3 yangu daima

Ni sawa kuwa na mashaka lakini kama hajawahi kukuoneshea dalili zote mbaya. Usimshuku kwa sababu niamini, siku akijua na akikubadilikia utaimiss hiyo bond yake kwa sababu dunia ya sasa hakuna urafiki zaidi ya watu kuwa karibu yako kwa manufaa yao wenyewe. Kwa hiyo ukipata mtu anaekujali wewe kama binadamu pasipo kutaraji chochote toka kwako. Mshikilie na usimuumize maana upendo mkubwa siku zote hugeuka kuwa chuki kubwa. All the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…