Uhusiano kati ya Uislamu na kufuga ndevu nyingi

Ngedere mkuu
 
Kweli Nyani haoni kundu lake.
Mbona hao jamaa wamefuga ndevu kwani na wao ni waislamu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijamuona kiongoz wa kiroho wa kikristu akiiga UYESU,even huyo mzungu aloigiza as yesu
 
Sawa .kaka ..kaa na mungu wako nami na mungu wangu .
 
Kwa maoni yangu, ndevu hazina uhusiano na imani ya dini, ila Waislamu wanafuata utamaduni wa kiarabu. Kuvaa kiffuga ndevu, lugha na kila kitu. Kuna michanganyo tu. (I'm standing to be corrected)

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Zile suluari fupi nazo ni utamaduni wa Waarabu ?
 
Unaota uko msitu wa kibiti eeh unakula pilau makinikia eeh [emoji47] [emoji4]


Wewe unaota uko sauna ya Roma unanyolewa nywele zote ???

Huyo uliyemfanya mungu wako mdogo wake James amechukua kifaa hiki



Jesus of Nazareth..and his lovely wife


 
Siwashangai kuongea pumba kwakuwa ccm iliwanyimeni elimu hili ndilo Tatizo la wajinga je hata kutembea hamtembei?labda niwafahamisheni kitu kwa ufupi tu tokeni kwenye mashimo yenu Tanzania nendeni kwa majerani zenu south Africa nauli All most laki tatu na ushee kwa ndege fast jet na bus kama 170000 kupitia zimbabwe so tembeeni maana nikiwaambia fikeni mbele huku hamtoweza poor man
 
Wayaudi na waarab kufuga ndevu kwao hakutokani na dini, wao toka kitambo ndivyo walivyo yaani hawanyoi makusudi kutokana na mila zao. Hawa wa kwetu (waafrika) ni watu wasiojitambua, wanaiga hata vitu visivyo na kichwa wala miguu kisa kimetoka Uarabuni. Ukiwasomesha wanakasirika na kuvaa mabomu kujiua wao wenyewe pamoja na wngine wasio na hatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…