edwin george
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 1,218
- 981
Tafsiri ya sunah ni niniKufuga ndevu kwa Muislam ni Sunnah!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafsiri ya sunah ni niniKufuga ndevu kwa Muislam ni Sunnah!
Usiogope mkuu....Idd njemaMkuu si kila king'aacho ni dhahabu
Niliposema kuwa ni Sunnah usingeniletea mfano wa wahuni kama hao kuniquote, ambao wao wana tamaduni zao au mila zao hapa duniani
Nguvu ya nyaniJe nywele za huyu zinaongeza nguvu za nini...?
View attachment 530366
Nimeshajibu post namba 14 uwe na utaratibu wa kupitia kwanza mwanzo kisha Ucomment.Tafsiri ya sunah ni nini
Usisahau kanzu ni vazi linalofaa zaidi maeneo yenye joto kali kama huko mashariki ya kati.. Halina uhusiano na imaniSasa hebu tuangalie Nabii Isa ambaye wakristo wamemchukua kuwa mungu. Tuangalie mavazi yake na mwenyewe kuhusu ndevu.
Kwa kifupi hata wakristo kitabu Chao kinase ma kuhusu kufunga ndevu. Na kina wafiki. Muhimu soma. Kuvaa kanzu pia Nabii issa (yesu) amevaa..
Na lazima.unuwe tofauti kati ya ndevu za waislam na mayahudi na singa singa .muislam hafugi sharubu na ndevu zake hasizibi mdomo. .wayahudi wanafuga ndevu na sharubu. Singa singa ndevu na sharubu.
Kuhusu viatu sioni u baya wake ila naona faida yake kubwa kuvaa viatu vilivyo wazi .
Uzuri wa Waislam wanafuata mwenendo wa mtume wetu mpenzi .na ilikuwa rahisi kwani maisha yake yote yalikuwa kitabu kilicho funguliwa A (open book)
Hakuna mtume yoyote mwengine alokuwa na record ya maisha yake .
In short waislam waumini wanafuata mwenendo wa mtume. Waislam wa jina tu wanafuata yao na ya wazungu .wakristo wanafuata paulo si yesu ..wayahudi kwa kiasi wanafuata ya musa lakini kw a kiasi kidogo sana .
katika uislamu tumeamrishwa kufuga ndevu na kupunguza masharubu hivyo alivyofanya huyo jamaa ni kinyume na uislamukuna mambo yanahitaje moyo sana....just imagine .
Hivi mtu kama huyu anakula vipi..?
anapigaje mswaki...?
anakulaje denda kwa mfano...?
ana pigaje mwayo (yawning) ..?
ana nawaje mdomo kwa mfano..?
View attachment 530349
Hujajibu swaliharuni mwenyewe katk biblia alikua na ndevu
View attachment 530357 soma zaidi
What Does the Bible Say About Beard?
Jiulize yesu alivaa BUTI.Salam kwenu wakuu, kwa wale wenzetu waislam naona sikukuu yenu iko safi kabisa huku familia zikiendelea kujumuika vyema na maakuli ya hapa na pale.
Kuna hivi vitu vitatu kuhusu waislam (hasa wanaume):-
1. Kufuga ndevu nyingi
2. Kuvaa makobazi au sandals au open shoes (zilizo-over size)
3. Kuvaa kanzu
Nini uhusiano wa dini ya kiislam na hivyo vitu vitatu hapo juu?
Ukiwa muislam ni lazima ufuge ndevu kama Osama Bin Laden?
Ukiwa muisalm ni lazima kuvaa sandals au open shoes au makobazi muda wote?View attachment 530339View attachment 530340View attachment 530341View attachment 530343View attachment 530345
Yesu uli muona wapi Mkuu?Sasa hebu tuangalie Nabii Isa ambaye wakristo wamemchukua kuwa mungu. Tuangalie mavazi yake na mwenyewe kuhusu ndevu.
Kwa kifupi hata wakristo kitabu Chao kinase ma kuhusu kufunga ndevu. Na kina wafiki. Muhimu soma. Kuvaa kanzu pia Nabii issa (yesu) amevaa..
Na lazima.unuwe tofauti kati ya ndevu za waislam na mayahudi na singa singa .muislam hafugi sharubu na ndevu zake hasizibi mdomo. .wayahudi wanafuga ndevu na sharubu. Singa singa ndevu na sharubu.
Kuhusu viatu sioni u baya wake ila naona faida yake kubwa kuvaa viatu vilivyo wazi .
Uzuri wa Waislam wanafuata mwenendo wa mtume wetu mpenzi .na ilikuwa rahisi kwani maisha yake yote yalikuwa kitabu kilicho funguliwa A (open book)
Hakuna mtume yoyote mwengine alokuwa na record ya maisha yake .
In short waislam waumini wanafuata mwenendo wa mtume. Waislam wa jina tu wanafuata yao na ya wazungu .wakristo wanafuata paulo si yesu ..wayahudi kwa kiasi wanafuata ya musa lakini kw a kiasi kidogo sana .
Mtume alioa wanawake kumi na tatu na katoto kadogo ikiwa pamoja na kuolewa na bibi khadija kwahiyo nawe ukifanya hivyo ndo sunah siyo?
kidambinya hilo ndio jibuKwa maoni yangu, ndevu hazina uhusiano na imani ya dini, ila Waislamu wanafuata utamaduni wa kiarabu. Kuvaa kiffuga ndevu, lugha na kila kitu. Kuna michanganyo tu. (I'm standing to be corrected)
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
kuna mambo yanahitaje moyo sana....just imagine .
Hivi mtu kama huyu anakula vipi..?
anapigaje mswaki...?
anakulaje denda kwa mfano...?
ana pigaje mwayo (yawning) ..?
ana nawaje mdomo kwa mfano..?
View attachment 530349
Miaka ya 1998 - 2002 pale Njombe sec kulikuwa na mwalm wa hesabu alikuwa na ndevu huyo haoni ndan lakin yeye kichwan ni ubara siku zotekuna mambo yanahitaje moyo sana....just imagine .
Hivi mtu kama huyu anakula vipi..?
anapigaje mswaki...?
anakulaje denda kwa mfano...?
ana pigaje mwayo (yawning) ..?
ana nawaje mdomo kwa mfano..?
View attachment 530349