Uhusiano kati ya Uislamu na kufuga ndevu nyingi

Uhusiano kati ya Uislamu na kufuga ndevu nyingi

Mkuu si kila king'aacho ni dhahabu

Niliposema kuwa ni Sunnah usingeniletea mfano wa wahuni kama hao kuniquote, ambao wao wana tamaduni zao au mila zao hapa duniani
Usiogope mkuu....Idd njema
 
IMG_3068.JPG
 
Katika vitu ambavyo huwa vinanishangaza ni kuona mtu asie na Dini akiparamia Mambo ya Dini Pasina kujua dini zinasemaje juu ya hayo Mambo anayoyaparamia kisa tu JF inatoa Uhuru wa Mtu kupost chochote kile Ajisikiacho

Kwa faida tu Swala la Ndevu ni Swala la kimaumbile na ni Amri kutoka kwa alie tuumba na hii ilikuwa Ni Mwenendo wa Mitume wote waliotangulia
Na vitabu vyote vinakiri hilo
Hata vile vya wenzetu wanaopinga bila ya kusoma vitabu vyao vinasemaje juu ya wanachokipinga

Mfano Mdogo ni huu

“Msikate pande yote ya nywele zenu ya vichwa, wala msikate pande ya ndevu zenu. (Biblia, Walawi 19:27)

Katika Biblia imetajwa katika maeneo mengi, kwamba manabii na waumini walikuwa na ndevu. Tazama kwa mfano Ezra 9:03, Mambo ya Walawi 21:05, Nehemia 13:26
 
Sasa hebu tuangalie Nabii Isa ambaye wakristo wamemchukua kuwa mungu. Tuangalie mavazi yake na mwenyewe kuhusu ndevu.
Kwa kifupi hata wakristo kitabu Chao kinase ma kuhusu kufunga ndevu. Na kina wafiki. Muhimu soma. Kuvaa kanzu pia Nabii issa (yesu) amevaa..
Na lazima.unuwe tofauti kati ya ndevu za waislam na mayahudi na singa singa .muislam hafugi sharubu na ndevu zake hasizibi mdomo. .wayahudi wanafuga ndevu na sharubu. Singa singa ndevu na sharubu.
Kuhusu viatu sioni u baya wake ila naona faida yake kubwa kuvaa viatu vilivyo wazi .
Uzuri wa Waislam wanafuata mwenendo wa mtume wetu mpenzi .na ilikuwa rahisi kwani maisha yake yote yalikuwa kitabu kilicho funguliwa A (open book)
Hakuna mtume yoyote mwengine alokuwa na record ya maisha yake .
In short waislam waumini wanafuata mwenendo wa mtume. Waislam wa jina tu wanafuata yao na ya wazungu .wakristo wanafuata paulo si yesu ..wayahudi kwa kiasi wanafuata ya musa lakini kw a kiasi kidogo sana .
 
Usisahau kanzu ni vazi linalofaa zaidi maeneo yenye joto kali kama huko mashariki ya kati.. Halina uhusiano na imani
 
kuna mambo yanahitaje moyo sana....just imagine .
Hivi mtu kama huyu anakula vipi..?
anapigaje mswaki...?
anakulaje denda kwa mfano...?
ana pigaje mwayo (yawning) ..?
ana nawaje mdomo kwa mfano..?

View attachment 530349
katika uislamu tumeamrishwa kufuga ndevu na kupunguza masharubu hivyo alivyofanya huyo jamaa ni kinyume na uislamu
 
Kwa maoni yangu, ndevu hazina uhusiano na imani ya dini, ila Waislamu wanafuata utamaduni wa kiarabu. Kuvaa kiffuga ndevu, lugha na kila kitu. Kuna michanganyo tu. (I'm standing to be corrected)

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Salam kwenu wakuu, kwa wale wenzetu waislam naona sikukuu yenu iko safi kabisa huku familia zikiendelea kujumuika vyema na maakuli ya hapa na pale.

Kuna hivi vitu vitatu kuhusu waislam (hasa wanaume):-

1. Kufuga ndevu nyingi

2. Kuvaa makobazi au sandals au open shoes (zilizo-over size)

3. Kuvaa kanzu

Nini uhusiano wa dini ya kiislam na hivyo vitu vitatu hapo juu?

Ukiwa muislam ni lazima ufuge ndevu kama Osama Bin Laden?

Ukiwa muisalm ni lazima kuvaa sandals au open shoes au makobazi muda wote?View attachment 530339View attachment 530340View attachment 530341View attachment 530343View attachment 530345
Jiulize yesu alivaa BUTI.
jiulize yesu alivaa SUTI
jiulize yesu alikuwa ANANYOA NDEVU?
 
Sasa hebu tuangalie Nabii Isa ambaye wakristo wamemchukua kuwa mungu. Tuangalie mavazi yake na mwenyewe kuhusu ndevu.
Kwa kifupi hata wakristo kitabu Chao kinase ma kuhusu kufunga ndevu. Na kina wafiki. Muhimu soma. Kuvaa kanzu pia Nabii issa (yesu) amevaa..
Na lazima.unuwe tofauti kati ya ndevu za waislam na mayahudi na singa singa .muislam hafugi sharubu na ndevu zake hasizibi mdomo. .wayahudi wanafuga ndevu na sharubu. Singa singa ndevu na sharubu.
Kuhusu viatu sioni u baya wake ila naona faida yake kubwa kuvaa viatu vilivyo wazi .
Uzuri wa Waislam wanafuata mwenendo wa mtume wetu mpenzi .na ilikuwa rahisi kwani maisha yake yote yalikuwa kitabu kilicho funguliwa A (open book)
Hakuna mtume yoyote mwengine alokuwa na record ya maisha yake .
In short waislam waumini wanafuata mwenendo wa mtume. Waislam wa jina tu wanafuata yao na ya wazungu .wakristo wanafuata paulo si yesu ..wayahudi kwa kiasi wanafuata ya musa lakini kw a kiasi kidogo sana .
Yesu uli muona wapi Mkuu?
 
Mtume alioa wanawake kumi na tatu na katoto kadogo ikiwa pamoja na kuolewa na bibi khadija kwahiyo nawe ukifanya hivyo ndo sunah siyo?

Japo kuwa hauna Ustaarabu lkn wacha nikujibu kwa faida ya Wengine

Jambo la kuoa wake wengi limetajwa ndani ya vitabu

Kuoa Wake Wengi Katika Uislamu. Hata Katika Biblia Kumetajwa Kuoa Wake Wengi

“Akichukua mke mwingine, basi asifanya upungufu wowote katika mlo wa zamani, mavazi au sheria za ndoa”. (Biblia, Kutoka 21:10)

“Kama mtu ana wake wawili, mmoja anayempenda na mwingine ambaye hamuoni ...” (Biblia, Kumbukumbu la Torati 21:15)

“Yeye alikuwa na wake wawili ...” (Biblia, Samuel 01:02)

“Kwa hiyo, Daudi alifika huko pamoja na wake zake wawili ...” (Biblia ya Samuel 02:02)

“Lakini wakati wa usiku aliamka na kuchukua wake wake wawili na watu wake wawili wahuduma na wanawe kumi na mmoja….” (Biblia, Mwanzo 32:22

Ila swala la kuoa mke mmoja tu maisha yote au mapadri kutokuoa na Ma sister kutokuolewa. Haya hayana Asili ktk vitabu vyote bali ni Mambo watu waliyatengeneza kwa Maslahi yao.
 
kuna mambo yanahitaje moyo sana....just imagine .
Hivi mtu kama huyu anakula vipi..?
anapigaje mswaki...?
anakulaje denda kwa mfano...?
ana pigaje mwayo (yawning) ..?
ana nawaje mdomo kwa mfano..?

View attachment 530349

Huyo kwenye picha ana makosa, amekhalifu sunnah.

Suna katika ndevu ni kuwa unaziachia ndefu wakati huohuo ukipunguza masharubu kabisa
 
Yesu kajaa tele kwenye quran na kwenye injil sio biblia. Na kwa aliye muona
 
kuna mambo yanahitaje moyo sana....just imagine .
Hivi mtu kama huyu anakula vipi..?
anapigaje mswaki...?
anakulaje denda kwa mfano...?
ana pigaje mwayo (yawning) ..?
ana nawaje mdomo kwa mfano..?

View attachment 530349
Miaka ya 1998 - 2002 pale Njombe sec kulikuwa na mwalm wa hesabu alikuwa na ndevu huyo haoni ndan lakin yeye kichwan ni ubara siku zote
 
Back
Top Bottom