Watu wanachukulia mzaha hawajua mission za hao jamaaNahisi hii ni pre-emptive strike, vyombo vya ulinzi na usalama vikae chonjo huenda kuna shambulio kubwa zaidi linapikwa.
Wewe ni K...huyo alikuwa Raia Mwema tu. Magaidi wako mahakamani kesi inaendelea.
sijakuelewa mkuu kwamba majeshi hata mipaka kulindwa yaache ? na umejuaje kuwa ana uhusiano nao na kuwa wamekasirika?Watalewa tu muda ni mwalimu mzuri sana.
Wanajeshi tuliopeleka mpakani, MAGAIDI yamekasirikia Serikali na yataua sana Dar na mikoani, acha walete siasa zao za kupambana na Mbowe.
Hao mashuhuda uliowasikia wamekudanganya, nadhani umemsikiliza Yule dada muuza tissue barabarani. Hebu fuatilia kuna clip kibao za Hilo tukio hakuna mahali amenyanyua mikono Kwa kuushiwa risasi.1. Jinsi lilivyotokea na jinsi polisi walivyoli - handle hata askari 3 na raia mmoja kupoteza maisha, HAKIKA INAFIRISHA SANA...
2. Kwa maelezo ya mashuhuda wa tukio hili, jambazi aliyeua askari aliishiwa risasi kisha akatoka alikojificha akirusha risasi, akapiga magoti peupe na kunyanyua mikono juu kama ishara ya kujisalimisha...
Cha ajabu, hata baada ya tendo hili la jambazi kujisalimisha, polisi àlimwendea na alipomfikia badala amtie pingu jambazi huyu kusaidia upelelezi, yeye alimmiminia risasi na kumuua hapo hapo. HAKIKA INAFIKIRISHA SANA...!!
3. Nina mashaka makubwa, kuwa kuna uwezekano tukio hili limekuwa planned na "watu ndani ya jeshi la polisi na government prosecution department" maalumu towards establishing new evidence kuongezea nguvu ya ushahidi wao dhidi ya kesi ya ugaidi wa Mbowe...
Nahisi kitu fulani hapa, kuwa, hawa polisi haraka haraka ktk upelelezi wanaosema wanaufanya, basi final report yao ya tukio inaweza kuwaacha watu midomo wazi...!!
Kwa ufupi, a new evidence is being prepared ili kuficha aibu ya baadhi ya watu serikalini. Swali ni hili, wataweza kupata wakitafutacho??
Kaeni mkao wa kula...
1. Jinsi lilivyotokea na jinsi polisi walivyoli - handle hata askari 3 na raia mmoja kupoteza maisha, HAKIKA INAFIRISHA SANA...
2. Kwa maelezo ya mashuhuda wa tukio hili, jambazi aliyeua askari aliishiwa risasi kisha akatoka alikojificha akirusha risasi, akapiga magoti peupe na kunyanyua mikono juu kama ishara ya kujisalimisha...
Cha ajabu, hata baada ya tendo hili la jambazi kujisalimisha, polisi àlimwendea na alipomfikia badala amtie pingu jambazi huyu kusaidia upelelezi, yeye alimmiminia risasi na kumuua hapo hapo. HAKIKA INAFIKIRISHA SANA...!!
3. Nina mashaka makubwa, kuwa kuna uwezekano tukio hili limekuwa planned na "watu ndani ya jeshi la polisi na government prosecution department" maalumu towards establishing new evidence kuongezea nguvu ya ushahidi wao dhidi ya kesi ya ugaidi wa Mbowe...
Nahisi kitu fulani hapa, kuwa, hawa polisi haraka haraka ktk upelelezi wanaosema wanaufanya, basi final report yao ya tukio inaweza kuwaacha watu midomo wazi...!!
Kwa ufupi, a new evidence is being prepared ili kuficha aibu ya baadhi ya watu serikalini. Swali ni hili, wataweza kupata wakitafutacho??
Kaeni mkao wa kula...
Nimeshangaa kuona msafara unasimamishwa na raia...Kuna msafara wa kiongozi umekula kona pale kama sio wao.
Mkuu your mind is polluted. Go and let yourself be treated.
Ha ha ha! Mkuu! Magaidi wako mahabusu!!!!huyo alikuwa Raia Mwema tu. Magaidi wako mahakamani kesi inaendelea.
Hao mashuhuda uliowasikia wamekudanganya, nadhani umemsikiliza Yule dada muuza tissue barabarani. Hebu fuatilia kuna clip kibao za Hilo tukio hakuna mahali amenyanyua mikono Kwa kuushiwa risasi.
Nilichokiona amepigwa risasi akiwa anazunguka barabarani huku akiwa anapiga piga kifua.
Lakini kama kungekuwa na Nia ya kuunganisha na kesi ya mbowe wasingemwua Bali wangemkamata na kuonyesha kuwa amehojiwa.
Lakini picha zake nyingi zinaonyesha yeye ni uvccm. Anyway unahaki ya kuhoji