Uhusiano uliopo kati ya kesi ya Ugaidi dhidi ya Mbowe na tukio la jambazi

Time, location, selective killed, wearing style and the words he spoke during mission. Hivi ni vitu vya msingi sana na visipuuzwe hata kidogo. Wamefanya makosa sana kumuua huyo jamaa...kama hamuamini hiyo ni mbegu imepandwa time will tell, haya matukio ya kigaidi huja kwa phase. Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama waongeze weledi kuna jambo linakuja.
 
Nahisi hii ni pre-emptive strike, vyombo vya ulinzi na usalama vikae chonjo huenda kuna shambulio kubwa zaidi linapikwa.
Watu wanachukulia mzaha hawajua mission za hao jamaa
 
Watalewa tu muda ni mwalimu mzuri sana.
Wanajeshi tuliopeleka mpakani, MAGAIDI yamekasirikia Serikali na yataua sana Dar na mikoani, acha walete siasa zao za kupambana na Mbowe.
sijakuelewa mkuu kwamba majeshi hata mipaka kulindwa yaache ? na umejuaje kuwa ana uhusiano nao na kuwa wamekasirika?
 
Ila kwa maisha yetu yalivyo magumu awamu hii, kuchanganyikiwa ni lazima. Hapa tujipange tu 2025 tumtoe huyu. La sivyo, tutakuwa tunatembea tunaongea hovyo mabarabarani.
 
1. Jinsi lilivyotokea na jinsi polisi walivyoli - handle hata askari 3 na raia mmoja kupoteza maisha, HAKIKA INAFIRISHA SANA...

2. Kwa maelezo ya mashuhuda wa tukio hili, jambazi aliyeua askari aliishiwa risasi kisha akatoka alikojificha akirusha risasi, akapiga magoti peupe na kunyanyua mikono juu kama ishara ya kujisalimisha...

Cha ajabu, hata baada ya tendo hili la jambazi kujisalimisha, polisi àlimwendea na alipomfikia badala amtie pingu jambazi huyu kusaidia upelelezi, yeye alimmiminia risasi na kumuua hapo hapo. HAKIKA INAFIKIRISHA SANA...!!

3. Nina mashaka makubwa, kuwa kuna uwezekano tukio hili limekuwa planned na "watu ndani ya jeshi la polisi na government prosecution department" maalumu towards establishing new evidence kuongezea nguvu ya ushahidi wao dhidi ya kesi ya ugaidi wa Mbowe...

Nahisi kitu fulani hapa, kuwa, hawa polisi haraka haraka ktk upelelezi wanaosema wanaufanya, basi final report yao ya tukio inaweza kuwaacha watu midomo wazi...!!

Kwa ufupi, a new evidence is being prepared ili kuficha aibu ya baadhi ya watu serikalini. Swali ni hili, wataweza kupata wakitafutacho??

Kaeni mkao wa kula...
 
Hamna kitu hapo huyo ni msomali aliyechanganywa na mizimu ya kisomali akajitao kafara bahati mbaya kaenda na maisha ya askari wetu. Ni kama wengine wanao kunywa sumu tu na vitu kama hivyo nk, huyu katumia njia ya dini aliyosomeshwa Misri..
 
Mmmmh akili za bavicha hazina common sense .litengenezwe Hadi kufa halafu ndo uwe ushahidi
 
1. Jinsi lilivyotokea na jinsi polisi walivyoli - handle hata askari 3 na raia mmoja kupoteza maisha, HAKIKA INAFIRISHA SANA...

2. Kwa maelezo ya mashuhuda wa tukio hili, jambazi aliyeua askari aliishiwa risasi kisha akatoka alikojificha akirusha risasi, akapiga magoti peupe na kunyanyua mikono juu kama ishara ya kujisalimisha...

Cha ajabu, hata baada ya tendo hili la jambazi kujisalimisha, polisi àlimwendea na alipomfikia badala amtie pingu jambazi huyu kusaidia upelelezi, yeye alimmiminia risasi na kumuua hapo hapo. HAKIKA INAFIKIRISHA SANA...!!

3. Nina mashaka makubwa, kuwa kuna uwezekano tukio hili limekuwa planned na "watu ndani ya jeshi la polisi na government prosecution department" maalumu towards establishing new evidence kuongezea nguvu ya ushahidi wao dhidi ya kesi ya ugaidi wa Mbowe...

Nahisi kitu fulani hapa, kuwa, hawa polisi haraka haraka ktk upelelezi wanaosema wanaufanya, basi final report yao ya tukio inaweza kuwaacha watu midomo wazi...!!

Kwa ufupi, a new evidence is being prepared ili kuficha aibu ya baadhi ya watu serikalini. Swali ni hili, wataweza kupata wakitafutacho??

Kaeni mkao wa kula...
Hao mashuhuda uliowasikia wamekudanganya, nadhani umemsikiliza Yule dada muuza tissue barabarani. Hebu fuatilia kuna clip kibao za Hilo tukio hakuna mahali amenyanyua mikono Kwa kuushiwa risasi.
Nilichokiona amepigwa risasi akiwa anazunguka barabarani huku akiwa anapiga piga kifua.
Lakini kama kungekuwa na Nia ya kuunganisha na kesi ya mbowe wasingemwua Bali wangemkamata na kuonyesha kuwa amehojiwa.
Lakini picha zake nyingi zinaonyesha yeye ni uvccm. Anyway unahaki ya kuhoji
 
Hizi taarifa zako ulizozisikia kwa watu usiziamini sana, binafsi sikuwepo napata shida kuhukumu.

Naamini huyo jamaa ameamua kufanya hayo for his own reasons, naamini hakuna mtu mjinga wa kutoa mhanga maisha yake kwa ajili ya kesi za kubambika, au kutimiza michezo ya kisiasa.
 
1. Jinsi lilivyotokea na jinsi polisi walivyoli - handle hata askari 3 na raia mmoja kupoteza maisha, HAKIKA INAFIRISHA SANA...

2. Kwa maelezo ya mashuhuda wa tukio hili, jambazi aliyeua askari aliishiwa risasi kisha akatoka alikojificha akirusha risasi, akapiga magoti peupe na kunyanyua mikono juu kama ishara ya kujisalimisha...

Cha ajabu, hata baada ya tendo hili la jambazi kujisalimisha, polisi àlimwendea na alipomfikia badala amtie pingu jambazi huyu kusaidia upelelezi, yeye alimmiminia risasi na kumuua hapo hapo. HAKIKA INAFIKIRISHA SANA...!!

3. Nina mashaka makubwa, kuwa kuna uwezekano tukio hili limekuwa planned na "watu ndani ya jeshi la polisi na government prosecution department" maalumu towards establishing new evidence kuongezea nguvu ya ushahidi wao dhidi ya kesi ya ugaidi wa Mbowe...

Nahisi kitu fulani hapa, kuwa, hawa polisi haraka haraka ktk upelelezi wanaosema wanaufanya, basi final report yao ya tukio inaweza kuwaacha watu midomo wazi...!!

Kwa ufupi, a new evidence is being prepared ili kuficha aibu ya baadhi ya watu serikalini. Swali ni hili, wataweza kupata wakitafutacho??

Kaeni mkao wa kula...

Mkuu your mind is polluted. Go and let yourself be treated.
 
You look surprised, right...?

Yes, you are. Because you've noticed something prematurely that you thought no one could have known as earlier as that... !!

Pole sana..
 
Hao mashuhuda uliowasikia wamekudanganya, nadhani umemsikiliza Yule dada muuza tissue barabarani. Hebu fuatilia kuna clip kibao za Hilo tukio hakuna mahali amenyanyua mikono Kwa kuushiwa risasi.
Nilichokiona amepigwa risasi akiwa anazunguka barabarani huku akiwa anapiga piga kifua.
Lakini kama kungekuwa na Nia ya kuunganisha na kesi ya mbowe wasingemwua Bali wangemkamata na kuonyesha kuwa amehojiwa.
Lakini picha zake nyingi zinaonyesha yeye ni uvccm. Anyway unahaki ya kuhoji

Ndugu, hawa jamaa wanajua wanachokifanya...

Subiri ripoti ya polisi. Utashangaa mpaka ushindwe kula...

Kuna watu huko serikalini wako so desperate kulinda nafasi na maslahi yao kwa gharama yoyote hata kama ni kuua watoto na mama zao...!!!

It's possible that, the whole plan ni huyo afe na ionekane hivyo kwako na kwangu na kwa wengine. Hapo ni kutumia akili kujiuliza maswali na kuyajibu...

Wote waliohojiwa na hizo video clips kurushwa hewani ni part of the plan, are the part of the actors & actresses wa movie yote...
 
Back
Top Bottom