1. Jinsi lilivyotokea na jinsi polisi walivyoli - handle hata askari 3 na raia mmoja kupoteza maisha, HAKIKA INAFIRISHA SANA...
2. Kwa maelezo ya mashuhuda wa tukio hili, jambazi aliyeua askari aliishiwa risasi kisha akatoka alikojificha akirusha risasi, akapiga magoti peupe na kunyanyua mikono juu kama ishara ya kujisalimisha...
Cha ajabu, hata baada ya tendo hili la jambazi kujisalimisha, polisi àlimwendea na alipomfikia badala amtie pingu jambazi huyu kusaidia upelelezi, yeye alimmiminia risasi na kumuua hapo hapo. HAKIKA INAFIKIRISHA SANA...!!
3. Nina mashaka makubwa, kuwa kuna uwezekano tukio hili limekuwa planned na "watu ndani ya jeshi la polisi na government prosecution department" maalumu towards establishing new evidence kuongezea nguvu ya ushahidi wao dhidi ya kesi ya ugaidi wa Mbowe...
Nahisi kitu fulani hapa, kuwa, hawa polisi haraka haraka ktk upelelezi wanaosema wanaufanya, basi final report yao ya tukio inaweza kuwaacha watu midomo wazi...!!
Kwa ufupi, a new evidence is being prepared ili kuficha aibu ya baadhi ya watu serikalini. Swali ni hili, wataweza kupata wakitafutacho??
Kaeni mkao wa kula...