Uhusiano wa Intelijensia na watu kama kina James Bond

Mbali na wale trained,kuna waliozaliwa na hicho kipaji kwani inaweza kusimama kama kazi na kipaji pia,ingekua wanachukua zaidi wa vipaji wakafundishwa hakika tungetisha katika swala la usalama,tatizo wengi wanabebwa matokeo yake ni kujinadi kwa watu hatimae siri nyingi kufichuka
 
jamani TISS inanisikitisha na kunishangaza. manake hapa kwe2 SAUT tunasoma na agents wao yan ni waropokaji mpaka sisi mburula tunashangaa,vitu vingne wanavyoongea ni very secret hata kama mission complete ths is immoral manake tunaona hata kwny tamthlia za kina 007 na Jack Baur walivyo determined,esteemed and confident. enz za nyerere hawa jamaa wa tiss tulikuwa tunasikia tu leo hii wamezagaa mpaka watoto wanawajua. hawajielewi sijui hawapat mafunzo ya kutosha au ni wazembe kwa kuwa siku hizi wanawarecrut kiundugu undugu tu,anyway zaman recrutment ilikuwa very secret lakn siku hz ukiwa na ndg mwajiriwa wa gvt anaweza kukupa mchongo. kutokana na upe
nz wang wa intelligence doctrines nliwah kumwingia agent mmja wa tiss nae bila kujielewa akawa anajìachia,kwl nilishangaa mpka sasa sìwaamin tena cz imefikia hatua naamin tz inalindwa na kudra za mwenyez mungu na machale ya tiss agents wachache tena wale wakongwe sio hawa vijana wa kileo ambao hata mimì kw kutumia movie skills ningekuwa criminal oriented naami
n wasingenishka hata kdogo.
 
Nan kashabahatka kuona mafunzo ya makomando(ngerengere) je mnajua kuwa kuna wa2 wanateuliwaga na nch kwenda kupata mafunzo yakjasus israel,urus,chna quba
 
Umeongea point C.T.U Ila umeshajiuliza ni nani anayejichongea mtego wa kumdaka mwenyewe?
 
Last edited by a moderator:
Wapo bana si waliomteka ULI...

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Una uhakika gani kwamba wanaropoka kwa maana halisi ya kuropoka, na si kwamba wanajaribu kuwa-corner nyie ili nanyi mropoke halafu wachukue feedbacks zenu? Jaribu kuwaangalia zaidi ya kuwa wanaropoka tu halafu ndiyo uhakikishe kama wanaropoka kweli ama la!
 
mtego gani mkuu?

Namaana, endapo watu wa aina hiyo wakiandaliwa. Basi ni dhahiri kuwa watakao haribiwa mipango yao ni wale wale waliokamata makali... Ukitoa wazo kama hilo wale wasafirisha twiga usiku hawata kuelewa na wazo lako litatiwa kapuni
 

Jaribu uone utamu wake. Kwanza dalili yakujadili mambo tusiyoyajua ni kiashiria kuwa hatuko serios na mambo yetu kwani hata katiba inasema wazi kila mtazania ni usalama wa nchi yake. Lazima uilinde nchi yako kwa namna yeyote vile kwanini hukumripoti huyo jamaa sehemu husika ili arekebishwe??? Lazima ujue usalama unaanzia kwako mwenyewe. Tuacheni kusubiri watufulani watulindie nchi yetu, kwani sote tukiamua hamna wakuvamia nchi yetu. Tusiwadharau hivyo kwani hata hii jeuri yakuropoka humu wasingekua wanajua kazi zao humu wengi mngekua hamuingii. Tuwape ushirikiano kwani bila kuwapa ushirikiano kazi zao zitakua ngumu sana.
 
labda ndio maana tuna utajiri mwingi na watu wanatuogopa kutuvamia mipaka yetu,ila kuna tatizo tuimarike zaidi,politics zipungue,poitics nyingine ni tatizo kwenye proffesionals kama hizo
 
Too much movies! Dead drops, Agents, Assets, Proxies,Ghosts mnasahau big picture kama mabalozi wa nyumba kumi, honest books kwenye majengo na vitu kama hivyo.

Halafu watu mnachanganya kati ya CID,UWT na DMI na hapo ndio kuna tofauti kubwa kati ya Tanzania na hizo CIA na 6. Muundo wa UWT ni totally civilian(Baada ya kutenganishwa na Polis 1960s) ila hao wengine wana uhusiano mkubwa na military
Sabayi if ulimboka was suposed to be dead then asingepona. They wanted it that way ili asimulie
 
Last edited by a moderator:

ha ha ha. CID ni polisi, UWT ni usalama wa Taifa, DMI ni kitengo cha usalama jeshini. Sasa nani anachanganya nini? Haya wewe unayejua zaidi tueleze maana sisi ni outsiders lol
 

HILO NDO JIBU. Kwa wazungu they Do Not Exist Though They Exist. Kwa Wabongo They Real Dont Exist!!
 
ha ha ha. CID ni polisi, UWT ni usalama wa Taifa, DMI ni kitengo cha usalama jeshini. Sasa nani anachanganya nini? Haya wewe unayejua zaidi tueleze maana sisi ni outsiders lol

Soma post zote utaelewa nazungumzia nini. Kuna watu wameongelea mpaka makomandoo wa Ngerengere. Unajua hao watatu uliowataja wanalink vipi kufanya kazi pamoja? Who is the muscle and who is the brain? Baada ya kuvunjwa TPSS unajua kuna majukumu ya intel yalipelekwa kwa DCI?Hiyo ndio point yangu kuwa hayo majukumu/uwezo yamekua blured ndio kilichoifikisha UwT hapo ilipo
 

Nakubaliana na wewe kuhusu hii ishu ya watu kuchanganya kazi za polisi, takukukuru , na za usalama. Ila vyombo hivi vinabadilishana baadhi ya taarifa at some point. Kazi ya intelijensia popote duniani ni kukusanya taarifa na then kuzifanyia analysis na kushauri kutokana na majibu ya analysis nini kifanyike. Hii ni universal .Pia kwa Tanzania naona wana majukumu ya ziada ambayo ni kulinda watu muhimu. Mengine tunayoongea humu ni kudanganyana na kupotoshana na sioni kama hii topic ina tija yoyote kwangu mimi kama mtanzania.
 
Freelancer naona umenielewa, sasa hapo ndio nilikua naeleza mipaka yao. Tuna tofauti kubwa ya kimfumo na US na pia sheria zetu ni butu sana. Wapo hapo wanatoa msaada kuanzisha CTC yetu ila bado inasumbua how to interlink. Polis,PCCB,UwT wana asili moja ila Dmi na UwT huwa hawaivi sasa inailazimu Idara iwe na paramil wake yenyewe wakati sheria zinakataza kuwa enforcer. So watu wapo ila ni mipango mibovu na watawala kuingilia.

Pamoja.
 
Last edited by a moderator:

kaka, mbona hata wewe tunakujua ni TISS hapa SAUT.
 
Kuna Television show moja ilikuwa inarushwa BBC miaka kama kumi iliyopita ilikuwa inaendeshwa na ex-MI6 na CIA agents jinsi ya wanavyotrain ma spy. Ilikuwa tu inaonyesha basic trainings mfano how to blend in and create a cover, how to trick some one to give you a certain information na nyingi. Ziko vizuri sana hizo video clip maana zinaelezea vitu basic sana. Na walikuwa wanapima nani anafaa kuwa spy na nani hafai .Mfano kuna watu walikuwa wanajisahau wanachanganya there real life with masiha ya u spy kitu ambacho ni hatari kwa hiyo walikuwa wanaambiwa hawafai kuwa ma spy .Hiyo show ilikuwa inaitwa SPY nadhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…