bibliography
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 614
- 228
Jason bourne
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakwambia hatuna ghosts? Waliomtesa dr. Uli wasingekuwa ghosts wangesha patikana.
Ili ujue TISS inafanya kazi na uwezo mkubwa ni lazima ifanye unayotaka au kuyaona wewe ndo ujue kuwa wanauwezo mkubwa wa kutackle issues?!Tambua wale wanayoyafanya kwenye screen ili kukuonesha wewe ni minor technics na technology ktk ujasusi na sio wahusika wa agencies za ujasusi.....!!Ni kwamba kwetu vyombo nyetu vya kiusalama vianingiliwa na wanasiasa ktk utendaji wake...!Ukweli ni kwamba kuna kila aina ya watu wenye uwezo usioudhania wa hujawahi kuufikiria!
ila nasikia kwa ukanda huu wa maziwa makuu TANZANIA ni hatari sana kwa intelligence
Kwa mujibu wa mtoa mada na mifano yake ,tunaona kuwa mwigizaji david craig anajihusisha kuzuia mambo yanayohatarisha usalama wa nchi yao.Mkuu kuna baadhi ya mambo yanatokea Tanzania hii tunaona na kujua kuwa hakuna "Ghosts" mna Agents tu wa kawaida
Wapo mkuu, tena wamefundwa zaidi ya uonapo movie hizo!
Unapoona tukio lolote la kifisadi au vyovyote vile limewafikia Chadema au mbunge yeyote jua kuwa limetokea TISS!
Hakuna kitu ndani ya nchi hii kinachoweza kutokea bila TISS kujua!
Tatizo ni watawala, TISS wakishamaliza uchunguzi unaoonyesha kuwa kuna tukio linakuja au lipo wao hupeleka file mahali husika huko ndiko hupewa amri na maelekezo ya nini wafanye!
Jidanganye kuwa hawapo ulijua jiji mkuu!
Tanzania ndio nchi inayoongoza kwakuwa na Usalama wa Taifa imara kuliko nchi yoyote Afrika!
Aisee,
Ukiondoa Kiswahili, Kuondoa Udini na Ukabila. Mwalimu JKN aliweka TISS nzuri sana.
TISS ya Apson ndo ilikua na nguvu sana. Ila naamini bado wapo fresh tu.
Naweza kusema hawawezi kufikia uwezo wa "James Bond", sio kwa Tanzania kwa sababu hatuhitaji mtu kama James Bond!
Kwanza tatizo ni VIFAA, sio mafunzo.
Epa au hela za Uswisi wanazijua kama wapo smart. Mie ningekua Mkuu wa TISS ningekua na recruit first class students tu na second upper za juu.
Ila TISS yetu wapo watoto wa Dk Omar (RIP), fulani fulani. Sio who knows How ni who knows WHO!
mimi nadhani usalama wa taifa ulipaswa uwe kama division, yaani bos wake anao uwezo wa kuchimba biti mpaka mkuu wa nchi.
TISS wanajua kila kitu uenda na wao wameshiriki ktk huo wizi,msikilize Yericko Nyerere anasemaje!!! Ila ndio hvo tiss kama kampuni ya ulinzi vile(nimenukuu mdau wa juu hapo)
intilejinsia= hivi maana yake ni nini?
CTU, unachokiona kwenye skyfall na real MI6 ni tofauti sana mkuu
The real MI6 - no gadgets, no martinis, no Bond
By James Blitz
The millions of people who will watch Daniel Craig playing James Bond in Skyfall this weekend will not want to be told the awful truth about Bond movies: they bear little or no relation to the real world of MI6, Britains Secret Intelligence Service.
The film, which is expected to break box office records, will see Bond getting up to his usual antics, jumping from trains, blowing up villains and escaping gruelling torture at the last moment. But this is all a long way from MI6s real role which involves the painstaking gathering of secret intelligence, mainly by working with foreign nationals who have access to confidential information.
The Service has never really gone in for people like Bond, says one person well acquainted with the secret world. Bond is in every sense of the word an actor. What the real SIS is all about is gathering information on foreign governments and movements in order to face down threats to the UK. That is a business that requires silence, discretion and waiting around endlessly in strange places.
That said, when people who know the British Intelligence world are asked about the new film, they make two observations. First, SIS, as an institution, does not seem to mind the public excitement about Bond and actually quite enjoys it.
Among SIS officers, there is a greater reverence for [John Le Carres] Smiley, who is in many ways the founding text, says one former Whitehall official. But SIS has always been happy to assist the Bond people with their filming. Another former official concurs. It is good for morale, he says, adding that it would not surprise him if SIS were organising a free screening of the new film inside its Vauxhall Cross headquarters.
The second observation is a more serious one. This is the concern that while Bonds kinetic style is not SISs way of doing things, it is increasingly the modus operandi of its US counterpart, the Central Intelligence Agency.
The CIA is increasingly becoming a paramilitary organisation, one increasingly relying on the use of drones and special forces to eliminate American foes overseas, says the ex-Whitehall figure. MI6 and the CIA have collaborated intensively on intelligence and gathering for decades. But the CIA is getting up to some very questionable practices. This does raise questions about whether the CIA and MI6 will eventually be driven apart by their different ways of operating.
Based in its iconic building on the banks of the Thames, the core of MI6s work is something ministers and officials refuse to talk about. MI6s British case officers encourage foreign born nationals or agents to betray their governments and hand over secrets. In a speech in 2010, Sir John Sawers, the Chief of SIS underscored how these foreign agents are the true heroes of our work ... many of them show extraordinary courage and idealism.
This does not mean SIS restricts itself to information gathering. According to some analysts, one of Sir Johns key goals in the last three years has been to get MI6 to take actions that are in Britains interests. He is very conscious on the need for the Service to have impact, says one of the ex-Whitehall figures. One good example of this is the way SIS has helped disrupt the supply of technical equipment to Irans nuclear programme.
That said there are clear limits to what MI6 does. Unlike Bond, SIS officers do not carry arms or have military rank. If they need close protection it is provided by other units, such as the Special Air Service. Moreover, MI6 is bound by UK law and needs specific authorisations from the foreign secretary for a wide variety of operations like paying an agent money overseas or impersonating someone else.
This has not been an easy year for SIS. It faces police questioning over allegations that it illegally transferred two militants to Colonel Gaddafis Libya in 2004. It was forced to apologise this year over its handling of an investigation into the mysterious death of Gareth Williams, an intelligence employee. Above all, the legacy of the Iraq war when MI6 got the intelligence over Iraqs alleged weapons of mass destruction wrong continues to haunt the service.
Those who know the organisation say its achievements are considerable. There is a strong action-orientated mentality and it is a world of defined projects and defined success, says one person who knows SIS well. It is not as aggressive as Bond. But for all the constraints, it still gets things done.
Wewe unasemaje? how much do we control the rest of EAC countries economically? This is very important dimension than the rest.
TISS ya sasa ni ndugu wamejazana, kila mmoja anajua ana kibosile wake aliyemuingiza. Hata vetting wanayofanya ni ya kihuni tu, wanapokea maelekezo kutoka juu na hawana final say kwenye ufuatiliaji wao wa hao ndugu. Organisation yeyote ikiwa na ndugu wengi haiwezi kuwa na matunda mazuri. Wabadilishe mfumo wa ajira, wafute undugu, waache kujitangaza baa na kwa mademu. Pia tiss ni nyuki wa mashineni. Kila kitu wanapeleka kwa jk aamue kwani ndio mamlaka ya uteuzi. Tanzania viongozi wangapi ni wachafu tiss hawajawafanya lolote! Wangapi wanauza pembe za ndovu lakini hakuna lolote wanalofanywa hata wakikamatwa? Au kwa kuwa karibia viongozi wote ni TISS tena ma senior? Kuna kazi ambazo kweli wanafanya but vitu vingi vinavyoumiza walalahoi hawavifanyii kazi. Cha msingi tiss, takukuru, tume ya maadili viwe independent, mkono wa rais usiwepo pia ofisi ya dpp rais asiweke mkono. Ndio maana Werema anakua na ujasiri wa kuongea uharo kwa vitu ambavyo hata mtoto mdogo huwezi kumdanganya