Uhusiano wa Intelijensia na watu kama kina James Bond

Uhusiano wa Intelijensia na watu kama kina James Bond

Usalama wa Taifa hauwezi kua kamili bila kua na watendaji kama hao kama ulipata kumsoma Lt. Maganga (late) kipindi kile Rai likiwa linaandika makala za kiuanataaluma zaidi huyu alikua mmoja wa maofisa wa jeshi waliofanya uhaini alielezea vizuri role ya hawa watu walipotumwa kuwafuata kenya walipokimbilia na pia walitumwa ujerumani magharibi kipindi hicho kuchunguza na kuwashugulikia marcenaries wa serikali ya Kibaguzi ya SA ambao walihusika na vifo vya kutisha vya wanajeshi wa Tanzania kwa pamoja kule msumbiji hawa maofisa walikua wanafikia kwenye mgahawa mmoja Berlin uliokua ukiendeshwa na TISS lakini kwa image ya mtu binafsi na hapo ndo ilikua safe house yao.. walipomaliza mission kisasi kikalipwa wakarudi nyumbani salama kipindi hicho mkurugenzi akiwa Imran K. So huwez kujua mengi lakin mambo haya sio vitu vya ajabu ndani ya taasisi na wewe mtu wa nje huwezi kuyafaham cz yanahusu Usalama wa Nchi ambao ni Siri Kuu.
 
Ili ujue TISS inafanya kazi na uwezo mkubwa ni lazima ifanye unayotaka au kuyaona wewe ndo ujue kuwa wanauwezo mkubwa wa kutackle issues?!Tambua wale wanayoyafanya kwenye screen ili kukuonesha wewe ni minor technics na technology ktk ujasusi na sio wahusika wa agencies za ujasusi.....!!Ni kwamba kwetu vyombo nyetu vya kiusalama vianingiliwa na wanasiasa ktk utendaji wake...!Ukweli ni kwamba kuna kila aina ya watu wenye uwezo usioudhania wa hujawahi kuufikiria!

Wa kunyofoa folio?
 
ila nasikia kwa ukanda huu wa maziwa makuu TANZANIA ni hatari sana kwa intelligence

Wewe unasemaje? how much do we control the rest of EAC countries economically? This is very important dimension than the rest.
 
ipo hivi..., mnayoyaona kwenye movies asilimia kubwa ni fictitious..., espionage ya kwenye movies doesnt exist..., ukileta ujasusi wa kimuvimuvi.., una-vanish in a matter of weeks into your mission

Pia, ujasusi upo wa aina nyingi sana..., kuna majasusi sio wazuri kabisa kwenye martial arts lakn ni world class hackers..,

Kuna majasusi ni wataalamu wa ku-bond na watu na hawa ni wazuri sana kupata info from the public,,, na info anazokusanya zinaweza kua na umuhimu kuliko kazi za jasusi lililobobea kupigana..., kazi za ujasusi ni intergrated na ndio maana baada ya ma-chief kupata vital intel wanachagua watu wa ku-execute tasks..., ila hii ni baada ya kutumia majasusi waliobobea kwenye intel gathering..,

Ila zipo baadhi ya movies ambazo skills za real espionage zinaonekana...,eg the assignment, hakuna exaggeration in other words starring hakupewi super powers ambazo binadamu wa kawaida hana...,

In real world ni ngumu kumkuta spy anayejua kila kitu na ndio maana mara nyingi mission zinapewa "team" kuna wataalam wa kumfatilia mtu bila yeye kujua..., kwa marekani wanaitwa "g-men", kuna intel gatherers.., kuna assasins, kuna decoys, kuna attaches, foreign assets, informers, etc.., ingawa basic know-how and skills are similar,, specialization huchukua nafasi yake
 
nisinge penda kuingilia kwa undani hii fani ya ushushu, nijikite kwenye mfumo wa kiutendaji.napingana na wanao sifia utendaji wa TISS, tutumie logic kufanya simple analysis.

1. Tanzania ni miongoni mwa nchi masikini sana duniani ingawa ina rasilimali nyingi.umasikini unatokana na ubovu wa mifumo mbali mbali ya uwendeshaji wa nchi, kama siasa na utawala,elimu afya,biashara na rasilimali, usalama(TISS) kwa hiyo umasikini wetu una uhusiano wa karibu kabisa na utendaji mbovu wa TISS, haiwezekani nchi ikawa ya mwisho duniani kwa umasikini alafu ikawa ya kwanza kwa inteligensia, inteligensia isiyoweza kuondoa umasikini haina umuhimu ni inteligensia ya majungu na umbea tu. nani anatembea na mke wa nani??.ankunywa bia ngapi baa??. hawana kitu hawa.. kama wanabisha waje mtaani tuwawape shule

2.inteligensia yetu kwa takribani miongo mitatu imejikita zaidi kenye mambo ya umbea na fitna na hujuma za kisiasa tu. kama nadanganya waje hapa watuambie ni lipe jema kwa nchii hii wamelifanya.wao kila kukicha ni kuhangaika na wapinzani wa serilali dhaifu na dhalimu tu. kuonyesha kuwa hawako makini angalia walicho mfanyia DK.ulimboka na Saidi kubenea

3.wakati wa awamu ya Mwalimu, tulikuwa na malengo tofauti na sasa hivi, kwanza kwa kuwa ndo tulikuwa tumepata uhuru kazi ya msingi ya TISS ya wakati huo ilikuwa ni kuimarisha mamlaka na madaraka ya taasisi ya utawala(Raisi) pili ikuwa ni kulinda uhuru na kuleta ukombozi kwa nchi za kiafrika, tatu kulinda falsafa iliyokuwa iliyokuwa inaongoza uchumi na siasa ya wakati ule "siasa ya ujamaa na kujitegemea" baada ya mageuzi ya kisiasa mwanzo mwa miaka ya 90 tulitakiwa kuifanyia mabadiliko makubwa ya kimfumo taaasisi ta usalama wa taifa,wao ndo walitakiwa washinikize mabadiliko, walitegemea wanasiasa ?? kama kweli ni intelligent, vinginevyo nao ni wananufaika na uafisadi tu.wameitelekeza taaluma yao. eti siku hizi na wao wanalamika. wanasahau kuwa wana nafasi kubwa ya kushinikiza mabadilko kuliko hata wabunge

3.tuige mfumo wa wenzetu wa wamarekani, twaweza boresha kulingana na mazingira yetu,tuigawanye taasisi katika idara tatu
a)secret service itayo husika na ulinzi wa raisi, makamu na waziri mkuu wa nchi na famila zao
b)upelelezi-itahusika na mambo ya criminal investigations na mengine mtaongeza wenye fani
c)ujasusi-usalama wa nje na ndani ya nchi, uchumi,siasa,utamaduni,utawala nakadhalika. hii idara itahisika kuangalia na kushauri usalama wa nchi, kiuchumi ,kisiasa na kiutmaduni

wao kama ni inteligent walitakiwa wawe wameyaona kabla, waforesee miaka 100 ijayo tunawategemea wao kwanza sisi baadaye,wafanye kazi zao ndo maana tumewapa kila kitu, haina maana sisi tuache kufundisha, au kutibu watu tuje kuwaambia cha kufanya
 
HAKUNA GHOST wala akina Jason Bourn hapa Tanzania hao TISS wapo kichama na kimaslahi zaidi ushahidi upo wa kutosha unaonyesha IQ na brain zipo chini sana, siamini kama kungekua na ghost spy tungekua tukipost kitu ch kawaida jf au wana bidii tunapigiwa simu na kuchimbwa mikwara na watu wa ikulu, wapowapo tu na hakuna cha maaana wanachokifanya zaidi ya kutumia kodi zetu kwa anasa zao, kusafiri na baba riziwani dunia nzima na kula nchi, kama wangekuwepo ilikuaje waasi wapigane huko congo mpaka wa penetrate ndani ya mipaka ya tanzania na silaha zao kali bila kujulikana?hawafanyi kazi za kijasusi, hawaibi thechnology wa mbinu mpya za biashara kwa nchi zingine na kuleta nyumbani hawa wa spy majirani zetu na kujua wana plani nini kwa ajili ya Tanzania, hakuna nchi ina usalama fake kama hii na siku mtu akijitoa fahama kama anakili na iq nzuri ana uwezo kum assassinate kiongozi yeyote,

this guys they are doing nothing ruther than spending our money with no good reason
 
Mkuu kuna baadhi ya mambo yanatokea Tanzania hii tunaona na kujua kuwa hakuna "Ghosts" mna Agents tu wa kawaida
Kwa mujibu wa mtoa mada na mifano yake ,tunaona kuwa mwigizaji david craig anajihusisha kuzuia mambo yanayohatarisha usalama wa nchi yao.
Haya na turudi hapa kwetu EPA ,RADA,TWIGA , MADINI ,FEDHA USWISI na rasilimali kadhaa kama mifano yake ,hebu tufikiri kwa kina hivi kweli haya ya kujiibia wenyewe tunahitaji watu wenye utaalamu wa kupiga makonzi,kuhack, na mbwembwe zingine? hata tukiwa nao hawatofit asignment hizo,kwa makosa hayo tunaitaji IGP ,Mwendesha mashtaka,mkurugenzi takukuru na maofisa wengine wa vyombo vya usalama wakali,wakweli wenye hasira za kweli kuyamaliza hayo,wala hawahitaji kuwa undercover!
 
Wale wanaomlinda Mkuu wa Kaya si ndio Maghosts wenyewe. Pia kuna maghosts mengine yalitumwa na shekhe Yahya ila hayaonekani kabisa.. Nchi hii bhana full mauzauza.
 
Wapo mkuu, tena wamefundwa zaidi ya uonapo movie hizo!

Unapoona tukio lolote la kifisadi au vyovyote vile limewafikia Chadema au mbunge yeyote jua kuwa limetokea TISS!

Hakuna kitu ndani ya nchi hii kinachoweza kutokea bila TISS kujua!

Tatizo ni watawala, TISS wakishamaliza uchunguzi unaoonyesha kuwa kuna tukio linakuja au lipo wao hupeleka file mahali husika huko ndiko hupewa amri na maelekezo ya nini wafanye!

Jidanganye kuwa hawapo ulijua jiji mkuu!

Tanzania ndio nchi inayoongoza kwakuwa na Usalama wa Taifa imara kuliko nchi yoyote Afrika!

halafu maskini,,,,,,,sasa kuna tija hapo?ina maana usalama hauhusiani na masuala ya uchumi?
 
Aisee,

Ukiondoa Kiswahili, Kuondoa Udini na Ukabila. Mwalimu JKN aliweka TISS nzuri sana.

TISS ya Apson ndo ilikua na nguvu sana. Ila naamini bado wapo fresh tu.

Naweza kusema hawawezi kufikia uwezo wa "James Bond", sio kwa Tanzania kwa sababu hatuhitaji mtu kama James Bond!

Kwanza tatizo ni VIFAA, sio mafunzo.

Epa au hela za Uswisi wanazijua kama wapo smart. Mie ningekua Mkuu wa TISS ningekua na recruit first class students tu na second upper za juu.

Ila TISS yetu wapo watoto wa Dk Omar (RIP), fulani fulani. Sio who knows How ni who knows WHO!

hata kama wamezipata illegal,kuna za chupi hapo kuna za kuingia na vibomu,
 
CTU, unachokiona kwenye skyfall na real MI6 ni tofauti sana mkuu

The real MI6 - no gadgets, no martinis, no Bond
By James Blitz

The millions of people who will watch Daniel Craig playing James Bond in Skyfall this weekend will not want to be told the awful truth about Bond movies: they bear little or no relation to the real world of MI6, Britain's Secret Intelligence Service.
The film, which is expected to break box office records, will see Bond getting up to his usual antics, jumping from trains, blowing up villains and escaping gruelling torture at the last moment. But this is all a long way from MI6's real role – which involves the painstaking gathering of secret intelligence, mainly by working with foreign nationals who have access to confidential information.


"The Service has never really gone in for people like Bond," says one person well acquainted with the secret world. "Bond is in every sense of the word an actor. What the real SIS is all about is gathering information on foreign governments and movements in order to face down threats to the UK. That is a business that requires silence, discretion and waiting around endlessly in strange places."
That said, when people who know the British Intelligence world are asked about the new film, they make two observations. First, SIS, as an institution, does not seem to mind the public excitement about Bond and actually quite enjoys it.
"Among SIS officers, there is a greater reverence for [John Le Carre's] Smiley, who is in many ways the founding text," says one former Whitehall official. "But SIS has always been happy to assist the Bond people with their filming." Another former official concurs. "It is good for morale," he says, adding that it would not surprise him if SIS were organising a free screening of the new film inside its Vauxhall Cross headquarters.
The second observation is a more serious one. This is the concern that while Bond's kinetic style is not SIS's way of doing things, it is increasingly the modus operandi of its US counterpart, the Central Intelligence Agency.


"The CIA is increasingly becoming a paramilitary organisation, one increasingly relying on the use of drones and special forces to eliminate American foes overseas," says the ex-Whitehall figure. "MI6 and the CIA have collaborated intensively on intelligence and gathering for decades. But the CIA is getting up to some very questionable practices. This does raise questions about whether the CIA and MI6 will eventually be driven apart by their different ways of operating."
Based in its iconic building on the banks of the Thames, the core of MI6's work is something ministers and officials refuse to talk about. MI6's British case officers encourage foreign born nationals – or "agents" – to betray their governments and hand over secrets. In a speech in 2010, Sir John Sawers, the Chief of SIS underscored how these foreign agents are "the true heroes of our work ... many of them show extraordinary courage and idealism."
This does not mean SIS restricts itself to information gathering. According to some analysts, one of Sir John's key goals in the last three years has been to get MI6 to take actions that are in Britain's interests. "He is very conscious on the need for the Service to have impact," says one of the ex-Whitehall figures. "One good example of this is the way SIS has helped disrupt the supply of technical equipment to Iran's nuclear programme."
That said there are clear limits to what MI6 does. Unlike Bond, SIS officers do not carry arms or have military rank. If they need close protection it is provided by other units, such as the Special Air Service. Moreover, MI6 is bound by UK law and needs specific authorisations from the foreign secretary for a wide variety of operations – like paying an agent money overseas or impersonating someone else.
This has not been an easy year for SIS. It faces police questioning over allegations that it illegally transferred two militants to Colonel Gaddafi's Libya in 2004. It was forced to apologise this year over its handling of an investigation into the mysterious death of Gareth Williams, an intelligence employee. Above all, the legacy of the Iraq war – when MI6 got the intelligence over Iraq's alleged weapons of mass destruction wrong – continues to haunt the service.
Those who know the organisation say its achievements are considerable. "There is a strong action-orientated mentality and it is a world of defined projects and defined success," says one person who knows SIS well. "It is not as aggressive as Bond. But for all the constraints, it still gets things done."
 
CTU, unachokiona kwenye skyfall na real MI6 ni tofauti sana mkuu

The real MI6 - no gadgets, no martinis, no Bond
By James Blitz

The millions of people who will watch Daniel Craig playing James Bond in Skyfall this weekend will not want to be told the awful truth about Bond movies: they bear little or no relation to the real world of MI6, Britains Secret Intelligence Service.
The film, which is expected to break box office records, will see Bond getting up to his usual antics, jumping from trains, blowing up villains and escaping gruelling torture at the last moment. But this is all a long way from MI6s real role  which involves the painstaking gathering of secret intelligence, mainly by working with foreign nationals who have access to confidential information.


The Service has never really gone in for people like Bond, says one person well acquainted with the secret world. Bond is in every sense of the word an actor. What the real SIS is all about is gathering information on foreign governments and movements in order to face down threats to the UK. That is a business that requires silence, discretion and waiting around endlessly in strange places.
That said, when people who know the British Intelligence world are asked about the new film, they make two observations. First, SIS, as an institution, does not seem to mind the public excitement about Bond and actually quite enjoys it.
Among SIS officers, there is a greater reverence for [John Le Carres] Smiley, who is in many ways the founding text, says one former Whitehall official. But SIS has always been happy to assist the Bond people with their filming. Another former official concurs. It is good for morale, he says, adding that it would not surprise him if SIS were organising a free screening of the new film inside its Vauxhall Cross headquarters.
The second observation is a more serious one. This is the concern that while Bonds kinetic style is not SISs way of doing things, it is increasingly the modus operandi of its US counterpart, the Central Intelligence Agency.


The CIA is increasingly becoming a paramilitary organisation, one increasingly relying on the use of drones and special forces to eliminate American foes overseas, says the ex-Whitehall figure. MI6 and the CIA have collaborated intensively on intelligence and gathering for decades. But the CIA is getting up to some very questionable practices. This does raise questions about whether the CIA and MI6 will eventually be driven apart by their different ways of operating.
Based in its iconic building on the banks of the Thames, the core of MI6s work is something ministers and officials refuse to talk about. MI6s British case officers encourage foreign born nationals  or agents  to betray their governments and hand over secrets. In a speech in 2010, Sir John Sawers, the Chief of SIS underscored how these foreign agents are the true heroes of our work ... many of them show extraordinary courage and idealism.
This does not mean SIS restricts itself to information gathering. According to some analysts, one of Sir Johns key goals in the last three years has been to get MI6 to take actions that are in Britains interests. He is very conscious on the need for the Service to have impact, says one of the ex-Whitehall figures. One good example of this is the way SIS has helped disrupt the supply of technical equipment to Irans nuclear programme.
That said there are clear limits to what MI6 does. Unlike Bond, SIS officers do not carry arms or have military rank. If they need close protection it is provided by other units, such as the Special Air Service. Moreover, MI6 is bound by UK law and needs specific authorisations from the foreign secretary for a wide variety of operations  like paying an agent money overseas or impersonating someone else.
This has not been an easy year for SIS. It faces police questioning over allegations that it illegally transferred two militants to Colonel Gaddafis Libya in 2004. It was forced to apologise this year over its handling of an investigation into the mysterious death of Gareth Williams, an intelligence employee. Above all, the legacy of the Iraq war  when MI6 got the intelligence over Iraqs alleged weapons of mass destruction wrong  continues to haunt the service.
Those who know the organisation say its achievements are considerable. There is a strong action-orientated mentality and it is a world of defined projects and defined success, says one person who knows SIS well. It is not as aggressive as Bond. But for all the constraints, it still gets things done.

Comrade.., as i commented hapo juu.., nimeipenda hii,
 
TISS ya sasa ni ndugu wamejazana, kila mmoja anajua ana kibosile wake aliyemuingiza. Hata vetting wanayofanya ni ya kihuni tu, wanapokea maelekezo kutoka juu na hawana final say kwenye ufuatiliaji wao wa hao ndugu. Organisation yeyote ikiwa na ndugu wengi haiwezi kuwa na matunda mazuri. Wabadilishe mfumo wa ajira, wafute undugu, waache kujitangaza baa na kwa mademu. Pia tiss ni nyuki wa mashineni. Kila kitu wanapeleka kwa jk aamue kwani ndio mamlaka ya uteuzi. Tanzania viongozi wangapi ni wachafu tiss hawajawafanya lolote! Wangapi wanauza pembe za ndovu lakini hakuna lolote wanalofanywa hata wakikamatwa? Au kwa kuwa karibia viongozi wote ni TISS tena ma senior? Kuna kazi ambazo kweli wanafanya but vitu vingi vinavyoumiza walalahoi hawavifanyii kazi. Cha msingi tiss, takukuru, tume ya maadili viwe independent, mkono wa rais usiwepo pia ofisi ya dpp rais asiweke mkono. Ndio maana Werema anakua na ujasiri wa kuongea uharo kwa vitu ambavyo hata mtoto mdogo huwezi kumdanganya
 
Wewe unasemaje? how much do we control the rest of EAC countries economically? This is very important dimension than the rest.

Pointi yako nzuri sana mkuu, ila tunapojadili TISS tuangalie majukumu yake, vinginevyo tutaibebesha hata mambo ambayo kimsingi sio jukumu lao au wanafanya hadi kiwango flani kisha kuna watu wengine wanachukua kuanzia hapo.

PART IV
DUTIES, AND POWERS OF TISS

Duty to collect, analyse and retain information
14 (1) It shall be the duty of the Service to collect, by investigation
or otherwise, to the extent that it is strictly necessary, and analyse and
retain information and intelligence respecting activities that may on
reasonable grounds be suspected of constituting a threat to the security
of the United Republic or any part of it.
(2) The Service shall, in relation to the information dealt with under
subsection (1), report to and advise the Government.
(3) The Service may provide security assessments to departments of
the Government.
(4) The Service may-
(a) advise any Minister on matters relating to the security of Tanzania;
or
(b) provide any Minister with information relating to security matters.

Power to investigate
15.-(1) The Service shall, subject to this Act, have power to investigate
any person or body of persons whom or which it has reasonable
cause to consider a risk or a source of risk of a threat to the state security.
(2) The Service may conduct any investigations which are required
for the purpose of providing security assessments pursuant to section 14.
(3) The Service may, with the approval of the Minister, enter into an
arrangement with-
(a) any person or body of persons;
(b) any local government or other authority;
No. 15 Tanzania Intelligence and Security Service 1996 9
(c) any police, force or other policing organisation.
authorising the Service to provide security assessments.
(4) The Service may, with the approval of the President after consultation
with the Minister for Foreign Affairs, enter into an arrangement
with the government of a foreign state or an international organization
of states authorizing the service to provide the government, institution
or organisation with security assessment.

Restriction on publication and broadcasting of information
16--(1) Subject to this section no per-son shall, without the written
consent of the Minister, publish or cause or allow to be published in a
newspaper or other document, or broadcast or cause or allow to be
broadcast by radio or television or otherwise, the fact that any person, other than the Director-General-

(a) is a member of the Service;
(b) is connected in, any way with a member of the service.
(2) The written consent of the Minister in relation to any proceedings
in any court may be filed in the court and when so filed shall be sufficient
authority to all persons to act in accordance with it.
(3) Any person who fails or refuses to comply with the provisions of
this section commits an offence and upon conviction is liable to a fine
not exceeding five hundred thousand shillings.

Authorized disclosure of information-
17.-(l) Information and intelligence obtained in the performance of
the duties and functions of the Service pursuant to this Act shall not be
disclosed by the Service except in accordance with this section.
(2) The Service may disclose information referred to in subsection
(1) for the purposes of the performance of its duties and functions under
this Act or the administration or enforcement of this Act or as required
by any other law and may also disclose that information
(a) where the information may be used in the investigation or prosecution
of an alleged offence under any law in force in the
United Republic, to any public officer having jurisdiction to investigate
the alleged offence and to the Attorney-General or the
law officer concerned with the proceedings in respect of the alleged
offence;
(b) where, in the opinion of the Minister, disclosure of the information
to any Minister or public officer is essential in the public
interest and that interest clearly outweighs any invasion of privacy
that could result from the disclosure, to that Minister or public
officer.

Cooperation
18.-(1) For the purpose of performing its duties and functions under
this Act, the Service may, with the prior approval of the Minister-
Cooperation
(a) enter into an arrangement or otherwise cooperate with any department
or other institutions of the Government or a local government
authority;
10 No. 15 Tanzania Intelligence and Security Service 1996
(b) after consultation with the Minister for Foreign Affairs, enter
into an arrangement or otherwise cooperate with the Government
of a foreign state or its institution or an international organization
of states or its institution.
(2) Where a written arrangement is entered into pursuant to subsection
(1) of section 15(3) or (4), a copy of the arrangement shall be given
to the Attorney-General.
 
TISS ya sasa ni ndugu wamejazana, kila mmoja anajua ana kibosile wake aliyemuingiza. Hata vetting wanayofanya ni ya kihuni tu, wanapokea maelekezo kutoka juu na hawana final say kwenye ufuatiliaji wao wa hao ndugu. Organisation yeyote ikiwa na ndugu wengi haiwezi kuwa na matunda mazuri. Wabadilishe mfumo wa ajira, wafute undugu, waache kujitangaza baa na kwa mademu. Pia tiss ni nyuki wa mashineni. Kila kitu wanapeleka kwa jk aamue kwani ndio mamlaka ya uteuzi. Tanzania viongozi wangapi ni wachafu tiss hawajawafanya lolote! Wangapi wanauza pembe za ndovu lakini hakuna lolote wanalofanywa hata wakikamatwa? Au kwa kuwa karibia viongozi wote ni TISS tena ma senior? Kuna kazi ambazo kweli wanafanya but vitu vingi vinavyoumiza walalahoi hawavifanyii kazi. Cha msingi tiss, takukuru, tume ya maadili viwe independent, mkono wa rais usiwepo pia ofisi ya dpp rais asiweke mkono. Ndio maana Werema anakua na ujasiri wa kuongea uharo kwa vitu ambavyo hata mtoto mdogo huwezi kumdanganya

Nadhani ifike mahala ajira zitangazwe na watu wacompete, mbona CIA michakato ya ajira iko wazi na vigezo viko hadharani? Mfumo uliopo kwetu sijui ukoje, lakini nadhani ndio unaochangia kwa kiasi kikubwa sana vijana walioko TISS kua na sifa zisizo na msingi na kuwafanya wananchi wengi wapoteze imani ya utendaji wa chombo hiki muhimu.
 
Back
Top Bottom