Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TISS nao ni binadamu kama sisi hata wakiwa na mafunzo mazuri sana lakini wakiachwa na njaa ule moyo wa kazi unapungua. Tunawafamu baadhi mbona ni njaa kali tu kama sisi, hivyo ni rahisi kununuliwa na mafisadi wa EPA na mengineyo.
Wacha kujidanganya wewe, hao wanaotakiwa wawakamate si ndo haohao wenyewe!?Nani kakwambia hatuna ghosts? Waliomtesa dr. Uli wasingekuwa ghosts wangesha patikana.
Wapo mkuu, tena wamefundwa zaidi ya uonapo movie hizo!
Unapoona tukio lolote la kifisadi au vyovyote vile limewafikia Chadema au mbunge yeyote jua kuwa limetokea TISS!
Hakuna kitu ndani ya nchi hii kinachoweza kutokea bila TISS kujua!
Tatizo ni watawala, TISS wakishamaliza uchunguzi unaoonyesha kuwa kuna tukio linakuja au lipo wao hupeleka file mahali husika huko ndiko hupewa amri na maelekezo ya nini wafanye!
Jidanganye kuwa hawapo ulijua jiji mkuu!
Tanzania ndio nchi inayoongoza kwakuwa na Usalama wa Taifa imara kuliko nchi yoyote Afrika!
Sikubaliani na wewe coz kuna mambo mengi yametendeka bila TISS kujua
je hao wamakala wao wamefanya nini kudhibiti ufasadi katika ardhi za vijiji zinazovamiwa na wawekezaji wababaishaji?
Tiss hana nguvu tena kama zamani,
na tumisikia wapo kila taasisi na mashirika ya umma, je walisaidiaje taifa hili katika uvumbua ubadhirifu, wizi, ufisadi, na ughaidi ? Hakuna kitu!
Wazo binafsi
1. Tiss iwe taasisi independent, yaani isiwe chini ya ofisi ya rais.
2.tiss ipewe mamlaka ya kukamata,kuhoji, kuweka kizuizini yeyote kwa maslahi na usalama wa taifa,
3. Tiss ipadilishwe jina iitwe tisa, yaani tanzania intelegence and security authority, kwa kiswahili, mamlaka ya intelejensia na usalama ya tanzania.
4. Kuwe na vitengo vikuu viwili yaani intelegence na security.
List itaendelea baadaee...
tiss yetu bado sana,ikiwa kama mtu ni intelejensia unagundua kitu hatarishi cha usalama wa taifa kisha unapeleka sehemu husika,file halifanyiwa kazi,mimi naona ni ukosefu wa akili na uzalendo,kama if this people are real intelegence wangeondea huo mfumo unaokwamisha kazi za akili yao,ila kinachoonekana wanasiasa ndio wamekua more intelegence than tiss
mkuu unaanza kunifanya niiogope hii nchi aisee...........
Kwa kweli Si kweli tz tuko vizuri in intelligence circle,tusipeane ambacho hatuna
Sikubaliani na wewe coz kuna mambo mengi yametendeka bila TISS kujua
usichokijua ni sawa na usiku wa giza
Sasa kama walishindwa kimchomoa roho Dokta kuna kitu kweli hapo tena na live tracing? na wakajulikana...ubwabwa huo bila chumvi.