Uhusiano wa u-genious na Ukichaa

Mkuu kufanya masterbetion hauwezi ukawa n ugenius.
Ugenius unapimwa kwa IQ
Ha ha ha ha
Basi mkuu ishia tu hapo hapo.

Kuna kitu inaitwa sexual transmutation inawafanya hawa watu wawe na uwezo mkubwa sana kiakili ndio maana wengi wa watu wakubwa magenius hawakuoa na hawakua na michepuko.

Hii ni topic yake kabisa very interesting siwezi kuishusha nondo zake hapa itageuza muelekeo wa huu uzi,si unajua mambo ya SEX yanavyoakata attetntion ya raia?? ila soon nitaiweka kwenye uzi wake tofauti
 
Ma genius ni abnormal .....hawako normal
na wenye matatizo ya akili pia hawako normal

mtu yeyote ambae ama akili zimezidi au zimepungua basi hayuko normal

ni mgonjwa wa akili.....
Kimsingi hakuna mtu ambaye ni normal, kwasababu kila mtu yupo different na unique. Isipokuwa society inaweka standard ya nini ni normal na nini ni abnormal.
Matokeo yake wote tunajilazimisha kufuata kile ambacho society ina ona ni normal.
 
Nimesikitika kutokuona ULEVI hau husik na Ukichaa au u Genius.
Mkuu,nafikiri ulevi ni njia ya ku escape normality. Watu wengi wako under pressure ku act in a certain way kinyume na personality zao.
Kwa mfano, kazini kutegemea na aina ya kazi unayo fanya,kuna standard behavior unayo takiwa kuionesha.Sasa kama personality yako iko tofauti na mahitaji ya kazi yako,kitakacho tokea ni stress. Sasa ili ku escape stress ndipo vitu kama Pombe na substances nyingine zinapo tumika.
No wonder watu wengine wakinywa Pombe, ndipo their true self ina come out
 
Mkuu ebu fanya uweke huo uzi hapa.
Kuna maelezo kuwa watu wenye IQ kubwa either wana low sexual drive or they are not interested in sex at all,ukilinganisha na watu wenye low au IQ ya kawaida.
 
Ma genius ni abnormal .....hawako normal
na wenye matatizo ya akili pia hawako normal

mtu yeyote ambae ama akili zimezidi au zimepungua basi hayuko normal

ni mgonjwa wa akili.....
Hii kama logic hivi
 
There is no great genius without mixture of marijuana.
teh teh , mkuu umenifanya nicheke sana.

Kifupi ni kuwa ili mtu uwe genius lazima akili istimuletiwe ifike viwango fulani vya kufikiri, namna ya kufika huko ni za ajabu balaa.
Mfano Mwanasayansi wa kifaransa Kekule aliyegundua formula ya benzine aliigundua kwa kulala usingizi hii ni baada ya akili ya kawaida ku-fail na ikawa ndio staili yake ya kufanya mambo yake, yaani akihisi kitu kimemshinda anakimbia kupiga usingizi na solution inamjia ndotoni.

Kuna mwanasayansi mmoja nilikua namfuatilia juzi yeye anadai akiwa na ishu nzito ya kiugunduzi njia yake ya kustimuleti mind yake kufikia high level of thinking ni through sex, yaani makemikali yakimchanganya laboratory akakosa majibu inabidi aende kwa wife kwanza kujipoza, na katikati ya mtanangle ndipo solutions nyingi zinakuja.

Wengine ni through intense meditation, wengine through kujitenga na jamii kwa muda mrefu.

Kifupi ni kuwa average man anatumia only 7% ya uwezo wa ubongo wake lakini magenius wengi wanatumia more than 24% ya bongo zao, sasa kimbembe kipo hapo jinsi ya kuji boost kutoka 7% mpaka hio 24%
 
Mkuu ebu fanya uweke huo uzi hapa.
Kuna maelezo kuwa watu wenye IQ kubwa either wana low sexual drive or they are not interested in sex at all,ukilinganisha na watu wenye low au IQ ya kawaida.
Quite the contrary, according to Freud people with strong sexual urge transform sexual energy to artistic or scientific excellence .
 
Quite the contrary, according to Freud people with strong sexual urge transform sexual energy to artistic or scientific excellence .
Hapo umenena mkuu.

Ukifanikiwa kuibadili sexual desire from physical manifestation kwenda kwenye intelligence una ustimulate ubongo kwa viwango vya juu sana.

Ujio wa masturbation na free sex unazalisha kizazi cha watu wasio na high thinking abilities
 
Siku hizi wanasema ni pepo. Ukiombewa linatoka. Sasa ukianzisha kanisa lako bwana cadinaly uwaombee
Hahahah c unajua wajnga ndo waliwao. C unamkumbuka yule mgonjwa Wa akili Wa loliondo mm kipind kile nilkuwa nacheka sana kuona mgonjwa Wa akili akitibu Wa wenyeakili zao
 
Kuna movie based on true story inaitwa "stonehearst asylum".
Inaelezea wenye matatizo ya akili.
Mwenye interest aitafute, atajifunza mambo. Humo nimejifunza kila mtu anao ukichaa wake, sema tu hatujijui kwa kuwa wengi wetu ni "average" na pengine "average" people nao wanafanya vivyohivyo kwahyo inaonekana sawa tu.

Bonge la historia ya mental health.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…