Uhusiano wa vazi la kijora na Umasikini

hahahahahaha, yaani mule mule
 
Mkuu,
mleta mada ni choka mbaya,ndio maana anapata muda wa kuchunguza wanawake wanavaa nini na wanakwenda kwenye sherehe mara ngapi kwa mwezi,na wanatunza kwenye kila sherehe,

Hivi unafikiri mtu mwenye maisha yake anaweza kua interested kuanzisha uzi wa aina hii au kufuatilia life style za wanawake? jibu ni hapana.
 
Mkuu, kijora au dira ni vazi la kiheshima sana. Ni afadhali kuvaa kijora kuliko kimini.
 
Ile video ya binti wa mombo iliyo trend wameshika million dollars alikuwa kavaa kijora!
 
nafanya tafiti ya maendeleo ya uchumi ya jamii zinazovaa hili vazi, hovyo sana
 
Mke wa Bakhresa na Mo Dewji wanavaa nguo gani?
Nadhani hiyo haina correlation ila ni mentality na macho yako yanakupa fikra hizo.
Yaani kwa mfano ukimuona mtu anatembea amevaa suti macho yako yanaassume kwamba huyu jamaa atakuwa na hela wakati kumbe ukimfuatilia kiundani utagundua hana umiliki hata wa Baiskeli.
Jana niliingia Tiktok nikaona jamaa mmoja watu wanamjadili wakapost video yake amevaa Kiafisa yaani suruali kali yenye mikanda mgongoni amechomekea na shati yaani kama Lecturer,Mbunge au Waziri fulani na chini ana moka kali ila anauza miwa Dodoma barabarani sasa wewe ungepishana naye ungesema ni tajiri.
 
Ukute kabana kwapani na hajavaa braa nyonyo zinajimwaga mwaga tu hapo juu.....aseeee.

Raha ya kijora kukishikilia au kukichomeka hapa pembeni hapa kwenye kifuniko.
Ndio maana vijana wanahamasika sana kunjunjana, muda wote kupandishana nyege tu, ndio umkute hata chupi hajavaa ni mwendo wa matikiti kudondoka tu😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…