Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Hahahaha Mimi sio mtu wa pwani 😆 sherehe yangu mavazi ni lace, suti na nguo za kitajiri 😆Naona wamegusa sehemu ulipo vipi shughuli ya kumtoa mwali hapo kwako ipo tarehe ngapi udugu wangu?🤣🤣🤣
Pili huyo kubandeki zake,lilikua lina sura ya babaake ka jambazi vile toto la kigoma upande congo.lina makuta huku nyuma km limesingiziwa.Kuna mmoja karibu anivunje mboo mamake,mtoto wa kimakonde anaifinya kwa ndani afu maku safiiii sikuamini.Hawa mungu akubariki popote ulipo.
Haya sasa udini umeingiaMakafiri bwana wao wanawaonea wivu waislamu kuvaa kijora lakn wao kuvaa manguo ya mitumba bukubuku wanaona ndo utajiri
Mkuu swala la kuvaa vijora Kwa Sasa Tz nzima wanavaa vijora labda ww huko unapo ishi.nafanya tafiti ya maendeleo ya uchumi ya jamii zinazovaa hili vazi, hovyo sana
Masikini gani anaye hudhuria sherehe tano ndani ya mwezi alafu zote akatunza?Ni kweli hata usipinge zingatia wana umasikini wakushikika kwa mikono tena miwili.
Yani umasikini wangu una unafuu
Amewakandia bure tu Kwa sababu Kwa Sasa naona vijora vinavaliwa Tz nzima bila kujali uwezo wa mtu na lika zote ,na kuhusu wao kuwa Malaya Kwa Sasa %95 ya wanawake wa Tz ni Malaya sema wanatofautiana namna ya kufanya umalaya wao tu.naona kaka wa hao mabinti wavaa vijora povu linawatoka sio poa,...😸😸😸😂😂
Ila usivikandie sana, maana ndo mboga zetu hizi kitaa japo vinakufa mapema sana lakini ni vingi pia,...
Swali zuri,Masikini gani anaye hudhuria sherehe tano ndani ya mwezi alafu zote akatunza?
Yes najua, ni kama huo uliosemwa hapa yani wanaishi kwenye vijumba vya hovyo, access ya huduma za msingi tu hawana wakiumwa wanapagawa hawana hata uwezo wa kupata million 2Hivi unajua maana ya umasikini ulio kithiri au unangea?
Sasa hapa ndo nimejua umasikini wewe huujui.Hivi ilisha wahi kwenda Dodoma au singinda vijijini ukaona umasikini ulioko kule ?
Ww ni mental caseSwali zuri,
1. Wanakopa kausha dam na kwa marafiki yani kwa kifupi ni wanawake walio kwenye madeni yasio na msingi
Yes najua, ni kama huo uliosemwa hapa yani wanaishi kwenye vijumba vya hovyo, access ya huduma za msingi tu hawana wakiumwa wanapagawa hawana hata uwezo wa kupata million 2
Sasa hapa ndo nimejua umasikini wewe huujui.
Dodoma yooote na Singida yooote nazijua nje ndani taja mahali ulikoenda ukauona huo umasikini nikutajie mpaka jina la mwenyekiti wa shina na watu ambao wana uwezo kwenye hicho kijiji kushinda ukoo wako wote.
Ungeitaja Tunduru, Lindi, Nachingwea, Ruangwa, Geita ningekubali
Wewe ni muuguzi? Wewe ni daktari? Haya nipeleke Milembe kwenye ward zenye cageWw ni mental case
Umeandika kila kitu na umemaliza.Ila ukiwaangalia kwa namna tofauti ni watu ambao huwa wanafuraha.....hawana komplikesheni kabisa.
Mtu anakua zake na hela ya unga robo, miguu ya kuku na kachumbali, siku imeisha.
Kodi hawazi anakaa nyumba ya wazazi na mme anaemuoa (kama yupo) nae anahamia nyumba hiyo hiyo. Kama hana mme anazaa watoto wa baba mbali mbali akiwa hapo kwao.
Anacheza mchezo wa buku mbilimbili ili apate hela za kijora na mkorogo. Alhamisi, ijumaa, jmosi, jpili ni kuhave fun Ngoma kwa kwenda mbele.....
mi bado nakataa mengine sipingi kapatia lakini hilo la umaskini halihusiani na kuvaa kijora bali ni nature ya familia husika na eneo unalotoka.Mbona wa huku tanga ni tofauti na unavyosema,watu wana uchumi wao mzuri tu wa kumudu milo 3 sema utelezi hunyimwi.Ni kweli hata usipinge zingatia wana umasikini wakushikika kwa mikono tena miwili.
Yani umasikini wangu una unafuu
Ukikipunguza urefu, ukakifua… kesho utakikuta magotini 😹Mi uwa najiuliza, kwanini kila mvaa kijora lazima akibane kwapani kisiburuzike, Si wavipunguze urefu?
Umekuja kwenye point enhee mie nae natokea Tanga barabara ya 14mi bado nakataa mengine sipingi kapatia lakini hilo la umaskini halihusiani na kuvaa kijora bali ni nature ya familia husika na eneo unalotoka.Mbona wa huku tanga ni tofauti na unavyosema,watu wana uchumi wao mzuri tu wa kumudu milo 3 sema utelezi hunyimwi.