Uhusiano wa vazi la kijora na Umasikini

Kuna muda jf inavimasimango fulani hivi...πŸ˜…
 
Mie sio tajiri, ila kuvaa kijora au dera nimekataa zamani. Sipendi tu sijui kwa nn
 
kuna wengine sasa utakuta kadem kenyew kembamba afu unakuta maeneo ya kiuno kameingiza kijola kiana kwenye mfuniko wa asali yaan chupi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukimkopea na simu baaaaassss!!!!
Unakua mfalme, ukienda kwao unakaa kama chivayo alivyokaa ikulu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ khaaah
 
Jiulize Sasa wanaishi vp?kipimo Cha UMASIKINI ni kipo wakati mtu ana ISHI Kwake anakula Kwake na hajawahi kukuomba msaada?
 
Hao unao sema wewe wanavaa Madera sio vijora. Lol
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mabwakuu
 
Nyie kuwa mashoga ndo dini yenu inavyowatuma?

Hawavai nguo za ndani umewakagua wote au?

Au umechukua sample ya Malaya wachache ambao hata uko kwenu ukafirin ndo wamejaa tele?
Mashoga wengi ni waislamu, afu wanatumia majina ya kikristo, ili kuogopa dini yao kuwabana, nina ushahidi tena wa wazi, usio na shaka, na wanasema kabisa wanaanzia madrasa wakiwa wanajifunza kushika Juzuu.

Mashoga wengi ni waislamu, nina uhakika na uthibitisho usio na shaka, wee sema vingine, ila Ushoga ni uko huko kwa Allah na mnyaazi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
naona kaka wa hao mabinti wavaa vijora povu linawatoka sio poa,...πŸ˜ΈπŸ˜ΈπŸ˜ΈπŸ˜‚πŸ˜‚
Ila usivikandie sana, maana ndo mboga zetu hizi kitaa japo vinakufa mapema sana lakini ni vingi pia,...
Kaka wa wavaa vijora wamecharuka hatarii, hawasikii ya muadhini wala swalini.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…