Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Sawa mkuu tumekupata uzuri😅Kama upo likizo na haupigiwi simu kutoka kazini kwako, kuulizwa kutoa ushauri kwa jambo lolote ambalo ni la kitaalamu 'technical'; Juwa ya kuwa wewe ni mzigo kazini, unatakiwa ujiongeze.
Kupigiwa kwako simu kutaonyesha umuhimu wako wewe katika hiyo ofisi unayofanyia kazi. Kama utapigiwa simu kwa mambo ya umbea umbea, ina maana thamani yako wewe hapo ofisini iko upande huo.
Uhusiano wako wewe kazini, utategemea na uwezo wako wa kutatua changamoto ngumu ambazo wengine hawawezi kuzitatua.
Not everyone at your workplace is your friend. Do your job. Get paid. Go home.Kama upo likizo na haupigiwi simu kutoka kazini kwako, kuulizwa kutoa ushauri kwa jambo lolote ambalo ni la kitaalamu 'technical'; Juwa ya kuwa wewe ni mzigo kazini, unatakiwa ujiongeze.
Kupigiwa kwako simu kutaonyesha umuhimu wako wewe katika hiyo ofisi unayofanyia kazi. Kama utapigiwa simu kwa mambo ya umbea umbea, ina maana thamani yako wewe hapo ofisini iko upande huo.
Uhusiano wako wewe kazini, utategemea na uwezo wako wa kutatua changamoto ngumu ambazo wengine hawawezi kuzitatua.
Huwa wanakupigia?Sawa mkuu tumekupata uzuri😅
Huwa wanakupigia mkuu?Not everyone at your workplace is your friend. Do your job. Get paid. Go home.
Wananitumia meseji tu sasa sijajua kwenye mzani hii imekaajeHuwa wanakupigia?
Chukulia mwanzo wa likizo mpaka mwisho wa likizo,hujapigiwa simu kuulizwa kitu chochote kwenye taaluma yako, huwa unajisikiaje mkuu?Nadhan wewe ndio unapaswa kuiona thaman yako kwanza kabla ya wengine..ukiishi kwa opinio za wengi utaish kitunwa sanaaa
Kama ni 'technial', thamani yako bado iko hai mkuuWananitumia meseji tu sasa sijajua kwenye mzani hii imekaaje
Mambo sio mabaya basi!Kama ni 'technial', thamani yako bado iko hai mkuu
Ndio japo huwa sipendi usumbufu, nikiwa kazini nifanye mambo ya kazini tu, sio niko zangu na refresh mahali mnaanza kunipa stress za kaziHuwa wanakupigia mkuu?
Wakikupa stress, kwako ndio mtaji ili uweze ku-balance equation xNdio japo huwa sipendi usumbufu, nikiwa kazini nifanye mambo ya kazini tu, sio niko zangu na refresh mahali mnaanza kunipa stress za kazi
😂😂😂tunapeana uzoefu mkuu;we huwa hawakupigii kabisa?Mkuu siyo kila kazi ni za kuulizana maswali tu, sasa kwa mfano mimi ni mwalimu, shule imefungwa kila mtu kala 50 zake simu za nini? Weekends and Holidays are for my family. Na afterall usiishi kwa kugandana sana na watu mwisho wa siku utaishia kuzalisha maadui tu.
The way ulivyoandika unaonyesha dalili za unoko na kujipendekeza kwa boss mkuu. View attachment 2052454
Kama upo likizo na haupigiwi simu kutoka kazini kwako, kuulizwa kutoa ushauri kwa jambo lolote ambalo ni la kitaalamu 'technical'; Juwa ya kuwa wewe ni mzigo kazini, unatakiwa ujiongeze.