Uhusiano wako kazini utategemea na uwezo wako wa kutatua changamoto

Uhusiano wako kazini utategemea na uwezo wako wa kutatua changamoto

Nko zangu bar nalewa naskia sim inaita kutoa mfukoni kuangalia Ni boss wangu mzungu napokea naskia sauti wea a yu wea a yu please come please ...Apo vijana wa migration wamemtaitisha
Huyu jamaa anajuaga kuniharbia starehe zangu Sana..!
Swali la kujiuliza, kwa nini akutafute wewe na asimtafute mwingine? Kwa kifupi, we ni 'problem solver'
 
Kwani likizo ina maana gani? Kwenda likizo ni kupumzika na majukumu yako ya kazi na kufanya shughuli zako nyingine, sasa we mleta mada unaongelea mambo cjui ya kupigiwa simu tena! Nn maana ya likizo sasa? Bnafsi nikienda likizo simu kwanza ntazima sitopatikana
 
Kama upo likizo na haupigiwi simu kutoka kazini kwako, kuulizwa kutoa ushauri kwa jambo lolote ambalo ni la kitaalamu 'technical'; Juwa ya kuwa wewe ni mzigo kazini, unatakiwa ujiongeze.

Kupigiwa kwako simu kutaonyesha umuhimu wako wewe katika hiyo ofisi unayofanyia kazi. Kama utapigiwa simu kwa mambo ya umbea umbea, ina maana thamani yako wewe hapo ofisini iko upande huo.

Uhusiano wako wewe kazini, utategemea na uwezo wako wa kutatua changamoto ngumu ambazo wengine hawawezi kuzitatua.
Nyie ndio wale wale mnaofikiri kuwa msipokuwepo kazi haziendi utafikiri nyie ndio alpha na omega
 
mawazo mgando mawazo na ya Kiswahili kweli kweli.
sasa ipo hivi kama kampuni ina 'succession plan' na 'carrier development' za kueleweka kwa wafanyakazi wote, hata mkurugezi akienda likizo kwa miezi 6 hakuna kitacho haribika…….
Kweli mi pia nimemshangaa sana good leader must have good succession plan na empowerment ya team yake hata akiwa likizo kazi zinaendelea vizuri.
Ukiona unapigiwa simu kuhusu kazi za kawaida jua una mapungufu makubwa sana na ni mchoyo kuwafundisha kazi wengine.
Maana ya likizo ni kupumzika fully bila kusumbuliwa na kazi
za ofisini.
 
Wakikupa stress, kwako ndio mtaji ili uweze ku-balance equation x
Unachotakiwa kufahamu ni kwamba kabla hujaja wewe kampuni/taasisi ilikuwepo, umekuja kampuni/taasisi ipo na hata ukiondoka bado taasisi itaendelea kuwepo... wewe hata ukienda likizo watamuweka kaimu wako, usijipe mawazo kwamba nisipokuwepo mimi kazi haziendi, hapana hakuna aliye juu ya taasisi/kampuni
 
Nashukuru nimepigiwa mara kadhaa kuhusiana na swala moja lenye mvuto mkubwa mitandaoni[emoji58]
 
Likizo ni ya kupumzika sio kupigaana masimu tunatoana kwenye mood...
Hio kauli yako kutupigiwa simu kwamba sina umuhim haijakaa vizuri...mana kuna watu wana miaka 10+ na wakienda likizo hawapigiwi simu na kazi zinaenda.
 
Unakuta hao wasiopigiwa simu hawana madhara hata wakiacha kazi leo, replacement yao ni rahisi
 
On contrary, ukifanya kazi zako vizuri, ukadelegate, ukatrain vizuri subordinates wako, ukahandover vizuri hautapigiwa na utakula vizuri likizo yako
 
Kama upo likizo na haupigiwi simu kutoka kazini kwako, kuulizwa kutoa ushauri kwa jambo lolote ambalo ni la kitaalamu 'technical'; Juwa ya kuwa wewe ni mzigo kazini, unatakiwa ujiongeze.

Kupigiwa kwako simu kutaonyesha umuhimu wako wewe katika hiyo ofisi unayofanyia kazi. Kama utapigiwa simu kwa mambo ya umbea umbea, ina maana thamani yako wewe hapo ofisini iko upande huo.

Uhusiano wako wewe kazini, utategemea na uwezo wako wa kutatua changamoto ngumu ambazo wengine hawawezi kuzitatua.
Kazi ipi uliyoilenga hapo? Kuna kazi hazina watu muhimu.
Ukiondoka hakuna gape, kama ulikuwa unagawa madaraka na majukumu kwa wengine sidhani kama hatua hiyo itafika, labda uwe ulikuwa mbinafsi na usiependa kuwamegea wenzio kile ulichonacho ili uonekane wewe ndie special.
 
mawazo mgando mawazo na ya Kiswahili kweli kweli.
sasa ipo hivi kama kampuni ina 'succession plan' na 'carrier development' za kueleweka kwa wafanyakazi wote, hata meneja/mkurugezi akienda likizo kwa miezi 6 hakuna kitacho haribika…….

Na mimi ndio nimeshangaa mawazo yake, kwani mtu ukienda likizo unwondoka na ofisi? Si una handleover kazi na kudelegate majukumu. Mimi ata wekend sipendi kbs kupigiwa simu kuhusu mambo ya ofisi, ata nikiona iyo simu naanza kujiukiza khee uyu anataka nini tena jamani weekend hii[emoji23][emoji23] maana unaweza kupokea na ukaambia unahitajika kazini mara moja[emoji38] wooi
 
Upigiwe vipi simu wakati upo likizo, vipi ukitangulia mbele za haki nako utapigiwa simu...........ukienda likizo, ukistaafu, ukifa watu watajaza nafasi na maisha yataendelea.
 
Back
Top Bottom