Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jobless huu uzi tu/wa(pite) mbali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jobless huu uzi tu/wa(pite) mbali sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Me nikiwa likizo nawablock coworkers wote. Sijaja kumfurahisha mtu Duniani.
Labda mkuu@Equation x ungekuwa specific Kuna baadhi ya kazi ikifika likizo hatuwi na kazi Tena mfano ,,ualimu,polisi,,Bwana shamba,,nk ..labda mainjinia na other technical jobs..lkn pia haiwezi kuwa kwa surbonates wote...Unakuta hao wasiopigiwa simu hawana madhara hata wakiacha kazi leo, replacement yao ni rahisi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jobless huu uzi tu/wa(pite) mbali sana
Mtoa mada ni aina ya wale jamaa ambao wakienda likizo huwa wanabadili credential za mifumo ili watafutwe. Shame.mawazo mgando mawazo na ya Kiswahili kweli kweli.
sasa ipo hivi kama kampuni ina 'succession plan' na 'carrier development' za kueleweka kwa wafanyakazi wote, hata meneja/mkurugezi akienda likizo kwa miezi 6 hakuna kitacho haribika…….
😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukipigiwa simu ujue unafanyakazi na interns au vilaza watupu wanaohitaji maelekezo yako.Kama upo likizo na haupigiwi simu kutoka kazini kwako, kuulizwa kutoa ushauri kwa jambo lolote ambalo ni la kitaalamu 'technical'; Juwa ya kuwa wewe ni mzigo kazini, unatakiwa ujiongeze.
Kupigiwa kwako simu kutaonyesha umuhimu wako wewe katika hiyo ofisi unayofanyia kazi. Kama utapigiwa simu kwa mambo ya umbea umbea, ina maana thamani yako wewe hapo ofisini iko upande huo.
Uhusiano wako wewe kazini, utategemea na uwezo wako wa kutatua changamoto ngumu ambazo wengine hawawezi kuzitatua.
Hapo ofisini kwako mwenye taaluma yako uko peke yako??Chukulia mwanzo wa likizo mpaka mwisho wa likizo,hujapigiwa simu kuulizwa kitu chochote kwenye taaluma yako, huwa unajisikiaje mkuu?
Good💪Not everyone at your workplace is your friend. Do your job. Get paid. Go home.