Not everyone at your workplace is your friend. Do your job. Get paid. Go home.
Swali la kujiuliza, kwa nini akutafute wewe na asimtafute mwingine? Kwa kifupi, we ni 'problem solver'Nko zangu bar nalewa naskia sim inaita kutoa mfukoni kuangalia Ni boss wangu mzungu napokea naskia sauti wea a yu wea a yu please come please ...Apo vijana wa migration wamemtaitisha
Huyu jamaa anajuaga kuniharbia starehe zangu Sana..!
Wengine tukiwa likizo hatutaki usumbufu kwani ukisfaafu napo unataka wakupigie simu kukulizaChukulia mwanzo wa likizo mpaka mwisho wa likizo,hujapigiwa simu kuulizwa kitu chochote kwenye taaluma yako, huwa unajisikiaje mkuu?
Nyie ndio wale wale mnaofikiri kuwa msipokuwepo kazi haziendi utafikiri nyie ndio alpha na omegaKama upo likizo na haupigiwi simu kutoka kazini kwako, kuulizwa kutoa ushauri kwa jambo lolote ambalo ni la kitaalamu 'technical'; Juwa ya kuwa wewe ni mzigo kazini, unatakiwa ujiongeze.
Kupigiwa kwako simu kutaonyesha umuhimu wako wewe katika hiyo ofisi unayofanyia kazi. Kama utapigiwa simu kwa mambo ya umbea umbea, ina maana thamani yako wewe hapo ofisini iko upande huo.
Uhusiano wako wewe kazini, utategemea na uwezo wako wa kutatua changamoto ngumu ambazo wengine hawawezi kuzitatua.
Kweli mi pia nimemshangaa sana good leader must have good succession plan na empowerment ya team yake hata akiwa likizo kazi zinaendelea vizuri.mawazo mgando mawazo na ya Kiswahili kweli kweli.
sasa ipo hivi kama kampuni ina 'succession plan' na 'carrier development' za kueleweka kwa wafanyakazi wote, hata mkurugezi akienda likizo kwa miezi 6 hakuna kitacho haribika…….
😂😂😂 nimecheka sana mkuuWengine tukiwa likizo hatutaki usumbufu kwani ukisfaafu napo unataka wakupigie simu kukuliza
[emoji23][emoji23][emoji23]Wananitumia meseji tu sasa sijajua kwenye mzani hii imekaaje
Unachotakiwa kufahamu ni kwamba kabla hujaja wewe kampuni/taasisi ilikuwepo, umekuja kampuni/taasisi ipo na hata ukiondoka bado taasisi itaendelea kuwepo... wewe hata ukienda likizo watamuweka kaimu wako, usijipe mawazo kwamba nisipokuwepo mimi kazi haziendi, hapana hakuna aliye juu ya taasisi/kampuniWakikupa stress, kwako ndio mtaji ili uweze ku-balance equation x
PointNot everyone at your workplace is your friend. Do your job. Get paid. Go home.
Unakuta hao wasiopigiwa simu hawana madhara hata wakiacha kazi leo, replacement yao ni rahisiLikizo ni ya kupumzika sio kupigaana masimu tunatoana kwenye mood...
Hio kauli yako kutupigiwa simu kwamba sina umuhim haijakaa vizuri...mana kuna watu wana miaka 10+ na wakienda likizo hawapigiwi simu na kazi zinaenda.
Kazi ipi uliyoilenga hapo? Kuna kazi hazina watu muhimu.Kama upo likizo na haupigiwi simu kutoka kazini kwako, kuulizwa kutoa ushauri kwa jambo lolote ambalo ni la kitaalamu 'technical'; Juwa ya kuwa wewe ni mzigo kazini, unatakiwa ujiongeze.
Kupigiwa kwako simu kutaonyesha umuhimu wako wewe katika hiyo ofisi unayofanyia kazi. Kama utapigiwa simu kwa mambo ya umbea umbea, ina maana thamani yako wewe hapo ofisini iko upande huo.
Uhusiano wako wewe kazini, utategemea na uwezo wako wa kutatua changamoto ngumu ambazo wengine hawawezi kuzitatua.
mawazo mgando mawazo na ya Kiswahili kweli kweli.
sasa ipo hivi kama kampuni ina 'succession plan' na 'carrier development' za kueleweka kwa wafanyakazi wote, hata meneja/mkurugezi akienda likizo kwa miezi 6 hakuna kitacho haribika…….
tatizo wabongo wengi wakienda likizo wanaondoka au kuficha ma -file ya kazi, passwords za computer / laptops, funguo za ofisi / magari, etc. sasa apo ni kwanini usitafutwe au kuulizwa ukiwa likizo??