Uhusiano wako kazini utategemea na uwezo wako wa kutatua changamoto

Unakuta hao wasiopigiwa simu hawana madhara hata wakiacha kazi leo, replacement yao ni rahisi
Labda mkuu@Equation x ungekuwa specific Kuna baadhi ya kazi ikifika likizo hatuwi na kazi Tena mfano ,,ualimu,polisi,,Bwana shamba,,nk ..labda mainjinia na other technical jobs..lkn pia haiwezi kuwa kwa surbonates wote...
 
mawazo mgando mawazo na ya Kiswahili kweli kweli.
sasa ipo hivi kama kampuni ina 'succession plan' na 'carrier development' za kueleweka kwa wafanyakazi wote, hata meneja/mkurugezi akienda likizo kwa miezi 6 hakuna kitacho haribika…….
Mtoa mada ni aina ya wale jamaa ambao wakienda likizo huwa wanabadili credential za mifumo ili watafutwe. Shame.
 
Ukipigiwa simu ujue unafanyakazi na interns au vilaza watupu wanaohitaji maelekezo yako.

Wengine wakienda likizo wanabadili na simu ili wapumzike
 
Chukulia mwanzo wa likizo mpaka mwisho wa likizo,hujapigiwa simu kuulizwa kitu chochote kwenye taaluma yako, huwa unajisikiaje mkuu?
Hapo ofisini kwako mwenye taaluma yako uko peke yako??

Nyie ndio mnaogopaga hadi ku-delegate kazi kwa subordinate mnaona kama wataharibu mnataka muonekane kama ndio nguzo ya ofisi.


Poor succession plans
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…